The results indicate that, there's no serious opposition in Tanzania, ccm is still doing well and it will continue in power without big hindrances ❤❤❤❤.
Uchaguzi ulikuwa mzurihakizilitendeka pande zote Asante Tamisemi Kwa uchaguzi huru na haki Asante Mh rais wetu wa jamuhuri Ya muungano wa Tanzania hii mambo ya maneno haikosii wataongea tu sisi tunashukuru Kwa amani tuliyonayo
Kubwa jinga ,watu wameuawa wamevunjwa, mabox yamekamatwa na kula za ccm, kura feki za ccm zimeingizwa kwenye maboksi kwa mabavu afu unasema uhuru uhuru toka umehongwa useme hivyo mtajibu nini mbele za Mungu msipotubia uovu wenu
Mambo yamekaa poa,waziri wa tamisemi,mwanachama wa ccm anatangaza matokeo ya ccm , chadema na vyama vingine , chadema na vyama vingine hawana wa kutangaza na kusimamia matokeo na kura,hivo matokeo hayo ni ya wasiwasi sanaaa ,asilimia 99 inaweza kua sio kweli,na kama kweli nyinyi vyama vingine mkalale au jipangeni bado
Ukizoea vya kunyonga vya kuchinja huviwezi.Halafu huwi na aibu kujisifu,kujitangaza,kujigamba. Yaani baada ya unyongaji wote huu tangu kuandikisha watu hewa,kuengua wagombea wa upinzani kwa sababu mbalimbali za uonevu,kuwafanyia figisu mawakala,kuingiza kura feki,kuuwa ,kujeruhi,na kuweka ndani baadhi ya wanachama na wagombea wa upinzani Waziri bado ana ujasiri wa kutoka hadharani kifua mbele akikisemea chama chake kwamba kimeshinda kwa kishindo asilimia 99. % Hivi ingekuwaje vinginevyo baada ya figisu zote hizo za wasimamizi wa uchaguzi wakisaidiana na dola?. Kwa nini kama kweli ccm inataka kujitathmini kukubalika kwake kwa wananchi isiache pawe na ushindani wa haki? Mtanyonga mpaka lini??.

Muogopeni mungu eti wamekaa na kalamu
Vyama vyote vya upizani tutaonana 2027 inshaall CCM oyeeeeeeeeeeeeeeee
Uchaguzi ulikuwa mzurihakizilitendeka pande zote Asante Tamisemi Kwa uchaguzi huru na haki Asante Mh rais wetu wa jamuhuri Ya muungano wa Tanzania hii mambo ya maneno haikosii wataongea tu sisi tunashukuru Kwa amani tuliyonayo
Kubwa jinga ,watu wameuawa wamevunjwa, mabox yamekamatwa na kula za ccm, kura feki za ccm zimeingizwa kwenye maboksi kwa mabavu afu unasema uhuru uhuru toka umehongwa useme hivyo mtajibu nini mbele za Mungu msipotubia uovu wenu
Mambo yamekaa poa,waziri wa tamisemi,mwanachama wa ccm anatangaza matokeo ya ccm , chadema na vyama vingine , chadema na vyama vingine hawana wa kutangaza na kusimamia matokeo na kura,hivo matokeo hayo ni ya wasiwasi sanaaa ,asilimia 99 inaweza kua sio kweli,na kama kweli nyinyi vyama vingine mkalale au jipangeni bado
Yamawakadilia du! Miniliona nipoe hom
Hakukuwa na uchaguzi kulikuwa na maigizo ya uchaguzi
Ww ni shetan
Sasa hao wanaandika nini
Nnacho jua mimi CCM mbele nyuma mwiko ukikataa sikulazimishi, kuyakubali kuyakubali matokeo CCM sio kaziyake utajiju wewe,
Mmmmm??????
Ukizoea vya kunyonga vya kuchinja huviwezi.Halafu huwi na aibu kujisifu,kujitangaza,kujigamba. Yaani baada ya unyongaji wote huu tangu kuandikisha watu hewa,kuengua wagombea wa upinzani kwa sababu mbalimbali za uonevu,kuwafanyia figisu mawakala,kuingiza kura feki,kuuwa ,kujeruhi,na kuweka ndani baadhi ya wanachama na wagombea wa upinzani Waziri bado ana ujasiri wa kutoka hadharani kifua mbele akikisemea chama chake kwamba kimeshinda kwa kishindo asilimia 99. % Hivi ingekuwaje vinginevyo baada ya figisu zote hizo za wasimamizi wa uchaguzi wakisaidiana na dola?. Kwa nini kama kweli ccm inataka kujitathmini kukubalika kwake kwa wananchi isiache pawe na ushindani wa haki? Mtanyonga mpaka lini??.
Hakuna uchaguzi hapo
Hahahahahajah😅😅😅
Yamawakadilia du! Miniliona nipoe hom
Yamawakadilia du! Miniliona nipoe hom