ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Mungu akubariki sana kaka kwa nafasi uliyowapa wananchi hao na kutatuwa shida zao , Viva ccm
Mh bba,ubarikiwe sana,tunaomba mungu akupe nafasi,cku ujapo mkoa wa tabora,wilaya nzega,ufike jimbo la bukene,itakua baraka kwetu.
Viva Magufuli Tz
Katika kitu ninachopenda kuangalia ni ziara za JPM!!!
Yaani unizidi mimi
Kumbe tupo wengi
huyu mbunge lazima kesho utamsikia CCM...Usicheze na aliye shika mpini...kanyaga..
Huyu mzee akitoka madalakan tz itakua inaifukuzia Toronto
Jembeeeee letuuu
Hapa kazi tu
Milioni hamsini kila kijiji
Tatizo viongozi wako wanakuogopa! Ulipokuja mbalizi maji yalitoka lakini ulipoondoka tu! Maji yakaondoka!
kwa hiyo mlitaka wasichaguwe vyama vya upinzani? uongoze pekeako?
We ni muongo
sema uongo wake bruv..upi??