Mtafsiri tunaomba ututafsirie ukwel khaaaaah Pale yule mama alikua anatapika kwasababu huyo dada alipika nyama ambayo huyo mama haitumii na wala hata sio dawa 🙌🙌🙌🙌
@@maxrecapswahilihdhapana ujumbe sio huo jamaa amepewa masharti ili arithi pesa za kampuni na kampuni lazima waowe yeye na kaka yake!! Ili kuweza kuendesha kampuni!! Mdogo mtu akakutana na huyo dada na kuingia mkataba wa kuwa mchumba wake ili wafunge ndoa ya magumashi sasa wewe unatafsiri na sio Dawa ni nyama ya nguruwe
Walahi tujifunze kuishi nawatu kama Sharon japo alikuamwizi Apo mwanzo❤❤❤ good job DJ 💯👏👏👏
Kabisa kuna watu wana badilika, ni funzo kubwa sana
Jamani nimechelewa kidog ila nimewai Ahsantee brother 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤
Karibu sanaa
Mtafsiri tunaomba ututafsirie ukwel khaaaaah
Pale yule mama alikua anatapika kwasababu huyo dada alipika nyama ambayo huyo mama haitumii na wala hata sio dawa 🙌🙌🙌🙌
Kweli jamaa anadanganya kabisaa yaani anajua wote hatujui kingereza Mimi nimeicheki hii movie ila anavyotafsiri sivyo😊
Wakwanza❤❤❤
Kama wa pili vileee, ila ngoja tukupe maua yako na likeee😂✅
Asante sana kwa story Kali pita nimejifunza upendo ni daraja la mafanikio pia tuvumiliane
Mwisho waubaya ni aibu ❤❤
Sanaa
Mashallah ❤❤❤
Nimeiwahi 😅😅😅😅
Karibuuuu
Jaman nzurii kwelii🎉🎉
Asanteee
Nimeisubiri🎉🎉🎉🎉
Hatimae imefikaaa
It is very good ❤❤❤❤
Thanks
Cool 👌🇨🇩
Movie nzuri sana🎉🎉🎉 jamani tuletee ni pia kama zile za kina princess Tyra and Passion of my soul
Sawaaa
Nzuli sana
Asanteee
From DRCongo 🇨🇩🇨🇩
Karibu sanaa
Jmn huyu ni vumilivu kwa kwel namp makopa yake❤❤❤❤
Sana aiseee
Asante kwamuendelezo
Karibu sana
Nimejifunza uvumilivu niwamuhimu sana, hasa katika nyakati ngumu
Kwel kabisaa
Subra ndo jambo muhimu ❤❤❤
Kabisaa
Bom trabalho brow 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Kuishi na watu vizur❤
Nikweli
I nimependa sana kutoka mocambique
Kweli
Nice
Welcome
Wallah tamu
Sanaa
Duuuh nimempenda Sharon mvumilivu sana anh
Nikweli
Lkn kichwa cha habar tofauti na movie😮
Jamani huoni kaogopa kushika konii hapooo
❤ nic
Inafunfisha sana kwavijana
Asante
🎉🎉🎉🎉
Namipenda sana piya nawatakiya mwaka wabaraka nimetokeya RDC🇨🇩
Asantee karibu sanaaa
Mm sijaelw title na story tofautiiiiii
Title ni kivutio cha kutazama story nzur
Iyi movie ni nzur sn na ina mafunzo ila ss dj kam unatoa titre ya movie uwe unaangalia cha kuendan na movie
Muhim ujumbe,karibu sana
@@maxrecapswahilihdhapana ujumbe sio huo jamaa amepewa masharti ili arithi pesa za kampuni na kampuni lazima waowe yeye na kaka yake!! Ili kuweza kuendesha kampuni!! Mdogo mtu akakutana na huyo dada na kuingia mkataba wa kuwa mchumba wake ili wafunge ndoa ya magumashi sasa wewe unatafsiri na sio Dawa ni nyama ya nguruwe
tuna omba mwendelezo ep3
Iliishia hapo boss wangu
❤
Nzuri sana
Haujui
Wivu utakumalizaa😂😂Angalia comment za wenzio kasoro wewe tu
❤❤❤❤❤❤
Uko Poá dj
Asante
Mashallah ❤❤❤
Alhamdullillah
🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤
🥰🥰🥰
❤❤❤