yaani weye shykh Allah akuhifadh na akuhifadhie family yako na wazazi wako amin yaraby laalamin we ni shykh unaotupa faida mingi siyye islam tunao ijuwa dili na Quran iliyo tukuka iliyotumika na manabiy wetu s.w.a. Allah akujalie umur na hekma na elim zaid ya hapo ulipo maana quraan unayotafsir ni ile quraan iliyo achwa na manabiy wetu nasio ile iliyo badilishwa sikuhiz wanayo itumia mashykh wingi wanaburuza tu Allah akulipe kheir elfu kheir
Maashaallah,ALLAH akupe umli mref il uzdi kutupa ilm
Jakaka Allahu khery nakupenda Sana sheghe wangu kwa ajili ya Allah na jawa Imani ninaposikia maneno yako Allah akuifazi
Iiiishaaaalah mungu akufanyie wepesi kweny kila jambo lako na kwemye kila jambo la muislam
Mashaallah,umejaaliwa namna ya kuelezea masomo.very gifted narrator .jazakallah kheyr.
Amin thuma amin, allah izid ibarik fik sheikh athman
Mashaallah Allah akulipe mema kutokana na wema wako
Yarabi tuongoze ktk njia yako
yaani weye shykh Allah akuhifadh na akuhifadhie family yako na wazazi wako amin yaraby laalamin we ni shykh unaotupa faida mingi siyye islam tunao ijuwa dili na Quran iliyo tukuka iliyotumika na manabiy wetu s.w.a. Allah akujalie umur na hekma na elim zaid ya hapo ulipo maana quraan unayotafsir ni ile quraan iliyo achwa na manabiy wetu nasio ile iliyo badilishwa sikuhiz wanayo itumia mashykh wingi wanaburuza tu Allah akulipe kheir elfu kheir
jazaaka Allaahu khayra Ljazaa a sheykh wangu
MashaaAllah...jazakumullah kheir
MashaAllah Allah barik
🙏🙏🙏
Ammeen inshallah
Yarabb tupe iman thabit ili tuweze kuyatekeleza