Huyu ni mmasai original kabisa tatizo munataka kila mmasai atoboe sikio ndo muamini hamtaki wamasai wapate maendeleo acheni wahamie kwenye nyumba Bora maisha yanabadilika wataishi porini mpaka lini
Ni heri kuhama kwa hiar bila kushurutishwa hawa waliokubali kuhama kwa hiari wamehitambua sana maana kuamishwa kinguvu sio poa na wanao sema sio wamasai wa Ngorongoro muache kukalili maisha wamasai washabadilika wamesomesha watoto zao na wanaenda kwa wakat hata km bado wako na mila zao
Sawa! Lakin unakuta mtu alikuwa na wake wanne na watoto 20 je hicho kinyumba kitatosha? Kwa nn serikali isingechukua idadi ya Kila kaya Ina idadi ya watu wangap ndipo iaandae makazi? Serikali mmejenga nyumba kiholela bila kujali uhalisia wa idadi ya waliomo ndan ya kaya moja
Sasa hzo mila za kuoa wake wengi ndo zinaenda kupotea watapata elimu bora Yan wataachana na yale maisha waliyoyazoea Zaman! Kuozesha watt humr mdogo + kukeketa! Vyote vtapungua inshallah
Wewe unawaona waarabu hawana shida na nchi yenu vikaragosi nyie mtatawaliwA na wazungu na kupora madini wamekubakishieni mashimo mzungu hata hata akitaka chochote utampa kwa kasumba zenu nenda kawaangalie waarabu wanavyo ishi hakuna ombaomba serikali zao zinawapa mishara nakuwajengea majumba wale wasioweza kufanya kazi na mshahara kila mwezi
Sasa ivi kunauwezekano kabisa wamasai kuolewa na watu wasio Wa masai na waokuoa wasio wamasai Dunia ni kijiji masai hawezi kupambana na wakati tena.nilazima achane na mila zilizopitwa na wakati
Uongo mkubwa huoni Kama wameuza eneo utawezaje kumjengea mwananchi nyumba Kama siyo uongo.unajua mahitaji ya kila familia dawa ya nchi hii ni Vita ndipo viongozi wataona faida yao haswa huyu mama
Kwa nini mnawabeza Wamasai wenzenu? Nyie mnaosema huyu si Massai, nyie ni Massai wenzie, mpo kwa propaganda za kukaidi matakwa ya Serikali! Sasa kwenye karne ya 21, bado mnang'ang'ania maisha duni ya Ngorongoro? Komboeni fikra, ndugu ! Mmepewa fursa, kaitumieni vizuri ! Tena mmependelewa kuliko sisi Watz wengine! Acheni hifadhi yetu iendelee, na nyie muendelee na maisha mengine!
Hata mkujenga magorofa hatutoki hapa Kama mumeshauzwa semeni tuko rasi kulipia wazungu pesa zao Kama mumeshakula semeni wazi Kama Kuna muekezaji wa kizungu munamuhitaji aje ajiwekeze hata sisi watanzania tutauza ngombe zote tujiwekeze sio kutuwekea mikataba ovyo na wazungu miaka 100
Hii yooote mnafanya ili tu waarabu waje kuchukua wanyama na kutengeneza hifadhi zao uarabuni wakisha fanya hivyo nani atakuja kutalii kwenye mbuga zenu.Wewe mmsxai kweli?wamasai wanataka kupreserve asilia yao hawana haja na hivyo vijumba wamasai wenyewe wana uwezo wa kujenga zaidi ya hivyo vijumba.acheni spinning hizo
Mi najiuliza mahela mengi ya ghafla hivi kujengea watu wengiiiii zimepatikanaje???? Sijui kama pesa hii kama ipo ktk bajeti. Kama ipo sawa Ila kama haipo kwenye bajeti mhhhhhhhh!
