MAZOEZI YA MWISHO YALIVYOPIGWA AVIC TOWN KUELEKEA MECHI DHIDI YA MC ALGER

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 135

  • @BenoBeno-c4l
    @BenoBeno-c4l 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Bonne.chance mon club prefere daima.mbelee.from.island comoros..

  • @veelmng7746
    @veelmng7746 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mungu awalinde wachezaji wetu, kesho waamuke vizuri watulie uwanjani wacheze kwa umakini mkubwa , kila nafasi tunayopata ikawe goli katika jina Yesu Bwana na Mkombozi wetu.

    • @ElizaYanga
      @ElizaYanga 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amen 🙏

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    INSHA ALLAH KWA UWEZO WAKE ALLAH MECHI YA KESHO TUTASHINDA GUSA AACHIA TWENDE KWAO YANGA BINGWA INSHA ALLAH💚💚💛💛

  • @SaidAkili
    @SaidAkili 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Inshallah KHER Allah awatangulie wachezaji wote Inshallah tuombe Mungu Inshaallah

  • @RamazaniAraajMweneBenga
    @RamazaniAraajMweneBenga 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Allah ibariki timu yetu ushindi kesho twende robo finali
    Aaamin❤

  • @jastinangelo336
    @jastinangelo336 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Naombeni like zang kama kwel nyie wana yanga wenzangu

  • @unclegmihale455
    @unclegmihale455 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mungu akawe nasi🔰🔰🇹🇿

  • @sadokimtondoabahenya31
    @sadokimtondoabahenya31 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu atujalie kesho tupate ushindi inshallah ❤🎉❤🎉

  • @nebathkilatu2610
    @nebathkilatu2610 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Yanga tunayo na tunatamba nayo sio shida zetu💚💛🌿🍏

  • @shadrakagalus1185
    @shadrakagalus1185 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    MUNGU ibarik sana timu yetu ya yanga ipate ushindi wa goli tatu kwa sifuri dhidi ya Mc Alger 🙏🙏

  • @mgenikhalfan7471
    @mgenikhalfan7471 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu atujalie ushind mnono kesho inshaallah kher 🤲🙏Mungu wajalie wachezaji wetu wamke salama inshaallah kher

  • @HajiMiraji-hn1dq
    @HajiMiraji-hn1dq 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Gusa achia twendee kwaoooooo haji miraji hapa

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    😢😢 profesa yuko wapi ee mbona hayupo VP rakini akhaa
    Tunamtaka pokome nyinyi acheni kutuzingua jamani mhhh😮😮

  • @AishaChristopha
    @AishaChristopha 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu akawe nanyi tukatape ushind sku ya kesho

  • @marycianaernest
    @marycianaernest 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Inshallah kesho tupate ushindi 🙏

  • @ShabaniDagila-d3r
    @ShabaniDagila-d3r 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu ibariki yanga❤❤

  • @DannyMasuka-ut4oq
    @DannyMasuka-ut4oq 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Imani yangu ni kubwa kesho ushindi upo

  • @saidikomba3120
    @saidikomba3120 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wewe ndio kila kitu mungu wetu

  • @hggvg9809
    @hggvg9809 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Zizuuuu zouzoua PROFESA wapi jamani😢 kila la heri kwa match ya Kesho GUSA achia twende robo fainal💛💚

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kila la kheri makamanda wetu 💚💚🖤✅💛

  • @SethMpulule
    @SethMpulule 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwa uwezo wa mungu kesho tunashinda

  • @chedielmgonja3837
    @chedielmgonja3837 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Woowww

  • @godsonmgisha5517
    @godsonmgisha5517 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @hafia.056
    @hafia.056 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Our leaders and also our coach stuff and also our all players The owners. And us one billions supporters off Youngs Africans Team. Please please please 🙏 please bring it on always Together Together Together always we will be stronger stronger stronger at any time yes yes it's definitely OK Thank you so much wananchi wananchi wooote vipi lakini apo. Jibuu lake sugar sugar sugar muwaa cream maziwa chai n.k 😅yellow and Green vipi swaffy swaffy swaffy good stuff. Tuppelekke Rahaa mbele kwa mbele kwa pammojja wananchi yess yes yes ♥️ ❤️ 😅😅😅😅😅

  • @LukaKisoka
    @LukaKisoka 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    nmefurahi kuona timu imerudi avic town

  • @OlivaMHANDO
    @OlivaMHANDO 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa msada wake mora tutashinda aminaaaaaaaaa

  • @songombingo108
    @songombingo108 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Pacome yuko wapi? Jana pia hakuonekana pale kwa Mkapa😢😢

    • @JosephMassae
      @JosephMassae 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pacomee yupoo mbn semaa watuu hamfwatilii yukoo wapii

    • @maxsolutionstz
      @maxsolutionstz 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ana special training

    • @jessegervas8946
      @jessegervas8946 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      YUPO anapikwa

  • @kenjipressident190
    @kenjipressident190 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kutokaa allllooooh touch release follow them

