Chapaa - Abbas Kubaff
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
- Chapaa by Kenyan hip-hop star Abbas Kubaff
Lyrics
Mi nalike chapaa vile we u-like chapaa (yeah)
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar (round hii niko serious)
(Tshazi twende kazi, ye-ye-ye-yeah)
Verse 1
Doobeez ni mchizi mi ni msanii toka C-vo
Sisikiki sishikiki stishiki na vitisho
Naenda job na jeans juu nimevalia t-sho
Na tangu kitambo mi huwa, hivo-hivo
MC’s wana ji-do kumbe hawan hata dough
Dough zimefanya ati watu mapembe hata flow
Traffic haijambamba mzeya, basi Mbona enda slow?
Nairobi ukisleki basi jo utakuta doorUtakutwa na mtu tisa ukitoka Carnovore
Ngoma kwenye kichwa mzeya, eti juu
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar!
Chorus
Mi na-like chapaa mi na mi na-like chapaa
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar
Mi na-like chapaa, mi na mi na-like chapaa
Beba bass Tsahzi, lemme get round
Verse 2
Nafika coast ku-cruise, ndani ya 4 by 4
Naenda kupiga show, CDs marker na soo
Mfuko nimesota maze jo niko na soo
Lakini haina noma, hope mzeya niko po-a
Seti hii kwa player juu kapuka imenibo
Tshazi twende kazi wacha jo niwapeleke slow
Wacha niwa-show jinsi ya kumake dough
Stage nikifika nipe mbili za vodo
Oh-oh-oh cheki ma-fovo
Cheki hizo macho jo mzeya nipige show
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar
Chorus
Mi na-like chapaa mi na mi na-like chapaa
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar
Mi na-like chapaa, mi na mi na-like chapaa
Beba bass Tsahzi, lemme get round
Bridge
Watu wanasemanga mi nakaa tu msee wa mtaa
Ni kama sina chapaa (We umesota!)
Wengine wanasemanga mi nakaa tu ka jamaa
Hawezi kuwa star (Abbas umesota!)
Watu wanasemanga mi nakaa tu msee wa mtaa
Ni kama sina chapaa (We umesota!)
Wengine wanasemanga mi nakaa tu ka jamaa
Hawezi kuwa star (Abbas umesota!)
Chorus
Mi na-like chapaa mi na mi na-like chapaa
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar
Mi na-like chapaa, mi na mi na-like chapaa
Beba bass Tshazi, lemme get round
RIP Tshazi 🙏 I met him akiwa usiu n the moment I heard his beats nilijua atafanya kazi. He will be missed.
Naenda job na jeans juu nimevalia tisho....🔥🔥
🙌🙌
2024 bado iko sawa
na urudishe nywele wewe unakuanga mbaya sana ukiwa na nywele 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Abbas you will remain the GOAT of kenyan hiphop.
Me nalike chapaa Abbas predicted the future
#Tshazitwendekazi 🕊 ❤
i still like this song no matter how old it is.i think its fresh #abbas_onpoint
wapi like ya 2020
0:13 RIP TSHAZI
One of the illest mcee in the 254. 12th April 2019.🔥🔥🔥
ABBAS after hearing Weezy's MAKE IT RAIN :Yeeeeeeeeeeeeeeeet... Skeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeet...
Rhyme Scene Do Not Cross. G.O.A.T!
OMG I loved this song as a child!!! and what a valuable lesson on what to do with money lol
Cheki hizo macho joo mzeiya utasema oooh....Dope!
In highschool I used to go word for word this one, I felt so cool. Oh and all of his songs
Hata saa hii bado word for word, and it still feels cool😂😂😂
Raaa!! Doobeez made my childhood.
This song came out when I was in class 2, I thought they were referring to chapatti 😂😂
😅😅😅😅
We ni njaa ilikuwa inakusumbua😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂
Seti hii kwa player juu kapuka imeniboo💥
Me nazipeleka bank ukizipeleka bar...#only_abbas
Still banging to the legend Abbass in 2019
Ngori 🔥.... I remember his performance at WAPI
2023
When beats married the lyrics and the rhymes.. Oh my good olden days... Abbas, the industry misses you alot 💃 🎶
We were busy growing super fast 😢..someone take me back to old good days.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Imeweza kwa sanaa kaka abas KENYA 4LYF WAPE NYENGINE KALI KAKA
Nazipeleka bank ukizipeleka bar🔥🔥💯
Amazing work still vibing 2023.
Legend kwa game
Rehé mbesha Karî kî we
Watu wanasemanga nakaa kaa msee wa mtaa nikama sina chapaa...
Turning 28, bado nalike chapaa
❤
Eish manzeee🔥🔥🔥hii song ikitokea nlikuwa katoto aki😂but still a banger!!!🔥
Still fevorite...Abbas dobeezzism...Kang kang
Uyu mzalenda saa ii 2023 anahitaji kuchangiwa chapaa juu life ilimkoroga
These were the days. Wachana na story za Willy Poze
Abbas we need this remastered bana
this video should be mastered in HD still a banger
This is real rap... where did abass go Leo nimeskiza mix hii ngoma ikakam up and am like why do I know this song and where did the artist go
Rudi studio bana. We need more music
This was the second trap song in Africa
2019 Bado tunalike chapaa ata wakigeuza noti
AGOGO Uko wapi
All hail the 👑 king
Hehe this was our hiphop/crunk masters
Timeless music
2024 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kubaffff... Still banging
Hii ngoma ni newww mahn❤
Still listening to this and it's still dope
Doobiz...still loving the vibe
Never gets old
still a banger in 2019
Baby❤
Greatness ✌️💯
Buda umepotea sana
27th January 2021 bado nko hapa
who is here 2023 mahn the memories
this song takes me back!! still a banger💣💣
Who else is doing this today...
Legend 🌟
2021😂😂❤️
umenisaidia sana kubamba mahali umenitoa ni most high tu anajua nakuombea mema ndugu yangu
Ako apa roysa
Nakuja
The song was beyond its time manze
For sure,he should comeback
Tin tin
Abbass ni Mrude, Kwani utadoo?
Me like. Chapa hadi leo 2022
wapi like za 2022 hapa?
Abbas bana! 2023
stishiki na vitishooooo!!!! hivo hivoooo....!!! lol
This song! What!!!!!
The baddest 😎😎😎
Crunk at its finest💥
Jean na tisho juu tangu kitambo nakuwanga hivo.
Tuma paybill mchizi
Still bump this to my stereo. His the KING. Love fro 254
Man nilienda sana hii ase
GOAT
2019
2018 and still listening, abbas kubaff hii scene ni yako
Me nazipeleka bank mkizipeleka bar
0:39 , i see kash D
2022 anyone?
Ai wacha uwongo
Me
2050 man!
My problem ni Chapa unilike,pia Bar 😁
2019 still listening aki
mi nalike chapaa
🎉🎉🎉
Freshi
abbas you're a fckn legend G!
💕💕💕
Still listen from tz
Tangu kitambo Yeye huwa hivo hivo
2022 anyone?
Graffiti za kubamba
2023 Lets Get It
You can't make this stuff up.
2017 dubez ukua juu
Me nazipeleka bank ukizipeleka bar😤😤
You can't make this stuff up.