Nani kakwambia Wamasai hawasomi?! Wapo wengi tu ni Wasomi! Na kwa kweli, kuondoka kwenye hifadhi ya Taifa ni jambo zuri, kwa maendeleo yao, na kwa Taifa kwa ujumla ... Muhimu, wahakikishe kuwa ahadi walizopewa zimetekelezwa... Sio kwa hisani ni haki yao... Wahakikishe kuwa Miundo mbinu waliyoahidiwa imekamilika 100%!!! 😎😎😎 Vinginevyo, haina maana yoyote kuondoka Ngorongoro!
Nikwambie tu hao ni waarusha wa mjini arusha sio wamasai wa ngorongoro? Nikwambieni tu wamasai wa ngorongoro hawawezi kukubali kuja ?? Wameona waachukue warusha ili kuwaonyesha Watu but the truth is sio wamasai hao ni.waarusha msidanganywe
Asante Wasafi media kwa kutuonesha kinachoendelea huko Handeni! Next time, onesheni vizuri nyumba, ndani vipi, WC vipi ??? Maswali mengine, wamejenga nyumba ngapi ? Wanapanga kujenga nyumba ngapi kwenye hilo eneo ? Nimeshangaa kuona fundi wachache sana! Kama kweli hela zipo, kwa nini sioni fundi zaidi ya 500 kazini?! Nyumba hizi zitajengwa kweli? Na sio nyumba tu, hapa tunazungumzia huduma za jamii pia!!! Shule niliyoiona kule na kituo cha afya, majengo tayari ni mabovu... Hata wakiyaboresha hayatatosha kwa Wenyeji pamoja na Jamii ya Kimasai itakapohamia kule... Watoto watarundikana kama samaki darasani! Walimu watachanganyikiwa na Watoto hawatajifunza chochote! Kupata huduma za afya Watu watakuwa wanapanga mstali tangu asubuhi hadi jioni! Na Jamii hizi mbili zitaanza kuzozana! Kwa nini Serikali wasipeleke hizi huduma kama walivyoahidi mwanzoni? Kwa nini wameanza kubadilisha maneno? Ndugu zangu, kuweni makini ! Subirini kwanza kazi zote zikamilike, kama wana nia njema, miezi 2 tu inatosha! Wakiweka nguvu zote kwenye huo mradi, fundi wa kutosha, vifaa vya ujenzi, kazi zinaweza kukamilika katika miezi miwili tu!
Huyu ni masai namfaham nilimuacha shule sec na sasa ni mfanyakaz ngorongoro na ni mzawa wa ngorongoro asilimia mia moja'hawa ni baadhi ya waliokubali kuamia
Makazi ni mazuri, yanapendeza mno ! Pongezi kwa Serikali! Mama ni mstaarabu, anapenda mambo mazuri ! 🌹😃😃 Lakini Watu wasikubali kuhama haraka haraka kabla mambo hayajakamilika! Kumbukeni, "Madarasa ya Mama Samia" elfu 15 yamejengwa katika miezi miwili tu! Kama waliweza hilo, kwa nini hili lisiwezekane kwa muda ule ule?! Wasitafute kisingizio cha muda! Kama badjeti ipo, basi wakajenge katika miezi miwili, hiyo inatosha ! Halafu wajenge miundo mbinu ya huduma za jamii kama walivyoahidi: SHULE na ZAHANATI (Kituo cha afya) ni muhimu sana. Ikiwezekana wajenge Soko na Kituo cha Polisi pia... Watu wakifanya kosa la kuhama haraka haraka kabla ya kila kitu kuwekwa sawa, watajuta wenyewe ! Majaliwa hawatamuona tena! Ahadi zitaishia hapo hapo! Watasahaulika! Bungeni hawatajadiliwa tena! Vyombo vya habari hawataviona tena!!!
Daah kuzuri sana, well done serikali kwa kweli, mi naona bora mana kule ngorongoro na wanyama wakali na wao na vijumba vile si hatari jamani bora hapo
Hongereni sana wamasai walioamua kuhama.
