UCHAMBUZI AMBOKILE| AMPA ONYO MSEMAJI WA TABORA SIMBA INATISHA APAGAWA NA MBINU MPYA ZA FADLU DAVIS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
  • #simbasc #simbalive #simbavstabora

ความคิดเห็น • 38

  • @MuhidiniMaingo
    @MuhidiniMaingo 9 วันที่ผ่านมา +7

    🎉chuma cha mjerumani big up...much respect

  • @afriqoelearningtanzania
    @afriqoelearningtanzania 9 วันที่ผ่านมา +7

    Mwamba anajua sana much respect to him nyeupe ni nyuepe nyeusi ni nyeusi

    • @nathanaelchezalikatundu8869
      @nathanaelchezalikatundu8869 8 วันที่ผ่านมา

      Huwenda lakini sijamuelewa. Kama anamkataa Clement kimataifa kwa nini anamkubali Feisali? Feisali naye hana record nzuri kimataifa. Na huwenda Mzize kamzidi.

  • @HenryAlphonseselemani
    @HenryAlphonseselemani 9 วันที่ผ่านมา +4

    Simba noma baba
    Hii simba

  • @samsonmwingwa364
    @samsonmwingwa364 9 วันที่ผ่านมา +6

    Chuma nimekubali sana

  • @FrancisRaphaelOisso
    @FrancisRaphaelOisso 8 วันที่ผ่านมา

    Nimekubali mkuu upo vizuri

  • @yohanakayinga9279
    @yohanakayinga9279 9 วันที่ผ่านมา +5

    Chuma cha Mjerumani unaujua sana mpira🎉

  • @RichardAntipas
    @RichardAntipas 9 วันที่ผ่านมา +15

    Tanzania tunge pata wachambuzi 5 kama ambokile ana ongea bila kung'ata ng'ata maneno na bila kuogopa tunge endelea kimichezo

  • @MattyMasingija
    @MattyMasingija 8 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤ sana chambz l soka

  • @PeterManda-h1w
    @PeterManda-h1w 8 วันที่ผ่านมา +1

    Tabora sio team ya kumtisha simba

  • @EdgaFurete-o7l
    @EdgaFurete-o7l 8 วันที่ผ่านมา

    Leo nimekukubali sana

  • @JallyMnegelwa-h9k
    @JallyMnegelwa-h9k 9 วันที่ผ่านมา +4

    Ambokile ni mchambuzi anaejua kuchambua mpira kongore kwake

  • @RichardKapesa-f2w
    @RichardKapesa-f2w 9 วันที่ผ่านมา +3

    Yan uyu mchambuzi anajua sana atariii

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 9 วันที่ผ่านมา +7

    UPO SAHIHI CHUMA CHA MJERUMANI SIMBA HAWAWEZI KUKUAIBISHA SIMBA ITASHINDA

  • @RichardAntipas
    @RichardAntipas 9 วันที่ผ่านมา +3

  • @HOLINESSPIUSE-gv8ud
    @HOLINESSPIUSE-gv8ud 8 วันที่ผ่านมา

    MAMULUKII WEWE KWENDRAAAAAA HACHA KUJIKOSHA KWA SIMBA WEWE

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn 9 วันที่ผ่านมา +6

    Simba ni moja tu ila maneno ya christna yatapoa tu Lazima aolewe tena tutampa mtoto wa mama isie jua kujishuhurisha😂🤣🤣🤣🔥

    • @Nitah-b9z
      @Nitah-b9z 8 วันที่ผ่านมา

      Haha😂😂

  • @JUMAMWENE-yq1ut
    @JUMAMWENE-yq1ut 9 วันที่ผ่านมา +3

    Ambokile ndio mchambuzi sahihi

    • @SifranLove
      @SifranLove 9 วันที่ผ่านมา

      Yani mumuelewe Afungwe mtu shilikisho tumkose Tambora, alafu mbona tulishamfunga jamani

  • @christinawarioba8226
    @christinawarioba8226 8 วันที่ผ่านมา

    Huyu kichwa babaaaaaaaaaaaaaaassa mzize we

  • @ramadhanikhalfan848
    @ramadhanikhalfan848 9 วันที่ผ่านมา +3

    Chuma Cha mjerumani umemaliza Kila kitu

  • @christinawarioba8226
    @christinawarioba8226 8 วันที่ผ่านมา

    Ambokile uko vizur

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 9 วันที่ผ่านมา +4

    HATA WANGEKUWEPO TATIZO LIKO WAPI?HELA ZIMELIPWA NA MAJIRANI WAMEPATA VIBALI. WACHE WAJE TUU
    MUNGU NI MWEMA SIMBA ITASHINDA

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 9 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂😂

  • @SetMohamed-i9y
    @SetMohamed-i9y 7 วันที่ผ่านมา

    Mara moja moja huwa una akili

  • @HassanMkwenda
    @HassanMkwenda 8 วันที่ผ่านมา

    Wanaitaja tu, Kwa mchezaji gani wa b3

  • @tumainielmremi7912
    @tumainielmremi7912 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mwandishi Hana interview

  • @AdrianZongo-j6f
    @AdrianZongo-j6f 8 วันที่ผ่านมา +1

    Ambokile ujawah kukosea

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 9 วันที่ผ่านมา +3

    Wa kimataifa mnyama 👹 wataweza hao wafuga nyuki?

  • @GabrielAmma-jp1oo
    @GabrielAmma-jp1oo 8 วันที่ผ่านมา

    Isije ikawa mind game siku hiyo unakuta wapo hao wachezaji wawili wanaowasemea sababu

    • @isikesamike
      @isikesamike 8 วันที่ผ่านมา

      Ndo umwogope Makambo ama Sogne? 😂

  • @ZiadaJuma-d6x
    @ZiadaJuma-d6x 8 วันที่ผ่านมา

    chuma uko poa unajua xana