HABIYA LLAH WANEEMA AL WAKEEL"! AMEEN🤲" ADUWI WEE HOUSE MAID"! MONEY SPEEPING"! MORE THEN LOVES❤💖 MORE THEN KIDS MORE THEN EVERYTHING"! FROM THOSE FELLOWS DAYING FOR FROM MONEY"! N THINGS"! ONLY😢!? NO"! LOVES NO"! FAITHFUL NO"! IHSAN NO"! IMAAN"!
We mkristo huujui uislam ni maumbile ya Mungu yeye ndo katuumba anajua tulivyo ila nyinyi mnaenda kinyume na uumbaji mfano viongozi wa dini yenu hawaoi je ni Andiko gani wanafata pili Mungu kaumba unakula matamanio ya mwili una malizia wapi, je ni wale masista wenu wanawapa huduma kule. Tatu Angalia mitume waliopita walikua a wake zaidi ya mmoja, imekuja Qur an imeweka idadi mwisho 4 wanne, lakini kwa sharti uwe na uadilifu kwao, pili uwe na nguvu, za kutosha. Huna pesa huna nguvu huna uadilifu baki na mmoja tu. Mkrsto mmepangiwa mmoja tu ila kiuhalisia ana michepuko 4 mpaka 6 je kuzini na kuoa ipi bora mbele ya Mungu wako. Acheni kuchafua uislam.
Jamani kiliwaka hapa nawapenda sana meme cheza viziri sana ❤️🥰🥰🥰🥰 kbs🎉😁😁😁😁😁👌🏼👌🏼❤
jamani,nani mwingine katazama hadi mwisho anipe like tukisonga!!
😂
❤
Mambo ya mke mweee 👌👌👌humu tyyy
Wadigo hoyeeeeee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 tupewe mauwa yetu jamani😅😅
Mlinzi kafanya kazi yake kaweka eshima ya jumba kampa mfanyakazi kampa mama mwenye nyumba atali bosi anacho iyo tam kweli❤❤❤
Muke sina 😂😂😂 yatakiwa Exprece😊
Mke wa kwanzaa mauwa ni yako❤❤❤
Wa kwanza Mimi mauwa yangu jamani 🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂 mkemweeee haujapoa👌
OBSOLUTY WRIGHTS VERY TRUE"! HAKUNA WANAUME" KUNA WENGI WANAUMA LAKINI SIO WANAUME"!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂habari ndoiyo
Jaman baba usinishike hapa😂😂aaa nyie
Mambo ya mkemwenz du wanapata shida🎉🎉🎉
Wadigo iyeee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 maua yetu jamanieh thezea digo wewe
Kazi nzuri hoyeeeee😂😂😂😂😂
Hapa hakuna plaizi Wala spana😊😊😊😊😊😊
Ahallooooh kqzi ipo uke wenza😂😂😂😂😂 mindonga asubiri 😂😂😂😂
Haina kushea wapekeang❤❤❤
Maua Kwa bi mkubwa💞💞
Wow mnapendana sana
Tunakupenda Pia 😘
Ule mke wa kwanza anaumbeya.🤣🤣🤣🤣
Ukeweza uwoooo siutaki niusikie2😂😂😂😂
Machallah muke mukubwa kasema kweri👌👌🇸🇦🇧🇮
Kaz ipo mke wa kwanza 👍
Mkude unanikata mbavu jamani😂😂😂😂😂😂😂
Mbona mke mweeeeh haka sitaki mie
Jamani kueni making nawanawake wawili😂😂😂😂😂😂
Mm kwakweli hata niwe Arusha na mdogo awe ulaya Bado sitaweza Bora niwe pekeyangu Sina huo moyo😂😂
Kumbe tupo wengi😂😂😂😂
Mmh balaa
😂😂😂😂😂 halooo🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂😂eti ndiz kisukar
Nzuri sana
Jaman unamkand na nn 🌷🌷
Kwel wanaume mukiowa mke wa pili hamufanji uwadilif hii nimbaya saana😢😢😢😢
Mke wakwanza upewe mauwa yako🎉🎉🎉🎉
hoo mke mweeeee😂😂😂
Mungu nimwema nahao wakeza
Nimeipenda sana 11.10.24.