Hongera sana Serikali
Kwa zoezi hili naipongeza Sana serikali ! Hongera serikali kazi nzuri sana
Huyu ni mmasai original kabisa tatizo munataka kila mmasai atoboe sikio ndo muamini hamtaki wamasai wapate maendeleo acheni wahamie kwenye nyumba Bora maisha yanabadilika wataishi porini mpaka lini
Wee ndie Mungu wao wakisasa aibu kwako
Kwani ndo alikuambia utoboe sikio
Kwani Mungu ndo alikuambia utoboe sikio
hapa tumepigwaa😀🤣🤣mama kashauza nchi kwa waarabu
Kivipi? Hebu tuelezee ☹️ Jinga ww 😡😠
Huwezi elewa saizi !!! Lakini utaelewa akili ikishakurudi
Wanahitaji maeneo ya malisho ...najua wakija hapo handeni lazima watapigana na wakulima maeneo ya jirano
safi sana hameni wote wataishi porini mpaka lini?
Nyie mungu hanawaona nyinyi toeni tu uongo
Kweli na vitambi vyenu kweli nyie ni wamasai wa Ngorongoro!!!
Hawa ni wamasai halisi wa Tanzania, sio wale wanaozungumza kiingereza kule Nairobi.
Mbona hao wanaohojiwa kama vile ni wa mchongo kama Vipi Watoe mashuka hayo tuone uhalisia wao kimuonekano 😂😂😂
Ni heri kuhama kwa hiar bila kushurutishwa hawa waliokubali kuhama kwa hiari wamehitambua sana maana kuamishwa kinguvu sio poa na wanao sema sio wamasai wa Ngorongoro muache kukalili maisha wamasai washabadilika wamesomesha watoto zao na wanaenda kwa wakat hata km bado wako na mila zao
Nawe unakubali Huyu ni wa ngoro ngoro
Nipaziri mashaallh bora wakubali wahame wote
Sawa! Lakin unakuta mtu alikuwa na wake wanne na watoto 20 je hicho kinyumba kitatosha? Kwa nn serikali isingechukua idadi ya Kila kaya Ina idadi ya watu wangap ndipo iaandae makazi? Serikali mmejenga nyumba kiholela bila kujali uhalisia wa idadi ya waliomo ndan ya kaya moja
hongera mamaa samia
Usanii huu! Hapa tumepigwa
Wangetanua hifadhi ya wanyama hapo ningewasifu ,lakini kumbe mnauza it's horroble .l get sick with it.
Lakini masai ahitaji nyumba ya kisasa
Alaa unataka kusema kuwa LOWASA si MMASAI😅
Masai Moja ana wake 6 na zaidi watakaaje Wawa ulize kila Moja wamjengee na wake zake slio kuwa nao
Sasa hzo mila za kuoa wake wengi ndo zinaenda kupotea watapata elimu bora Yan wataachana na yale maisha waliyoyazoea Zaman! Kuozesha watt humr mdogo + kukeketa! Vyote vtapungua inshallah
Ase masi una saa mbona una kacha ndiyo mana unatamani kuamia
Hao siyo wamasai ni waswahili TU
Wamasai hawataki majengo wanataka sehemu ya malisho
Hapan sio wa ngorongoro
In such???😃😃😃😃hawa ndo wangorongoro kweli??
Jaman huyo anae ongea sio masai
Kwani huyu anayehojiwa ni mmasai kweli?? 🙌🙌
Na mimi sidhani kama ni Mmasai.Na kama si Mmasai, basi amejitwisha dhambi ambayo siyo yake.
Wamasai wakiama wataalibu utamaduni wao
Hawa sio wamasai bali niwagosi tu hii nikifumba macho tu ya serikali
Viongoz wetu si wazalendo
Wewe sio mmasai bhana hebu toa hiyo Rubega...
