Nani ungempa TUZO? /Part 01/ Oka Martin REACTION

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @RukiaMwadiga-si3fo
    @RukiaMwadiga-si3fo 5 หลายเดือนก่อน +2

    Oy brother wanimaliza niko kenya mm sio poa lakin ingekuwa ni uwezo wangu ningempa mr blue na profesa j

  • @stiangabrirl
    @stiangabrirl 5 หลายเดือนก่อน +5

    Okay, ikiwa kama comment ya KWANZA kabisa, kwa heshima na taadhima kura hii Moja kwa Moja bila kupoteza muda wako inakwenda kwaaaaaaaaaaa Mr na Blue zake 💙🔵

  • @ChuxDaniel
    @ChuxDaniel 5 หลายเดือนก่อน +4

    mhhhh pagumu apo oya ndomaana watoa tuzo uwa wanalalamikiwa sana maana Mimi apo kunangoma mbili zimewasha moto Yani an idea zake noma sana Kimya Kimya na tabasamu 💥💥💥

  • @mohdhamdu4106
    @mohdhamdu4106 5 หลายเดือนก่อน

    Sema naona ushaanza kuwa bonge broooo

  • @Zuberimaruma
    @Zuberimaruma 5 หลายเดือนก่อน +4

    Pr jay

  • @tgeofrey
    @tgeofrey 5 หลายเดือนก่อน

    Umetisha saana

  • @kimweli-tx8zo
    @kimweli-tx8zo 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kimya kimya kichwa🤟🤟

  • @Iceboy25
    @Iceboy25 5 หลายเดือนก่อน +1

    Oooya oka acha kutu umiza kichwa izo ni hit tena za kila mdaa but i took #1 #4 but sijuw tunzo nimpe Nani but kama ina wezekan tugaw tupan kutokan na mwaka sijuw kama una nielew

  • @PatsonPius
    @PatsonPius 5 หลายเดือนก่อน +2

    Respect to Prof jay na Blue. Kimya kimya n kalii sana
    Alaf nazan n ngoma ya Jay moe sio Ngwair. Correct me if I’m wrong

  • @JimyMnyama
    @JimyMnyama 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kimya kimya inastahiliii✌️✌️✌️

  • @peterbrizzy
    @peterbrizzy 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hapa hakuna mpinzani ngoma zote 🔥 🔥

    • @peterbrizzy
      @peterbrizzy 5 หลายเดือนก่อน +1

      Oka make reaction kwa Msukuma Mjanja sinaga swaga 7💪

  • @bablonbizy7267
    @bablonbizy7267 5 หลายเดือนก่อน +2

    Blue

  • @paulconrad7091
    @paulconrad7091 5 หลายเดือนก่อน

    Oya 1 na 3

  • @cellestinelucas165
    @cellestinelucas165 5 หลายเดือนก่อน

    blue halitisha😂😂

  • @hasanbaucha8531
    @hasanbaucha8531 5 หลายเดือนก่อน

    Hapo prof jey guru

  • @Storyzaibrahim
    @Storyzaibrahim 5 หลายเดือนก่อน +3

    1 profesa jay

  • @mohdhamdu4106
    @mohdhamdu4106 5 หลายเดือนก่อน

    Duh tabasamu na p jay noma sana

  • @PatrickGoleha
    @PatrickGoleha 5 หลายเดือนก่อน

    Prof j

  • @andsmart5991
    @andsmart5991 5 หลายเดือนก่อน +2

    Taaabasaaaam

  • @HappyKitindi
    @HappyKitindi 5 หลายเดือนก่อน

    Blue

  • @KingTega-d3k
    @KingTega-d3k 4 หลายเดือนก่อน

    wote ningewapa ila mmoja mmoja

  • @NabothChaula
    @NabothChaula 5 หลายเดือนก่อน +2

    nime Malikaka tabasamu for me

  • @OneMore-255
    @OneMore-255 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 presenter kabisa kipindi cha mziki wa kitaa

  • @mnyampaa_kisasa
    @mnyampaa_kisasa 5 หลายเดือนก่อน

    HAKUNA UBISHI PROF J balaa na nusu....from beat melody chorus imeua sana hadi msg hatar sna 2 nampa KIMYA KIMYA NGWAIR 3 NAMPA BLUE TABASAMU namaliza na 4 MZEE WA BUSARA

  • @NabothChaula
    @NabothChaula 5 หลายเดือนก่อน +2

    Sina mpinzani

  • @Faidhajohn347
    @Faidhajohn347 4 หลายเดือนก่อน

    Pr j

  • @anthonymwikamba1933
    @anthonymwikamba1933 5 หลายเดือนก่อน

    Tabasamu

  • @AbmGREAT
    @AbmGREAT 4 หลายเดือนก่อน

    Wote wakali ila prof j mtu na nusu

  • @Storyzaibrahim
    @Storyzaibrahim 5 หลายเดือนก่อน +1

    Una post usiku tu

  • @boxdad
    @boxdad 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jaymoe ft ngwair ni nouma

  • @NabothChaula
    @NabothChaula 5 หลายเดือนก่อน +1

    kaka wakwanza

  • @nickyvanich6214
    @nickyvanich6214 5 หลายเดือนก่อน +1

    professor kaka

  • @flavianlamata8492
    @flavianlamata8492 5 หลายเดือนก่อน

    Tabasam

  • @boxdad
    @boxdad 5 หลายเดือนก่อน

    Ungekua unaweka na machupa yake ilikua poa zaid

  • @BONGO_LATEST_TBT
    @BONGO_LATEST_TBT 5 หลายเดือนก่อน

    Umemsahau side mnyamwezi kiongozi.
    Sema so mbaya kura yangu nadrop kwa jay moe x ngwair kimya kimya...
    Please for respect Fanya kimya kimya

  • @OneMore-255
    @OneMore-255 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 presenter kabisa kipindi cha mziki wa kitaa