Wanigeria ndio wameharibu hiii ulaya kufunga ndoa same day akipata makaratasi anamuhama mzungu mimi naishi na kinyanya changu freedom poa miaka 18 leo na tangu tufunge ndoa hapa ni 13 mpaka sai twaishi pamoja poa tulikutana bamburi beach mambasa 2005 kenya
@@Rogers_Lugose thank you very much.. may blessings keep following you, you have a kind heart to share to educate us who'd want to move there but hawana idea. Thanks
Mm naomba uje uongelee about home ties hapo wazee weng ndo wanapofel maana watu wananunua maeneo ambayo hayajaprocesiwa hati so hatujui tufanyaje juu ya ilo
Mimi niliulizwa how did you get here,,,nikasema by taxi akasema ohh thats good,mara nilitoka home saa ngapi,eti kulikuwa na traffic huwa wanajua juu kabete huwa traffic sana morning...alafu kumalizia akarudia tena how did you get here yaani kunichanganya akilll zile vitu nilikuwa nimepanga zivurugike😂uzuri nilisema ukweli singesahau😅😅😅😅😅
Hizo maswali hata siku ulizwa kabisaa maana nilikuja na one way visa kujakuoa ilikua na D hio A1 nilichapa 65% geotheinstitute mombasa casablanca kisha exam nikafanya nairobi but nikarudi tena shule mambo ya politics sheria na mambo mengi
We appreciate all the new subs, our guy deserves it
Wanigeria ndio wameharibu hiii ulaya kufunga ndoa same day akipata makaratasi anamuhama mzungu mimi naishi na kinyanya changu freedom poa miaka 18 leo na tangu tufunge ndoa hapa ni 13 mpaka sai twaishi pamoja poa tulikutana bamburi beach mambasa 2005 kenya
asante kwa hii content rogers, always looking forwad to your contents
Kazi safi keep up
Yeah this is awesome, thx Rogers
& study visa? What happens to funds in blocked account if I opt into ausbildung instead of going to school?
Niaje rodges nadai unihelp please👃👃
Wanajuwa kuchanganya akililllll....
Locked outta kirinyaga
Thank you
solid 15k subs.💥
Nimerudi... ilikuwa shaggz
Where is the embassy located
Thanks sana..🫶🏾🥰..
I have a private question,how can i reach you?
@@lavendarnyaidho9902 booklugose@gmail.com
@@Rogers_Lugose thank you very much.. may blessings keep following you, you have a kind heart to share to educate us who'd want to move there but hawana idea.
Thanks
Mm naomba uje uongelee about home ties hapo wazee weng ndo wanapofel maana watu wananunua maeneo ambayo hayajaprocesiwa hati so hatujui tufanyaje juu ya ilo
Mimi niliulizwa how did you get here,,,nikasema by taxi akasema ohh thats good,mara nilitoka home saa ngapi,eti kulikuwa na traffic huwa wanajua juu kabete huwa traffic sana morning...alafu kumalizia akarudia tena how did you get here yaani kunichanganya akilll zile vitu nilikuwa nimepanga zivurugike😂uzuri nilisema ukweli singesahau😅😅😅😅😅
Work visa in germany how long wll take as kenya citizen already have valid contract
@@adanjama-h5n 6 months
Wat of job offer,,maswali ni tricky?
USICHEZE NA GERMANY EMBASSY!!!!!!!! WAKO VERY TIGHT
Wako very strict sana
@@Rogers_LugoseSWALI MOJA THEY WILL ASK YOU FOR GOOD 4 months, different APPOINTMENT!!!!!!!
@@Rogers_Lugosembona kuna dem juzi aliforge marriage cert na alipewa she's now in Germany church conference
Lazima niwatch yote
Wueeeh noma Sana 😅
Duuuuu ila brooo mbona madem kuingia German ni rahisi sana
Is Schengen visa for language part of visit
na requirements za study Visa?
Nice content bro.Alafu ukiwa na beste Germany utahitaji visa gani,like kama niko na friend anataka anisaidie nipate job uko
Visiting visa
Can you change visit visa to work visa in Germany after arrival?
You can't
Bro what about student visa?
Students visa ,
Just take the required documents the other questions are simple related to your documents.
Hizo maswali hata siku ulizwa kabisaa maana nilikuja na one way visa kujakuoa ilikua na D hio A1 nilichapa 65% geotheinstitute mombasa casablanca kisha exam nikafanya nairobi but nikarudi tena shule mambo ya politics sheria na mambo mengi
German Embassy is strict na maswali mtu anaulizwa ni tricky jo!
Very true
How much do they want in the bank for visit visa
Around €5000-€10000
@@carlmax2221 😳
Hii struggle yote halafu beshte huku anataka kumake Kenia a VISA free country smh😁
Bytha German embassy msee hulipia interview kama us embassy?
Nope unalipa siku ya interview then ni cheaper than US Embassy
Online
👍👍
Thank you