Clam unafeli, ebu jitahidi kufanya uhalisia bwana, mwanamke aliweka mfuniko kwenye jaba pindi anamficha mtukufu lakini alivokuja kukjfungulia mnaingia mfuniko haupo, wa bongo hapo ndipo tunapofeli
Izo kasoro ndogo ndogo acahana nazo hazitok kwenye mtihan ukitaka Kila kitu kwa uhalisia basi part ya mapenzi iwe mapenzi kwel chamsing angalia movie Kama mbovu tafta nyingine maana ukianza kutoa kasoro apa Kila kitu utasema hakipo sawa
@@dula3570 una haki ya kujibu ivo maana siupo juu ila ungekua underground wala usingetoa majibu hayo, kweri mtu akifanikiwa lazima aonyeshe makucha anasahau na mashabiki zake waliomfanya afakiniwe, , isiwe kesi 👏👏👏👏
Uyo mwanamke kacheza vzr sehem ya kuficha uyo jamaa anajua Sana kacheza vzr fumanizi so wengne moja kwa moja anavuta diaba😂😂😂😂😂 Kacheza Sana mpaka 📷 man alimkubal..
Je vous aime totalement ma star préférée .tu as les talents de la comédie.merci think you
Mtukufu mm nakukuli kweli🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Lkn Vero sahii namuona kanenepaaaa...Maa shaa Allaah...
Mrudsheni na Dazuu
Hawa jamaa wawili huwa wananpunga sana kwakwel nawapnda kwa myo wangu wote🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jitahidini muwe mnaweka translation ya kiingereza mtapata mashabiki wengi zaidi kaz nzur sana👌🤗
Nice idea
Gud
Hizo Zipo Sunset Tz
True
Tusiojua kingereza itakuwaje😂
Uko vizur jamaa mtukuf tisha San nawaelewa kinomaa🙌
😂😂😂😂team clam,, watching all the way from gulf 😍😍much love
from kenya 🇰🇪 kazi zuri sana😂😂
Kazi nzuri,,,,hasahasa kwa clam
Hee hiyo style ya kunyoa ni gani😂😂😂😂😂... Haijafika Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Isifikee😅
Mpkaa leo bado haijafika? 😅
@@mikidadiayubu4782 wapii
😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣💔💔💔jaman mdada wewe kamufunika mtukufu kwa pipa salalee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nacheka jaman nawapenda jaman
Clam vevo bro good doj Thanks 🙏🏻 merry Christmas 🎁🎄 love 💕 miss miss too
Uyu mwana nampenda...u mweusi aliye vaa blue aliye chezewa na clam
Hongera sana kazi nzuli
Hongera sana clam good job na makopa Yako upewe❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ umenichekesha huu mchepuko😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Bro, here you gatta new subscriber. kudos from Burundi, like all of your contents⚡⚡⚡
Nakubali kazi zko brother
kazi mnzuri kwa clamu vevo
Mtukufu ukipata dem mkali kama huyu niite mbwa nimekaa pale😂😂😂😂😂
Amtolee wapi na huo mdomo Kam behewa
Waja matusi
Haujafa hujaumbika😢
Jamn Kwan mumemuumba nyie achane hay maneno binadam ujafa ujaumbika
Kazi nzuri 🇰🇪
Nawakubari sana🔥
Nimewapenda jmn🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nakubali blo
Nice comedy my bro keep up I am Patrick from Zambia
😅😅😅😅
Mwenyew nlkua nataka jamvi😂😂😂😂
Clam fala kweli eti Mtoto wakike mdogoo tafta mume 🤣🤣🤣
Kama. Mfuniko hujauona nipeni like zangu wabongo bhn 😅😅😅😅