Mbona haongei kiswaili cha kimasai?
Huyo masai wakwanza sio masai ni wa mchongo tu hata kiswahili chake hakina rafudhi ya kimasai
Kumbuka Kuna Wamasai wengne n wasomi so ile lafdh OG y kimasai huwa inaondoka ! So don't judge a book by its cover
Yaani ningekua Ngorongoro nisengeacha hii bahati
Huyu sio masai
Masai kikosi kaz
Ngombe la mbuzi ya familia 70,000 zitapata malisho wapi?
Jamaa wakwanza namfaam ni maasai pure nimefika mpaka kwao na amesoma sheria....in such jamaa kafanya maamuzi mazuri xana
Kafanya maamuzi kweli anapiga hela taratibu ila vilevile huwa haishi ngorongoro so alishahama zamani
Na hpo watahamishwa tena ... season... inaendelea...,:;:!!
Huyu sio masai kabisa
Hawa ndiyo wamasai wa Tanzania, sio wale wanaozungumza kiingereza kule Nairobi.
Huyu siyo mmasai
Huyu jamaa si Masai
kwani si masai
hapa serikali ime pigwa, hamna masai hapo mtu anaongea kama mzaramo
Kujaribu kumuhamisha mmasai kutoka eneo lake la asili ni kujaribu kubadili utamaduni wake kwa Hila za wasio wakweli juu ya ngororo.
Wakora nyie iyo kiswahili imekuusa siyo. Ya kimaasai
Muelewe wafugaji waliokuwa wanaishi ngorongoro sio wamasai tu"hata warangi ni wafugaji pia"kuna wamburu nao wanavaa mashuka kama wamasai
Hawa ni wabantu sio masaai bure kabisa Tanzania
Safi sana
Ww sio masai
Aosio wamasai
Kwendeni huko mnauza nchi tena kwa vikaragosi waarabu inasikitisha!
Wewe unawaona waarabu hawana shida na nchi yenu vikaragosi nyie mtatawaliwA na wazungu na kupora madini wamekubakishieni mashimo mzungu hata hata akitaka chochote utampa kwa kasumba zenu nenda kawaangalie waarabu wanavyo ishi hakuna ombaomba serikali zao zinawapa mishara nakuwajengea majumba wale wasioweza kufanya kazi na mshahara kila mwezi
Warabu sio vikaragosi maku mmoja wewe kikaragosi ni wewe unayependa kuchezewa na wazungu kunguru wewe mshono unakuasha
Warabu ndio walileta huo ujinga kwasababu hawashib kunyakua....
Sasa ivi kunauwezekano kabisa wamasai kuolewa na watu wasio Wa masai na waokuoa wasio wamasai Dunia ni kijiji masai hawezi kupambana na wakati tena.nilazima achane na mila zilizopitwa na wakati
Uongo mkubwa huoni Kama wameuza eneo utawezaje kumjengea mwananchi nyumba Kama siyo uongo.unajua mahitaji ya kila familia dawa ya nchi hii ni Vita ndipo viongozi wataona faida yao haswa huyu mama
Uongo tu huu.
Mtanzania harisi haombi vita ,inaelekea wewe sio mtanzania
@@blessingmapazia9545 uko sahihi mhutu
Tafuteni chanel inayoitwa watetezi TV. HIYO NDIYO inaelezea Habari sahihi za wamasai wa ngoro ngoro
Wananchi watanzania hawajui kupinga
Mchongo huo wasiowafahamu wamasai ndiyo watadanganyika. Hakuna mmasai wa ngoro ngoro hapo.
Kwa nini mnawabeza Wamasai wenzenu? Nyie mnaosema huyu si Massai, nyie ni Massai wenzie, mpo kwa propaganda za kukaidi matakwa ya Serikali! Sasa kwenye karne ya 21, bado mnang'ang'ania maisha duni ya Ngorongoro? Komboeni fikra, ndugu ! Mmepewa fursa, kaitumieni vizuri ! Tena mmependelewa kuliko sisi Watz wengine! Acheni hifadhi yetu iendelee, na nyie muendelee na maisha mengine!