Jamani😂😂😂😂😂😂
Kwa nini asibusu wote 2 mume ana makosa lzm awe na uadilifu
Woon wat hom 🎉🎉🎉 haar eie die wêreld
Hahahaha majungu kamayote mke mdogo
Utamkanda akandike mmmh 😅😅😅😅
😂😂😂 wake wenza ni kama chugu mbili sa uchawi
🤣
HABIYA LLAH WANEEMA AL WAKEEL"! AMEEN🤲" ADUWI WEE HOUSE MAID"! MONEY SPEEPING"! MORE THEN LOVES❤💖 MORE THEN KIDS MORE THEN EVERYTHING"! FROM THOSE FELLOWS DAYING FOR FROM MONEY"! N THINGS"! ONLY😢!? NO"! LOVES NO"! FAITHFUL NO"! IHSAN NO"! IMAAN"!
😂😂😂Mbavu zangu mieee nacheka kama mazuri mambo ya ukewenza eeeeh mungu niepushie😢
Mm hapana bola niwe bi ndogo
Jamani ilo kabila la kidogo 😂😂
Umeolea nyeeee
Wake wawili
SURIA KWAO NI MKE..
Mh asante
Mke mweeeeeeeeeee
mke mwe wamoto😂
Mindoka dio nn😅😅😅😅😅😅
Chaunabe 😂😂😂😂
🎉🎉🎉🎉
Kiukweli mke mudogo anajieshimu mana mke mkubwa Ana tamaa za dunia
Kama mke mdogo ako Na heshima asingemngangania ndoa ya mwenzio
Wadigo oyee
Mambo ya nyee
❤❤❤
Hahahahah ety baba no
Waislamu mnajua waume wenu kama hawawezi oa wake 4 usherati ndio zao na hiyo ni sheria za dini yenu lkn wakiongeza wake tena mnaumwa na mnajua ukweli
We mkristo huujui uislam ni maumbile ya Mungu yeye ndo katuumba anajua tulivyo ila nyinyi mnaenda kinyume na uumbaji mfano viongozi wa dini yenu hawaoi je ni Andiko gani wanafata pili Mungu kaumba unakula matamanio ya mwili una malizia wapi, je ni wale masista wenu wanawapa huduma kule. Tatu Angalia mitume waliopita walikua a wake zaidi ya mmoja, imekuja Qur an imeweka idadi mwisho 4 wanne, lakini kwa sharti uwe na uadilifu kwao, pili uwe na nguvu, za kutosha. Huna pesa huna nguvu huna uadilifu baki na mmoja tu. Mkrsto mmepangiwa mmoja tu ila kiuhalisia ana michepuko 4 mpaka 6 je kuzini na kuoa ipi bora mbele ya Mungu wako. Acheni kuchafua uislam.
Mke mkubwa kibokooo 😊
Ndo maana sis tunasem mke ni mmoja
😀😀😀😀
Mke Moja hatosh muungu alipo sema Owen wake zaid ya 2 haja kosea
@@FatimaMohd-oq3tlMungu hajasema muoe wake wengi usimsingizie Mungu msingizie muhamadi wenu mke ni 1 tu
Mke ni mmoja tu.. mbona nyie hamuwezi kuvumilia usaliti.
Khaaaa usimtaje mtume wa ALLAH kwenye upuuzi woko ebu nitajie katika mitume wa MUNGU mwenye alikua Na mke mmja??? 😮 @@katherinasamwel3937
Chau mimba ya mkude
Ukitaka ujue ubay wang chek na huy wang
Nae mke mbwa atulize kishundu asaidiwe kaz
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hii unarudia au mpya
Nimeiweka Full
Uyu bwana ni mshenzi kweli ukioa mke wa pili umpangishie nyumba mbali na mke mkubwa sasa ii ya kuishi nyumba kimoja ni gani?
Jmn make mkubwa anavoongea jmn dah
Nimeipenda iyo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂💪👌
Hv kudownload haiwezkn
💏❤😂🎉🎎nivituko
Mkemwee kiboko
huyu mke wa pili anakuja kujifanya mtakatifu kaa angeolewa wa kwza angepende hivyo ovyo eti mke wa pili najukia👺👺
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
LAHAULA WALLA KUWATTA ILLA BI LLAH" SHE IS CROOKS PERSON" THE HOUSE MAID"!
😅❤😅❤😅❤😅❤😅
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂,😅😅😅😅
❤❤🇸🇦🇧🇮👌❤❤🥰💯💯
Haina kushea wapekeang❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