Asanteni.sana ❤❤🇧🇮🇧🇮
Mtukufu umefumania muchana kweupe daah 🤣🤣🤣🤣
One love ❣️ blo
Blo unafanya niwe na furaha sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Vio mzuri Niko moçambique🇲🇿
Mna jua wadogo zangu big up
Jaman IV aya mabutu ya uyu kaka mumeyaelewa
Clam unafeli, ebu jitahidi kufanya uhalisia bwana, mwanamke aliweka mfuniko kwenye jaba pindi anamficha mtukufu lakini alivokuja kukjfungulia mnaingia mfuniko haupo, wa bongo hapo ndipo tunapofeli
Izo kasoro ndogo ndogo acahana nazo hazitok kwenye mtihan ukitaka Kila kitu kwa uhalisia basi part ya mapenzi iwe mapenzi kwel chamsing angalia movie Kama mbovu tafta nyingine maana ukianza kutoa kasoro apa Kila kitu utasema hakipo sawa
@@dula3570 una haki ya kujibu ivo maana siupo juu ila ungekua underground wala usingetoa majibu hayo, kweri mtu akifanikiwa lazima aonyeshe makucha anasahau na mashabiki zake waliomfanya afakiniwe, , isiwe kesi 👏👏👏👏
@@dula3570 nonsense
Wanawake wajinga sana
Noma sanaa
Good job clam
Ati ulikua unacheza na ndevu zangu
😂😂😂Mtukufu anajimwaga mwaga kama ambae nikwakwe
🇰🇪Aki Apo kufumilia ni ngumu😂😂😂😂
Good 👍 job
Aminia
Mnajua sanaaa
❤nice clam
Tumechezeana😂😂😂😂😂
big up bro
Força ai meu brother Clam vevo!
Nakubal sana.
Iko love 🇰🇪❤❤
Boa kabisa 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Niatari kbs
Clam ungempa chapati na maharage
Hahaha nakukubal SANA clam
Good work
Move ipo powa sauti kidogo ifanyiwe malekebisho
Mr mtukufu noma
So kwa hiyo sauti ya clam
Moto sana clam
hi l'm sarah watching from nairobi so nice vidio
Mtukufu mdomo Kam behewa duuuuh kweli wanaume 2tafte hela
Hawa wanawake😂😂
good job
Uyo mwanamke kacheza vzr sehem ya kuficha uyo jamaa anajua Sana kacheza vzr fumanizi so wengne moja kwa moja anavuta diaba😂😂😂😂😂
Kacheza Sana mpaka 📷 man alimkubal..
Mtukufu kasha uponza😁😅
Nic comey
Mbaya sana iyo
Clam unajua mwanangu ongezaa bidiii utazid kufika mbali
mtukufu uwaaa Kitu brother
Mm nimesema
You have good smaillng
Kz nzur xanaa
Umalaya tu kuogahaaa🏴☠️🏴☠️🏴☠️🏴☠️
Wametsha sana
Mwanamke mzuri alafu ka bwana kamuchepuko kafupi mapenzi matamu 😀😀😀😀😀
🔥🔥🔥😂
mmetupiga jamaa kavua cap apo alaf mwenye mume hajaistukia na mume nae ajaistukia
🤣🤣🤣🤣jamani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣 hatariiiii
Ako kadada cheusi kananifurahishaga sana
nice
Masa boy
Chepuko nao daaa
Niko apo kwa ana akili 😣😣🙄😂😂😂😂
Egfat Manuel
Mfuniko umeondoka Tanzania mnafeli sana
Tufundishe
N kwel ata mm nimeshangaa mfiniko haupo🤣🤣🤣🤣
VERY NICE
Nimecheka sana jmn clam
Una pepo la ngono 🤣🤣🤣🤣
Smart boy
Ilo doo limesogea na mfunikio umeendaapi.??
Mtukufu uwo mzigo size yko 😂😂😂😂
Wanawake ni hatali
🔥🔥🔥🔥
Alikugawia ww au babako mzazi
No sana
Kiukweli
Byda way mki act mnaandika chini kwa kiingereza.mnaitranslate mtakuwa mbele zaidi so that kama ni mzungu anawatch ana understand
Pepo la ngono
bro unajuwa sana anh
Vero kanenepa😊
Mtukufu
Et Mwizi iba kwa akili aah