ความคิดเห็น •

  • @EBMSWAHILI
    @EBMSWAHILI ปีที่แล้ว +2

    Download our New App, EBM SCHOLARS APP play.google.com/store/apps/details?id=com.dautechnology.ebmscholars
    Or Search EBM SCHOLARS on Google Play Store to Download the app

  • @hollanddutch-day
    @hollanddutch-day ปีที่แล้ว +2

    Wakwanza ku commenti leta like za EBM,big up Teacher

  • @damaskinkela2265
    @damaskinkela2265 ปีที่แล้ว +1

    From 🇨🇩 naweka simu chini video ikifika mwisho

  • @ishaqmsheba
    @ishaqmsheba ปีที่แล้ว

    Asante sana Kaka Bonface aka EBM kwa mchango wako wa kutupasha taarifa mbalimbali kuhusu masuala ya ughaibuni. Ubarikiwe 🤲🏻❤

  • @lovemagunda8583
    @lovemagunda8583 ปีที่แล้ว

    Good job Mr EBM! Thank you.

  • @bennywalase1434
    @bennywalase1434 ปีที่แล้ว

    Tupo pamoja kaka nakubali sana namna unatuelimisha

  • @martinbarasa3442
    @martinbarasa3442 ปีที่แล้ว

    Thanks 4 updates

  • @christopherrobert1948
    @christopherrobert1948 ปีที่แล้ว

    sounds good to me

  • @saidimwanyiro5147
    @saidimwanyiro5147 ปีที่แล้ว

    Asant kwa kurufahamisha

  • @hamimabed
    @hamimabed ปีที่แล้ว

    EBM ningependa kupata mawasiliano yako ninamambo ya kujifunza kabla

  • @emmanuelmayombo1858
    @emmanuelmayombo1858 ปีที่แล้ว

    Asante sana ila Sababu hizi unaweza kuszipeleka nchi yoyote duniani na eneo lenye matatizo hayo ni ngumu kuishi

  • @suzanetilito8194
    @suzanetilito8194 ปีที่แล้ว

    Aisee bora nimefahamu reasons mana tunaweza fata mkumbo kisa California ni jimbo kubwa na jina lenyewe kumbe ndani yake ni mtihani ni kheri mtu akakuona mshamba unakaenda kukaa majimbo mengine yanaonekana kama jijini ila maisha yanakuendea 😢

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 ปีที่แล้ว +2

    Uje na video nyingine ya kutupa majimbo yenye unafuu mkubwa wa kimaisha marekani mojawapo najua ni texas

    • @EBMSWAHILI
      @EBMSWAHILI ปีที่แล้ว

      Sawa sawa

    • @nurupaje9041
      @nurupaje9041 ปีที่แล้ว

      Kwakweli atueleze majimbo na sababu

    • @nurupaje9041
      @nurupaje9041 ปีที่แล้ว

      Kwakweli atueleze majimbo na sababu

    • @ramamrutu4914
      @ramamrutu4914 ปีที่แล้ว

      Nimekuwa nikifatilia kuhusu texas kwa mda mrefu lakini nimeona nyumba ni nzuri na bei ni ndogo lakini pia nimeona kama wazungu ni wengi sana zaidi ya majimbo mengine pia nahisi kuna shida ya kifursa yan kazi upatikanaji, ila ni mji mzuru naupenda especially kwenye ubora wa nyumba

  • @nurupaje9041
    @nurupaje9041 ปีที่แล้ว

    Nimeweka vocha ya 2000 kuangalia

  • @tzmichongo
    @tzmichongo ปีที่แล้ว

    Sema tatizo uchumii hapo 😅

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 ปีที่แล้ว

    😂