  • @AndrewMarino-d5z
    @AndrewMarino-d5z 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Yanga 2 mc Alja 1

  • @innocentmmandago3029
    @innocentmmandago3029 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Good luck!!❤

  • @SamuelEzekiel-zh1hz
    @SamuelEzekiel-zh1hz 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤

  • @HuseniAhamadi
    @HuseniAhamadi 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Inshanllah, MUNGU awe upande wetu , tushinde mchezo

  • @bsure234
    @bsure234 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daaah ila nkane 😂😂😂😂

  • @MathewKaduma
    @MathewKaduma 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yanga bingwa

  • @justuceelias637
    @justuceelias637 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kila la kheri

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pacome yupo wapi? Kilalakheri ktk mchezo wa kesho In sha Allah gusa achia twende robo fainali🙏💚

  • @afredykahabi8599
    @afredykahabi8599 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mbon pacome hayupo aseeeee Toka Jan taifa 😢😢😢😢

    • @JumaHaule-n1s
      @JumaHaule-n1s 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mwenyew najiuliza kuna nn haonekanii

  • @MulkhanNgadejr
    @MulkhanNgadejr 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Gusa achia twende robo daima mbele nyuma mwiko

  • @Baro007
    @Baro007 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    TUKAUJAZE UWANJA NDUGU ZANGU 💚

  • @allenblackamerica7199
    @allenblackamerica7199 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tukashinde kwa mapenzi yake Mungu

  • @babygigglestv10
    @babygigglestv10 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Much blessings to you guyz 🙏🏻 🙏🏻

  • @ChuiChumixh
    @ChuiChumixh 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona pacome hayupooo toka majuziiiii

  • @ThomasElasto
    @ThomasElasto 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Gusa achia twende kwa mkapa

  • @bonynikolausnikolaus916
    @bonynikolausnikolaus916 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Leo siku ya pili haonekani mazoezini

  • @SalvatoryKulaya
    @SalvatoryKulaya 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Jaman pacome aonekani toka juzi

  • @TwahirMohammed-x2h
    @TwahirMohammed-x2h 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tunawaomba wachezaji wetu wacheze ka fainali sababu hii nafasi huja mara moja tu kwa mwaka na mashabiki twendeni uwanjani kwa wingi

  • @MalinoKadwame-u1c
    @MalinoKadwame-u1c 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Pacome yuko wapi

  • @husseinomary3893
    @husseinomary3893 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    "...Waminsharir hasidin Idhaa hasad

  • @MussaKhan-b8f
    @MussaKhan-b8f 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tumerudi Avic town

  • @mwanahamisihatibu590
    @mwanahamisihatibu590 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @meshackharuna1071
    @meshackharuna1071 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Pacome Yuko wap 😢

  • @ThomasElasto
    @ThomasElasto 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Pacome wapi jamani mbona simuoni toka jana

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakujitahidi kutopoteza pasi kwa wapinzani nakutokaa na mpira muda mrefu sehemu za hatari na hata zisizo za hatari

  • @Massy-g9c
    @Massy-g9c 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naombeni namba ya Hersi nimpigie nimuulize Pacome yupo wapi!?

  • @GodfreyBenjamin-e2m
    @GodfreyBenjamin-e2m 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naitakia Kila la her timu yangu ya ynga kesho

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pia muwe mnajaribu mashuti ya mbali kunawakati kuingia ndani ya box inakuwangumu kufunga ata nje ya box muhimu kujitahidi kupiga on target umakini na utulivu pia kutokuwa na papara kufanya mahamuzi sahihi kwa wakati sahihi unahitajika

  • @godfreylushiku3081
    @godfreylushiku3081 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kesho Yanga 3-0MC Alger

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Muwe makini na waarabu ni wazuri wa kupigaipira ya kutenga ,kutafuta penati kwa kujirusha ndani ya box nakupoteza muda kwani kwao ata sare ni faida kwao na mtumieni nafasi kwa usahihi ikipendeza mpate magoli dk za mwanzoni pia wanawachezaji wakuamua matokeo mjitahidi kujilinda nakukaba kwa nidhamu kubwa mno nawaombea Kila la kheri mjitahidi mpunguze makosa pia on target mnazozipata hakikisheni mnazitumia vizuri ili ziwe magoli

  • @romimwalu
    @romimwalu 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Where is Paccome

  • @KondoNgoma
    @KondoNgoma 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Gusa achia twende lobo fainari

  • @barakawabuge5285
    @barakawabuge5285 23 นาทีที่ผ่านมา

    Mnaulizia pacome yuko wapi..tambueni mpira ni vita bila silaha ..na mbinu ni nyingi mno

  • @Chusejr94
    @Chusejr94 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hiz picha za Avic Town ndio nilizimiss kwani hapa najuw ndio sehemu sahihi yanapopikwa magoli

  • @EmanuelSinyinza-o8u
    @EmanuelSinyinza-o8u 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Where is pacome

  • @bsure234
    @bsure234 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Where is pacome?

