Assalam ukhty malkia haujambo mashaallah vyakula vyako yote vizuri sana mungu akubarik mimi ataka unifundishe vitumbuwa via kuku na ile triangle shukran sana
Habari malkia, je kama nafanya kwa kiasi kingi, ivo viazi naweka vianika kwenye kivuli vikauke maji au hata kwenye jua kidogo maana hapo kwenye kukamua na kitambaa kaprocess😂
asante sana Mwenyezi Mungu akubariki sana naamini nitaweza siku moja
Barikiwa dada
Wewe ni mzuri sana katika kupikia😊
Assalam ukhty malkia haujambo mashaallah vyakula vyako yote vizuri sana mungu akubarik mimi ataka unifundishe vitumbuwa via kuku na ile triangle shukran sana
Wooow, utuletee na recipe ya bagia tamu..Asante sana.
Sawa
Malkia wangu i wish niwe nakutumia mapishi unayo tufundisha.🙌❤️
Ubarikiwe mom❤i really appreciate what your doing
Thanks babe
So sweet
Waiting 😊😊
Asante
Be blessed dear, una moyo wa dhahabu, ni wachache wenye kupenda kushare ideas kama hz.
Thanks love
😍😍
Da malkia kwann tunaweka chumvi na sukari?
Tutilie video ya vitumbua vya mchele, please
Sawa
Habari malkia, je kama nafanya kwa kiasi kingi, ivo viazi naweka vianika kwenye kivuli vikauke maji au hata kwenye jua kidogo maana hapo kwenye kukamua na kitambaa kaprocess😂
Sawa kabisa
😘😘
😍😍
Tupo hp hatuchok
Love you dear
Asante