Jambo Dada Martha Baraka, habari zako uko mzima? Mimi ni moja wawale wanafatiliaja nyimbo zako kwenye Yutube, naomba unijulishe nini imekufikia mpaka munaachana na mume wako,nasubiri jibu lsko ili ufari moyo wangu asante sana
Ubarikiwe sana kwa wimbo mzuri dada ,, lakini wafuasi wa nyimbo zako hatujuwi Kwanini jina lako siyo tena Martha Baraka ,, tujibu sababu please 🙏, Mungu akubariki
I love this song naurudia 2024
Jambo Dada Martha Baraka, habari zako uko mzima? Mimi ni moja wawale wanafatiliaja nyimbo zako kwenye Yutube, naomba unijulishe nini imekufikia mpaka munaachana na mume wako,nasubiri jibu lsko ili ufari moyo wangu asante sana
Rumba tamu yenye ujumbe mzuri😍😍😍 hallelujah 💞💞🇹🇿
Amen amen mtumishi wa tumebalikiwa ,,,sisi Batu ba Congo tunasemaka,,Rumba ipo byee Sana....
Barikiwa mtumishi kwa wimbo mzuri
Nyimbo zako tamuuuuu 😘😘🥰🥰
From Nairobi Kenya ... When are you visiting Kenya?
Ubarikiwe Sana Mama.
Nimekupenda the way alivyo imba najikuta nipo paradiso! Ubarikiwe sana dada❤💯🕺🕺
Ninabarikiwa sana kwahuu wimbo amebarikiwa amtegemeaye Mungu Asante sana madam martha
Nahisi barikiwa sana mtumishi talanta hii iendelee kupata kibali mbele machoni mwa bwana Amen Amen🙏🙏🙏💯
Ubarikiwe sana Madam.
Ipo faida ktk kumtegemea Bwana.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu!
Huu wimbo umenipa kuendelea.Nimepitia changamoto kubwa lakini nashukuru Mungu nimeendelea kumtumaini.Nimekataa kusikiza maneno namtumaini.
Amen.. Thank you Mutumishi Martha for the inspiration through your ministry
hongera madam mtha kzi yako nzuri sana napenda sana kazi zako
Safiii, wimbo wa washindi na walioshindwa unawafanya washinde
Nashukuru sana kwanyimbo zako
Madam Martha Baraka
Tukopamoja ntazidi kufatiliya
Unaimba vzr ila unatuumiza na skendo chafu
Mungu akupandishe tena zaidi kabisa ulimwenguni pote
Blessed in Kenya
Kama unasikiliza ukiwa malawian like comment
Vraiment ubarikiwe kabisa sana mutumichi wa mungu miye nafurai sana kabisa 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼🇳🇱🇳🇱🇳🇱🇳🇱💐💐💐💐💐🎈🎈🎈👌❤️🙏🙏🎁💃🏼💃🏼💃🏼✌️❤️❤️
Napenda nyimbo zako,mungu anakutumia kufariji watu sana
Ahsante dada🎉barikiwa sana
Ubarikiwe sana kwa wimbo mzuri dada ,, lakini wafuasi wa nyimbo zako hatujuwi Kwanini jina lako siyo tena Martha Baraka ,, tujibu sababu please 🙏, Mungu akubariki
Madamu Martha naomba Nami nipate kolabo nawewe
Akuna chochote boyaaa wee mbona umeachika kwa baraka ukumtegemea mungu
Unazidi kunawili dad angu mungu akulinde na kukubariki kwa kila jema ulifanyalo
Bonge la rhumbaaa ujumbe unainuaaaaa haswaaaa nimekumbuka gharika nilizopitia 2021....nimebarikiwa kwa kumtegemea MUNGU
Acheni vipodozi ni mali ya Jezebel! Mjikubali vile mlivyoumbwa.
Vina madhara ya kiroho na kimwili
Blessed song.....mungu akubaliki....but kuna wimbo wako huwa nautafuta siupati...umeimba "nilikwenda ufukweni kupunga upepo.."nisaidie kuupata
This gospel rhumba..I like it!
Amen Amen God bless you Martha
This song blesses me so much....
Much love mama from Zambia 💋💋💋💋💋🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
This so lit 🔥🔥🔥🙌🙌🙌
Nimebarikiwa sana na huu wimbo be blessed Mama
Huwa nampenda sana huyu dada na nyimbo zake zote ni nzurii sana.
Hongera mtumishi kazi zuri sana
Nitafanikiwa ata nchi ya ukame barikiwa sana
Umebeba mimba tena ukiachika je🙆🙆🙆🙆
so powerful
Wimbo kulingana na maandiko. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen ubarikiwe dada
👏🙏👏🙏👏🙏👏🙏👏
Beautiful song indeed.
Ameeeeeen 🙏🙏 amtumainie bwana hakika amebarikiwa kamwe hata aibika milele🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Unaitwa Martha Nani sasa hivi boya we🙆😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Mtu huyo ataitwa Heri mbarikiwa 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Barikiwa sana Mtumishi Wa MUNGU
Amen ali kumtengemea mungu God bless dear
Amina 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 ubarikiwe kwa uimbaji wako hakika .....tunabarikiwa wengiiiiii
Ubarikiwe dada
Ameni.haleluyaa
You're blessed dada Martha....shukran wimbo wa baraka 🙏🙏
Boss,,maman
Mama kijacho!!barikiwa sana and safe delivery dada!
Watu macho yanaonaaa🤣🤣🤣🤣
Beautiful ubarikiwe mama
Balikiwa sana dada
Asanti Dada ubarikiwe
Beautiful beautiful song🌹 great assurance from God for those who believe in Him 🙏❤️
Alien muumba amuzidishe uhai Amina.
Amina wimbo mzuri
❤❤🎉🎉🎉 thanks for
Mtumishi nashida sana na wewe, naitaji kufanya collabo na wewe naomba namba zako tuyajenge
Amen ubarikiwe sana Madam
INI nyinza sana ilumbu .
Amen amen amen Asante
Good song Goddess you
Barikiwa sana
Amen God bless you martha baraka
i m blessed
Mungu akubariki dada wimbo nzuri mno tumebarikiwa sana
Amen Blessed Song
Ameni.mungu.ndio.tegemeo.letu
Ubarikiwe ❤️❤️❤️
Haleluyaaa
Ameeeeeeen ameeeeeeen ameeeeeeen ameeeeeeen
Wow 😲😲 good song
May God bless you mom
Be blessed
Nimebarikiwa
Awesome song, beautiful.
Ameen 🙏
uko mja mzito Dada?
❤️❤️💙💙
Amen Amen
Nice song
My name's is
Emmanuel siuu
Dada MATHER Wewe ni MTU MUHIMU SANA DUNIANI KWA UTUKUFU WA MUNGU
Be blessed 🙌
I love you song
Amen and amen
Jah bless
🙏🏻🙏🏻👏🏽👏🏽🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💃🏽👩🏽✈️
Aww 🥰
Amima
Amen ❤
Amen
AMINA
Naona kama una pregnant hivi
Umebeba mimba tena ukiachika je🙆🙆🙆🙆
Hawaachikagi my Dear
Wamejipanga, hahaaaa