  • @josepeter8033
    @josepeter8033 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Oya hakikisheni paccome anakuwepo😢

  • @MuhdinHozza
    @MuhdinHozza 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mkude kesho anaanza nini mbona yupo kwenye kikao na Ramovic na Moallin

  • @PascaliSimoni
    @PascaliSimoni 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona hapo kwenye mazoezi pakome hayupo jamani

  • @godfreymbwillo452
    @godfreymbwillo452 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Pacome 😢

  • @KayandaPatrick
    @KayandaPatrick 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pacome yuko wapi jamani???

  • @amosalfred418
    @amosalfred418 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pacome aliumia mazoezini😢

  • @swedihamisi3389
    @swedihamisi3389 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamani mbona pacome hayupo??

  • @shadrakagalus1185
    @shadrakagalus1185 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona cku mbili za mazoez hiz cjamuona pacome kwenye mazoez?

  • @abassabubakary8575
    @abassabubakary8575 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona kama pacome hayupo au macho yangu

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na mjilinde na counterattack

  • @ismailo.mohamedi1607
    @ismailo.mohamedi1607 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Where is Pacome??

  • @MsafiriJabu
    @MsafiriJabu 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona pacome Jana n Leo hajaonekana mazoezini

  • @mussahshabani518
    @mussahshabani518 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamani sijamuona pacom

  • @ImmuJunior
    @ImmuJunior 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Leo siku ya 2 simuon pacome

  • @naomimbise-zp1xm
    @naomimbise-zp1xm 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pakome jmn yupo wp😢

  • @chinedu255
    @chinedu255 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pacome wapi yupo jaman 💔

  • @SospeterKusaduka
    @SospeterKusaduka 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Pacome Yuko wapi kwani ha2muoni

  • @kichefuchefu2382
    @kichefuchefu2382 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    UKWELI MNAZNGUA SIO KILA MNACHO KIFANYA KILA MTU AJUE HIIII SIO NZURI MAAANA WANZANI WANA WASOMA TUUUU

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pacome atakuwa na shida ila viongozi wamekausha naona mechi ya kesho wanaichukulia poa kama vile mc ulger ni dodoma jiji

  • @أبومحمدفقيهابنعلويابنقاسم
    @أبومحمدفقيهابنعلويابنقاسم 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamani kwani Pacome majeruhi

  • @GodwinPatrickMdaku-j7i
    @GodwinPatrickMdaku-j7i 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Pacome hayupo

  • @bkmshiko1816
    @bkmshiko1816 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pacome 😢😢wapi

  • @johncharles2047
    @johncharles2047 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Where is pacome zouzou

  • @JussoVaizer-nu3ev
    @JussoVaizer-nu3ev 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Au pakome ndio kaxhasepa au mbona hatumuoni

  • @izacknongo4273
    @izacknongo4273 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yupo wapi pacome !!!

  • @AziziSuleimn
    @AziziSuleimn 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona hatumuoni pacome jmn

  • @comfortkitiwi2879
    @comfortkitiwi2879 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makamanda wakimbizeni na joto la Daa Hadi wakome msiache wapoe ndo dawa Yao

  • @ramadhanbakari6042
    @ramadhanbakari6042 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbn pacome hayup

  • @أبومحمدفقيهابنعلويابنقاسم
    @أبومحمدفقيهابنعلويابنقاسم 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pacome majeruhi halafu Ali Kamwe hatuambii

  • @Felixramadhani-m2v
    @Felixramadhani-m2v 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mbona pacome hayupo

  • @Kiluwale
    @Kiluwale 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pocome sijamuona tokea jana...

  • @AthumanHashim
    @AthumanHashim 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pacome mbona ayupo

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tulilishwa matango poli na baadhi ya wachambuzi uchwara eti Diara majeruhi alionayo yatamuweka nje 4week mpaka 6week sasa mbona namuona yupo fit tayari kwa game sasa nawashangaa hawa wachambuzi njaa taarifa wanazipata wapi?

  • @Pmoney_tz
    @Pmoney_tz 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mkude kazingua au😅😅😅😅

    • @FredyFrank-tf6jy
      @FredyFrank-tf6jy 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      kocha kanwita kamwambia kesho usile vitu nakupanga😅😅😅

  • @JamalSimon-ul5vs
    @JamalSimon-ul5vs 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pacome yuko wapi jaman

  • @EsterAmani-d3k
    @EsterAmani-d3k ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kesho Dube wenu aanzie benchi, acheze Kenedy. Wachezaji wapewe fursa sawa. Huyo dube wenu anapapara utafikiri mchezaji wa umitashumta lakini kila mechi yumo, hadi mechi za maamuzi...au ana hisa kwenye timu?

    • @KajunaJovinary
      @KajunaJovinary 7 นาทีที่ผ่านมา

      Umekata ticket?? Kama umekata ticket kesho wahi uwanjani kushangilia, majukumu mengine waachie wenye professional zao