Tofauti kati ya Kiburi na Unyenyekevu by Innocent Morris
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Tofauti kati ya Kiburi na Unyenyekevu by Innocent Morris
Katika somo hili utajifunza tofauti kati ya kiburi na unyenyekevu. Pia utajifunza umuhimu wa unyenyekevu kwa mkristo na madhara ya kiburi kwa mwamini.
"Kiburi cha mtu kitamshusha; Bali mwenye roho ya unyenyekevu ataheshimiwa."
Mithali 29:23
Contacts: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link:
/ holyspiritconnect
Facebook Link:
/ holyspiritconnect
TH-cam Link:
/ holyspiritconnect
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu,unafundisha vzuri sana neno la Mungu asiyekuelewa Kwakweli sjuw..Mungu azidi kutumika na wewe🙌
😊 Asante kwa SoMo zuri ni bwana bwana ametufundisha
Bila Mungu mimi si kitu
Aminaa kaka Innocent Mungu anipe unyenyekevu dhabiti
Barikiwa sana mtumishi kwa mafundisho mazuri 🙏🙏🙏
Amen Amen mtumishi
Amen 🙏
AMEN AMEN AMEN AMEN
Ameen mungu azidi kukutumia mtumishi sanasana
Ameeeeen
Amina mtumishi ubarikiwe san
Amen
Amin
Mungu anisameee
Amina
Ameen
MUNGU ANISAMEHE KUNA KIPINDI NILIPITA MAHALI PAGUMU MNOOOO,NIKAVUMILIA SAAANA BAADAE YALIPOKAAA SAWA,NIKAWA NAWAZA NASEMA BILA
UVUMILIVU WANGU ISINGEKUWA HIVI,
MUNGU ANISAMEHE
Amina