Kutokuwa na maamuzi.ya kuwauwa waingizaji wa madawa ya kulevyi hatakoma kuleta hapa Tanzania ipitishwa sheria ya kuwaua kama china wataacha kuinguza hapa petu lakini kuwapeleka mahakamani ni kazi ya bure mwisho wanashinda kesi kifo ndio itakomesha tatizo hili serekali sasa huu ni mdamuafaka kutoa amri ya kifo mtu. Yoyote.atakaye.kamatwa na madawa ya kulevya
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
WAONGO WAKUBWA, HAOWANAOLETA NDIO MNAOKULANAO NDIO MAANA MMENENEPA MASHAVU!
Kweli watafuta matatizo😂😂😂😂😂😂😂
Nipeni dilii hapa kahamaa niwasanue ilaa kaka kichwa ziwy
Kutokuwa na maamuzi.ya kuwauwa waingizaji wa madawa ya kulevyi hatakoma kuleta hapa Tanzania ipitishwa sheria ya kuwaua kama china wataacha kuinguza hapa petu lakini kuwapeleka mahakamani ni kazi ya bure mwisho wanashinda kesi kifo ndio itakomesha tatizo hili serekali sasa huu ni mdamuafaka kutoa amri ya kifo mtu. Yoyote.atakaye.kamatwa na madawa ya kulevya
Hamna lolote nyie mnakamata dagaa kambare hamuwakamati tumewachoka kuwasikiliza maana niwaongo sana
Mpumbavu tu hyo anaona sifa anaongea tu kazi zenyewe wanapewa talifa na maifoma
Kiongozi anag'aaa😅