I love this song. Repeat ten times a day. Everything about this song is great. The keyboard guy knew what he was doing very talent!!! The singer sing it beautifully❤❤❤❤❤❤
Kaka huu wimbo una viwango vya juu sana, ujumbe mzur na mpangilio mzur wa maneno, kila la kher katika safar yenu ya uinjilishaji na Mungu azidi kuwapigania kwa kila hatua nzur mnayoiendea, Mbarikiwe sana.
Muzuri uyu wimbo pia maneno yake mkubwa sana ya Mungu mwenyezi. Yote ni ajabu ukubwa wa matendo yake. Muzidi kubarikiwa na Baba Mungu. Asante sana. Alphonse Marie.
Asante Sana kwa maneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu yote Mungu awabariki na kuwa Linda na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Nimebarikiwa Sana Na Wimbo Huu Kiukweli, Shukrani Kwa Waimbaji na Kwako Kaka Ayoub Myonga, Mungu Awe Pamoja Nanyi Nyote Katika Utume Huu Na Katika Shughuri Zenu Zote. 🙏🙏🙏
Mmeimba vizuri sana hongereni Ila muandike mko nchi gani mkoa gani wilaya na kanisa gani hii inasaidia kujitangaza sana kibiashara Pia muandike maneno ili tuimbe along text You need to stand out from other videos, the business is tough, so you need to be aggressive into your release so that you can get a lot of viewers
Kama umepotea kiimani ukisikiliza wimbo huu lazima urudi kwenye misingi ya Mungu
Kweli ndugu
Tanganyika studio,organist, waalimu ,viongozi wa hossana kwaya na wanakwaya wote mmefanya kazi nzuri Mungu awaongoze muendelee kumsifu Kwa Tenzi nzuri
Amina
Amina na asante bwana Dismas
Tulioukubali huu wimbo gonga like. ....
Amina sana mungu awazidishie vipaji
Wow
Wimbo mzuri
Mavazi mazuri
Tabasamu lisilo-na unafiki
Najivunia kuwa Catholic
Ayee najivunia kuwa mkatoriki, wimbo mzuri mnooo, mbarikiwe sanaaa waimbaji
nice song, beautiful voices
Natamani kurudia kwaya jaman lakin kazi yangu mbn inanibanaa? Acha nijiimbie tu mwenyw huu wimbo mtamu sanaaa naomb mnitumie lyrics bs🙏🙏🙏🙏
I love this song. Repeat ten times a day. Everything about this song is great. The keyboard guy knew what he was doing very talent!!! The singer sing it beautifully❤❤❤❤❤❤
On behalf of the organist
Thanks very much
I know Him Very Well Just Visit His TH-cam Channel. There Are More Good For U
Kwakweli Mungu awabari waimbaji na mtunzi wa huu wimbo. Sijawahi kuuchoka wimbo huu.
Kazi nzuri Sana,clear vision and voice
Hongereni sana waimbaji,good job Tanganyika production
Mungu atukuzwe mwanadamu apate utakatifu
HoCaS +TP perfect combo
Safi sana, sifa kwa MUNGU
Jamn mpooo wachachee ila saut zimepangiliwaa sanaaa
Amina amina
Asanteee, wimbo mzuri, umeimbwa vizuri na vyombo viko safi. Production TP hamjawahi kufeli. # Moyo #Gwantoye #Ludo(TP)👏👏
Asanteee mtumishiiiiiii na mbunge mtarajiwa
katoliki ni moto
One of best catholic choir from morogoro Tanzania, I like it.
God bless all production members
Hekoo! Well balanced voice creative organist each and every thing arranged good. Heko waimbaji
Kazi nzuri sana Mungu awabariki sana
Mungu azidi kuwainua kwa kipitia uimbaji wenu
Good work. Mbarikiwe tu saana na Mwenyezi Mungu enyi waimbaji woote.
Kaka huu wimbo una viwango vya juu sana, ujumbe mzur na mpangilio mzur wa maneno, kila la kher katika safar yenu ya uinjilishaji na Mungu azidi kuwapigania kwa kila hatua nzur mnayoiendea, Mbarikiwe sana.
Ubarikiwe kwa support na ushauri hatutawaangusha
Muzuri uyu wimbo pia maneno yake mkubwa sana ya Mungu mwenyezi. Yote ni ajabu ukubwa wa matendo yake. Muzidi kubarikiwa na Baba Mungu. Asante sana. Alphonse Marie.
