FAIDA 4 ZA KUMJUA MUNGU by Innocent Morris

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Katika somo hili tumejifunza faida 4 za kumjua Mungu, tunamjuaje Mungu, tabia za Mungu, jinsi Mungu anavyojifunua katika neno lake n.k kwa hiyo fuatilia somo hili mpaka mwisho hutojutia.
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Contact: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram link: / holyspiritconnect
    Facebook link:
    / holyspiritconnect

ความคิดเห็น • 25

  • @RichardMkomwa
    @RichardMkomwa หลายเดือนก่อน +1

    Ameen mtumishi ubalikiwe sana na MUNGU

  • @Mary-z5i1s
    @Mary-z5i1s หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen ubarikiwe sana mtumishi nimejifunza mengi sana neno la Mungu kutoka kwako🙏🙏🙏🙏

  • @peterhowa9129
    @peterhowa9129 5 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen Mtumishi wa Bwana, somo zuri sana hakika limenifunia mno ufahamu wangu wa kumjua MUNGU, Jamani MUNGU wetu ni mzuri anatupenda mnoo kuliko hata tunavyofikiri, Ee Yesu naomba nisaidie nikae miguuni pako usiniache hata mwisho dahari, nakupenda sana kwasababu wewe MUNGU ulinipenda kwanza

  • @mtumishisuzanne5497
    @mtumishisuzanne5497 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @madamleticia94
    @madamleticia94 ปีที่แล้ว +1

    AMEN 🙏🙏

  • @cecyliangonyan8382
    @cecyliangonyan8382 4 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Kaka Asante kwa ujumbe mzur

  • @neemakahangwa2224
    @neemakahangwa2224 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @hekimasanga3952
    @hekimasanga3952 5 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana Mtumishi

  • @bensonkimaro8892
    @bensonkimaro8892 5 ปีที่แล้ว +2

    Amen kaka Inno

  • @catherinebunga7116
    @catherinebunga7116 4 ปีที่แล้ว +1

    Am so blessed today with this word . Thank you 🙏🏽

  • @janejoseph9009
    @janejoseph9009 5 ปีที่แล้ว +2

    kunafaida katk kusoma neno mm nimekuwa nikikata tamaa mapema sana hasa ktk kuomba kuna kipindi nilikuwa nikiingia kwenye maombi kunazaburi nilikuwa na isoma asubuhi jioni lakn ilifika mahali nikaacha basi nimekaa kwa kipindi kirefu sana bila kuisoma hiyo zaburi lakn siku moja usiku wakati nimelala niliota ndoto naambiwa nisome zaburi ya 102 basi asubuh niliamka niangalie hiyo zaburi inasema nini bas wakat na soma nikagundua ni ile zaburi ambayo nilikuwa naisoma kipindi hicho nikaacha nikajua MUNGU anaongea na mm kupitia neno lakn zaidi juzi wakati nimemalizia maombi yangu ya kufunga nilimshangaa sana MUNGU wakat kaka ino umenipa mstari ambao pia siku za nyuma nilikuwa nikiukiri nikaacha baada ya kuona madeni ninayo mengi kwahiyo sikuona yena faida ya kuendeleabkuuiri ule mstari lakn juz nilijua hakika MUNGU anasema na watu kupitia neno inaweza isiwe sasa lakn ipo siku litatimia lile ninalo litamka kila siku Barikiwa Mtumishi

  • @anadoricekomba3064
    @anadoricekomba3064 5 ปีที่แล้ว +2

    Amen, man of God.

  • @МоскваМосква-ы2е
    @МоскваМосква-ы2е 2 ปีที่แล้ว

    AMEEN🙏🙏🙏

  • @neemakahangwa2224
    @neemakahangwa2224 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @klaragreen7999
    @klaragreen7999 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen