Kweli kama unataka Tv yako inatakiwa usimpe interview mwambie aache mziki maana anazarau sisi wakongo tumeaibika asirudi au hajielewi kumbe nyago man anauwa bora tuimbe Kibembe huyu kweli anaonekana hata macho anavuta au hajielewi
Huyu ni mkongo au ni Tz 😂😂😂 atatwaibisha Congo 🇨🇩 😂😂😂😂 ni mwehu 😂😂😂😂 na ule mwenzake wapigwe fimbo bora angeimba kibembe tu maana ingesikia wachache Kiswahili hapo ametuchoma kweli 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂mwambaaaaa huyoooo nimependa kibao chake ise so 🔥
Fimu au simu
Good
Keep it up my brother vipaji Tv
Ilaaa True Boy Jamani daaah nimecheka kama Fala aiseee 😂😂😂😂😂😂😂
Huyu jamaa nimemtafutaga sana😂
🙌🙌💯
Tru boi yeyeyeyeyeyeye 😂
Kweli kama unataka Tv yako inatakiwa usimpe interview mwambie aache mziki maana anazarau sisi wakongo tumeaibika asirudi au hajielewi kumbe nyago man anauwa bora tuimbe Kibembe huyu kweli anaonekana hata macho anavuta au hajielewi
😂😂😂piga fimbo Huyo fara 😂😂
Huyu ni mkongo au ni Tz 😂😂😂 atatwaibisha Congo 🇨🇩 😂😂😂😂 ni mwehu 😂😂😂😂 na ule mwenzake wapigwe fimbo bora angeimba kibembe tu maana ingesikia wachache Kiswahili hapo ametuchoma kweli 😂😂😂😂
Akuna msani hapo ni kituko tu 😂😂😂
Naona hata hajielewi huyu ni wale ambao wamezaliwa wakiwa na hakili mbovu inaonekana kweli mpe ukweli hajuwi😂 kweli 😢😢😢😢
😅😅😅
😂😂😊
😊😂
😂😂😂
😂