@@paterntarimo5185 sawa sawa kabisa lazima uvipe vidole zoezi kwa mwendo wowote ule uonao unafaa kwa wakati husika hasa ukiwa zoezini mkude ni mmoja wa maoganist ninaowakubali sana kwaanza music wa kikatolic mchango wake nimkubwa sana sana hasa upande wa upigaji kinanda.
@@joachimnguma6812 sii mbaya wimbo ukiwa Bb flat waweza pandisha nusu toni ukaichezea B major au ukaishusha ukaichezea A mfano misa ya kayeta wengi huchezea A badala ya Bb flat
wueeeh hizo tempo na haendi offkey...this is such an amazing gift😋🎼🎹🤝🏼
Hiyo ni damu ya cecilia arushaaaaaaaaaaa❤❤❤❤
Mkude Sekulu best organist all the time
Mwamba umetisha, uko vema sana umekimbiza kisawasawa!@.
Nilikuwa naupenda Sana huu wimbo wakati nasoma Bagamoyo Sec 1997 to 2000, kanisani kwa Father Bayo, tuliimba Sana jamani.
@ZILIPENDWA TANZANIA Msifuni Yesu Mwokozi
siku hizi haupendi.😁😁🤣
Inaitwa aje tafadhali
woooooooooow Mkude🎹🎼🤝🏼🎵😊✔😋😋🤝🏼🤝🏼🎼🎹
Mafundi na walimu wamavu. Nakuelewa kaka mkudee
Hafai huyu mwamba duuh pongezi nyingi kwake
Hapo mkude umeweza!!!!!
Am proud to be acatholic man forever
Kipawa Cha kweli Mungu akulinde
mwalimu sekulu ningetamani nikuone laivuu
Napata raha sana 😊
Mkude sekulu the best
kazi safi hio
Looking forward to reach the place
God Bless you🙏🙏
Asante teacher 🙏🙏🙏🙏
Wewe niatari
Huyu Mkude ni amebarikiwa ase
I love that
Sawa legend
Ai ai ai🔥
nice one 👏
Inaitwaje hii song bro
@@larrypaulthepoet293 msifuni yesu mwokozi
Title of the song
🔥🔥🔥
kapotelea wapi mkuu
Legent wetu huyu hatari na nusu!!
mkude noma
Huu wimbo unaitwaje?
Mvike kilemba mfalme wa mbingu
Title of the song please
Msifuni Yesu Mwokozi
mkude babalao
Tanzania one ,,,..🤣🤣🤣🎵
Heterozygous increases fitness
kakimbiza mno
3/4 beats
Alianza taratibu huko kukimbiza ni sehemu yake ya mazoezi.
@@paterntarimo5185 sawa sawa kabisa lazima uvipe vidole zoezi kwa mwendo wowote ule uonao unafaa kwa wakati husika hasa ukiwa zoezini mkude ni mmoja wa maoganist ninaowakubali sana kwaanza music wa kikatolic mchango wake nimkubwa sana sana hasa upande wa upigaji kinanda.
Pia key anayopigia sio sahihi ni A badala ya B b
@@joachimnguma6812 sii mbaya wimbo ukiwa Bb flat waweza pandisha nusu toni ukaichezea B major au ukaishusha ukaichezea A mfano misa ya kayeta wengi huchezea A badala ya Bb flat
Hausikii ni mazoezi...huyu ñi mwalimu aise