❤❤❤i searched for the song for a long time
Great indeed are your works oh Lord! Wimbo nzuri wa sifa zake Mwenyezi Mungu! Hongereni sana sauti nyororo 😍
Kazi nzuri
Big up kwa Ayub Myonga
Asante Sana kwa maneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu yote Mungu awabariki na kuwa Linda na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
yaan dah!! nzuri sana hongeren sana
kazi nzuri Mungu abariki utume wenu
Hongereni saaana,am blessed by this angelic voices
Wimbo mzuri,ulioimbwa na kuchezwa vyema na taratibu.Hongera!ukatoliki mtamu
Kazi imeonekana kamanda hongereni sanaaaaa
Mungu awabarikii nyotee
Be blessed
Napenda sanaaa...Mungu awabariki. Proudly catholic
when Moyo is on the keyboard it is superrrrrrrr. nice song
Nakuon.fredy mtumaini.bwana nice sana
Haaaahaaaahaaaaah...karibu sana George
Great song,Sweet voices,hossana in the highest 🙏🙏
Du hongereni sana naona mafanikio makubwa kwenye uimbaji wetu i proud to be Catholic
May the blessings of the Lord be upon you 🙏
Am been blessed by the voises from Mauritius island
Mnatisha mko vizuri saana tunawaombea mambo yaende vizuri
Amen 🙏💖👌 glory be to God 👊 powerful message through this song God bless our singers hallelujah 👊🙌💖💝👏
Enyewe yanashangaza i love the instruments being played, dance and the voices good song @mitch.
Great Work. Keep up the spirit.
Good song
Nyimbo nzuri wa kutukuza mwenyezi mungu.
AMINA MUNGU APEWE SIFA
Daaa ,hongereni sana.bro Moyo hongera Sana kwa kazi nzuri mnoooo ya kinanda..big up Sana...
Thanks master nashukuru Sana kwa support yenu
As I solve the song as I like to listen 👂 singers... A. J Myonga Big up saaaana.
Mungu awabariki sana
Nice one
Kazi nzuri sana hakika mungu awazidishie karama mara dufu zaidi.
Nimeikubali
like
Mungu.awabariki
Glory to God.
Atukuzwe milele ,Amina!
Wimbo murua,wenye mafunzo kwa wengi.
Organ=100%
Sauti=100%
Dance=Excellent
All these=EXCELLENT!!!!
Heko sana.Endeleeni na moyo huo huo!!
MUNGU awabariki sana kwa wimbo huu mzuri sana.
Very nice song ,keep it up.
Wimbo mzuri sana
👑
Safi san mbarikiwe mungu awatie nguv
Wimbo ni balaa 👏👏
Asante
🎉 I do always feel like listening to the song through out the day, be blessed.
Nimebarikiwa Sana Na Wimbo Huu Kiukweli, Shukrani Kwa Waimbaji na Kwako Kaka Ayoub Myonga, Mungu Awe Pamoja Nanyi Nyote Katika Utume Huu Na Katika Shughuri Zenu Zote. 🙏🙏🙏
Wimbo mtamu thnks
Hakika ni wimbo mtamu Sana hongeren waimbaji
One of my all time song, congratulations more and more
Wimbo mzuri sauti murua baraka tele
Safi sana;
Wimbo mzuri sana.
Congore kwa Tp,Myonga na Hossana
Mungu awape haja ya 💛 yenu.✋
❤❤❤❤sana mungu awabariki sana
Mbalikiwe sana mmenifulahisha sana
Hongeren wana wa mungu kwa wimbo mzur hakika mungu wetu atukuzwee milele
Hongera saana kawimbo kazuri wabarikiwe
Hongereni sana kwa utume mungu azidi kuviimarisha vipawa vyenu
Tunakutuza Mungu wa Israel
Safii Sanaa waimbaji wenzangu kazi nzur Sanaa pongezi nyingiii
Nawapenda hocas jamn wap deogratias
Nafarijika kusikiliza huu mwenyezi mungu awajalie sana waimbaji
Kweli, Mungu wa Israeli aliye pia Mungu wetu atukuzwe milele.
Asant
I'M Blessed with the song
Mmeimba vizuri sana hongereni
Ila muandike mko nchi gani mkoa gani wilaya na kanisa gani hii inasaidia kujitangaza sana kibiashara
Pia muandike maneno ili tuimbe along text
You need to stand out from other videos, the business is tough, so you need to be aggressive into your release so that you can get a lot of viewers
Amina
Humm!!!! Apo Safi naipenda
Ullman km km km km km km km km km km km a seat Iggie RCA's esq yt JSFdf
Wimbo mzuri...Amina
Nice song
Sauti nzuri sana...mungu awabariki sana
Nice song ♥️♥️♥️
I see my big dad
Nice
NICE ONE
Wimbo bora moyoni mwangu
Wimbo bora na souti bora moyoni mwangu.
Mbona wimbo mzuli ila sauti haijakaa poa
?????????Sikiza vizuri sana the way alto, soprano and tenor blends?? Alafu na ka bass kaki interrupt ku form a very melodious voice??
Blessed
Safi sana
Good sanaa
nice one
Wimbo bora moyoni mwangu
yaan dah!! nzuri sana hongeren sana
Amina
Nice
Nice song
Nice
Amina