CCM ni wahalifu wakubwa kwenye nchi yetu Tanzania 🇹🇿 ndio maana CCM wanaleta uhalifu kwenye uchanguzi wanafahamu wananchi wenye hakili timamu hawawezi kuchagua CCM ya mafisadi
Mihuri ilikuwa miwili kwa waidhinishaji wa mawakala wa uchaguzi mmoja halali mwingine sio halali,nani amegushi hapo?Watu waliwashauri msishiriki sasa tumerudi pale pale kwenye maoni ya watu waliyosema, mnalazimisha kushiriki wakati mazingira siyo rafiki,kivumbi na jasho mwakani,hii ni introduction tu,
Kama hutaki kupiga kura kalale usitusumbue
Huu uchafuzi ufutiliwe mbali,mfumo urekebishwe,vyote vikafanyike mwakani,inawezekana kabisa.✍️🏿
Watumishi wa Mungu walisema uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mbaya haijawahi kutokea yametimia
Asanten iringa huo ndiyo msimamo thabit,tunduma kata zote tumekubali tuwaache najina hayapo kwenye vituo
Tunatawaliwa na viongozi WA ajabu sana, hawajali chochote zaid ya maslahi Yao. Heshima ya Tanzania ishaisha kabisa. Yaan aibu
CCM ni wahalifu wakubwa kwenye nchi yetu Tanzania 🇹🇿
ndio maana CCM wanaleta uhalifu kwenye uchanguzi wanafahamu wananchi wenye hakili timamu hawawezi kuchagua CCM ya mafisadi
Safi, hakuna uchaguzi na waliojipitisha hatuwatambui.
Uchaguzi urudiwe kabisa kabisa
Mwenyekiti sasa aende nchi zilizo enderea ili watusaidie
Tanzania bila kuanza kupiga hao wagurigemzi na watu wote wanaocheza na maisha ya watu....
Kataeni uchaguz na msikubaliane na watakaojichagua wenyewe.
Mmenunuliwa nyinyi
Waache wale vya haramu afanye nao kazi akija kwenu kudai hata hera kataen mweee bora wasingeweka kupiga kula
Tatzo wa tized uoga wenyu ndio una wamaliza mtatawaliwa milele
Mihuri ilikuwa miwili kwa waidhinishaji wa mawakala wa uchaguzi mmoja halali mwingine sio halali,nani amegushi hapo?Watu waliwashauri msishiriki sasa tumerudi pale pale kwenye maoni ya watu waliyosema, mnalazimisha kushiriki wakati mazingira siyo rafiki,kivumbi na jasho mwakani,hii ni introduction tu,
Wamenunuliwa hawa. Kwanini ususie uchaguzi? Wananchi wako wapi?
Km huu mdgo n hvi huo mkubwa mwakan itakuweje
Hakuna kitu hapo
Si mlisema mwaka huu hamsusi imekuwaje sasa mnasusa?
Ccm wamekithili tamaa na uroho wa madaraka
CCM bilàl
Pumbav nyie c mliambiwa nyinyi
Kilasiku nawambia vihongoz wa chadema kwamb bila pran B kuchukua hii nch msahau
Plan b ikoje?
Wajina unataka kwenda msituni niii trump alipigwa risasi akatulia tulieni hiii n itanzania bwana 😂😂😂😂😂
@jamesjahasa3348 inauma sana wajina ni bas tu
Mwenyekiti sasa aende nchi zilizo enderea ili watusaidie