Je ! Sheikh Abuu Iddi Amemsomesha Sheikh Kassim Mafuta !!!?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @abuurauzwat1006
    @abuurauzwat1006 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtu awachw ujinga Bwana . Kassim Mafuta anacho kikataa nikwamba hajasomeshwa na Abuu Iddi sio kwamba hasomesheki hapana kwaiyo mtu awache ujinga na ushabiki wakumzungumza vibaya Sheh Kassim .

  • @mussahamisi1498
    @mussahamisi1498 2 ปีที่แล้ว +1

    Maadam sheikh ameapa kwamba abuu idi haja somesha qassim, basi inaaminika maana amemueka shahidi allah

  • @jamalbahdela524
    @jamalbahdela524 2 ปีที่แล้ว +1

    Mawahabi hawakubali, anamkataa shekh wake kweupeee

  • @abdallahsiraji9919
    @abdallahsiraji9919 ปีที่แล้ว

    Kwani ukisema kakusomeaha utakua dhalili? Kama kweli kubali Allah anakuona Kasim mafuta mm najua kuwa nikweli anayosema huyo bwana Abu Idd na kama Uongo aulizwe shekh mkweli wa Kisuna Shekh Muharram Mwaita wa Tv Afrika,....

  • @talibmuhsin5221
    @talibmuhsin5221 2 ปีที่แล้ว +1

    😄😄😄😄nacheka kwel kwel cc kwn Kuna ttz gan kusoma uko , haiwi mtume wa Allah alipelekw kwa kihdhry akasome je yeye , mm nasema kassim mafuta unapotoa watu Ila jitathmini unachkifany na una dhimma mbele ya Allah , nyny ndo mnaongexa idadi ya makundi aloyataja mtume s. a. w

  • @islamseyffden7723
    @islamseyffden7723 ปีที่แล้ว

    Dahh😂😂😂mawhab mtihan snaa

  • @allykhamis124
    @allykhamis124 2 ปีที่แล้ว +4

    dini mukaitangaze vijijini watu waujuwe uislam sio kubishana mambo ya kipuuz km hayo munapotez mda tuu wakati watu wanatak kuujuw uislam

    • @shabanmagambo5353
      @shabanmagambo5353 2 ปีที่แล้ว

      Wewe umetangaza huko vijijini..?

    • @hamzayusuf2999
      @hamzayusuf2999 2 ปีที่แล้ว

      kumbe ni wahani lakini sikuhizi hakuna mshahara kwisha s.arabya afungwa mabra hataki uwahabi

    • @suedealfane9055
      @suedealfane9055 2 ปีที่แล้ว

      @@shabanmagambo5353حسب الله ونعم الوكيل

  • @asiaiddi2539
    @asiaiddi2539 2 ปีที่แล้ว

    Kwan mnagombea nn jamn...

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 ปีที่แล้ว

    Kwani kuna ubaya gani kusomeshana! 😀

  • @omaryjuma1276
    @omaryjuma1276 2 ปีที่แล้ว

    Hawa mashekhe Wana matatizo Hawa ndo Wana vbri vya dini

  • @abuuzwiin1876
    @abuuzwiin1876 2 ปีที่แล้ว +1

    sheikh mafuta umeanza bangi ukubwani iyo ndio shida yote

    • @mussahamisi1498
      @mussahamisi1498 2 ปีที่แล้ว

      Umesema maneno mazito ndugu ushahidi wa kuvuta bangi kwake utakuthibitisha mbele ya allah?