Uimbaji wenu wa kipekee wanifanya kila siku katika maisha yangu nimtukuze MUNGU wa mbinguni kwa ukuu wake wa mbingu jinsi alivyomchanganya shetani na kuweza kuyaficha maisha yangu katika nchi njema ya Tanzania! MUNGU awabariki sana, nyimbo zenu zimefanyika baraka kubwa katika maisha yangu. Shalom Christopher Shonga Furaha choir-Swahili service London
From tanzaniaaa this songs who present prophet it's let's holyness our life every day
Ombi hili ni maalumu sana. Mungu atuhurumie. Amina.🙏🙏🙏🙏
Uimbaji wenu wa kipekee wanifanya kila siku katika maisha yangu nimtukuze MUNGU wa mbinguni kwa ukuu wake wa mbingu jinsi alivyomchanganya shetani na kuweza kuyaficha maisha yangu katika nchi njema ya Tanzania!
MUNGU awabariki sana, nyimbo zenu zimefanyika baraka kubwa katika maisha yangu.
Shalom
Christopher Shonga
Furaha choir-Swahili service
London
basi endelea kubarikiwa
Bwana awabariki waimbaji
Bwana Mungu aliye wapa Maono haya mema, azidi kuwatumia katika kuiburudisha mioyo yetu.
Amen barikiwa watu wa Mungu.
Asante kutupenda bure tunashukuru sana
Mbarokiwe Sana vop kasuru, siku moja mkaimbe wimbo wa msa na mwana kondoo mbinguni
Mungu awabaliki sana
Aminaaaaaaa.
Nyie Watu napenda Sana uimbaji wenu mibarikiwe,nina nyimbo zenu kwa Computer yangu nying mno
Mii nawapendasana
Amina amina sana
Amina
Aman