ความคิดเห็น •

  • @adenmwakalobo760
    @adenmwakalobo760 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzee Butiku siku hizi kawa mwoga, hataki kuusema ukweli wote ktk mambo ya msingi yatokeayo/yanayoendelea ktk nchi yetu! Utasemaje ''Rais wetu alisema kwa masikitiko/akisononeka kuhusu rushwa...'' wakati yeye mwenyewe SSH anaongoza kutoa pikipiki zenye jina lake wakati huu wa uchaguzi na yeye akigombea??? Je, hiyo siyo rushwa kwa wapiga kura? Mkataba wetu na DPW unaendelea licha ya kuingiwa kinyume cha sheria; je, hiyo siyo rushwa yake mwenyewe??? Kama unamwonea haya Rais SSH kwa haya yaliyo bayana kabisa, basi afadhali ukae kimya kuliko kuyumbayumba unakokuonesha hapa!