Pazuri ila wahusika ndio wanaweza kutuambia
Hata mkujenga magorofa hatutoki hapa Kama mumeshauzwa semeni tuko rasi kulipia wazungu pesa zao Kama mumeshakula semeni wazi Kama Kuna muekezaji wa kizungu munamuhitaji aje ajiwekeze hata sisi watanzania tutauza ngombe zote tujiwekeze sio kutuwekea mikataba ovyo na wazungu miaka 100
Hutaki kuama msituni
@@Mpakauseme na ww hutaki kuhama uswahilini a.k.a ushenzini
Rais ashauza nchi
Ibindi hano
Vinavyofuata hapa
th-cam.com/video/keY6REgfpUc/w-d-xo.html

I
Wamasai sikuizi niwanene
🥰
Nonsense
Tatizo wanaotoa maelezo are not the Maasai people
Acheni uzenge nyinyi ww sio masai
TUTAMKUMBUKA MAGU song lyrics video #karromia
Hii yooote mnafanya ili tu waarabu waje kuchukua wanyama na kutengeneza hifadhi zao uarabuni wakisha fanya hivyo nani atakuja kutalii kwenye mbuga zenu.Wewe mmsxai kweli?wamasai wanataka kupreserve asilia yao hawana haja na hivyo vijumba wamasai wenyewe wana uwezo wa kujenga zaidi ya hivyo vijumba.acheni spinning hizo
huyu sio masai tunachezwa
Eee kwl babaako huyu
Wewesio masai.wewe police
Mi najiuliza mahela mengi ya ghafla hivi kujengea watu wengiiiii zimepatikanaje???? Sijui kama pesa hii kama ipo ktk bajeti. Kama ipo sawa Ila kama haipo kwenye bajeti mhhhhhhhh!
Tozo
Uyu sio Masai mnatudanganya wakora nyie
Issue sio kuwa Mmasai au si Mmasai bali ni wakaazi wa hifadhi ya Ngorongoro waondoke kwa hiari.
Masai wa mchongo..Maasai wa kweli mnawajua nyie..Acheni kuchezea watu akili..
To be honest huyu sio mfugaji mbona kama amekodiwa hv jaman???😃😃😃😃😃anajua mpk English anasema by the way
Nani kakwambia Wamasai hawasomi?! Wapo wengi tu ni Wasomi! Na kwa kweli, kuondoka kwenye hifadhi ya Taifa ni jambo zuri, kwa maendeleo yao, na kwa Taifa kwa ujumla ... Muhimu, wahakikishe kuwa ahadi walizopewa zimetekelezwa... Sio kwa hisani ni haki yao... Wahakikishe kuwa Miundo mbinu waliyoahidiwa imekamilika 100%!!! 😎😎😎 Vinginevyo, haina maana yoyote kuondoka Ngorongoro!
Mm nawaona kama sio hao hao mbona wamekodiwa na mm nipo huku ngorongoro sasa hv
Jamaa namfaam nimekaa nae mtaa mmoja na amesea sheria ni maasai pure
@@hassanhamudy982 ni masai pure ila si mfugaji ni muhuni tu ambaye anaishi huko mjini
Nikwambie tu hao ni waarusha wa mjini arusha sio wamasai wa ngorongoro? Nikwambieni tu wamasai wa ngorongoro hawawezi kukubali kuja ?? Wameona waachukue warusha ili kuwaonyesha Watu but the truth is sio wamasai hao ni.waarusha msidanganywe
Asante Wasafi media kwa kutuonesha kinachoendelea huko Handeni! Next time, onesheni vizuri nyumba, ndani vipi, WC vipi ??? Maswali mengine, wamejenga nyumba ngapi ? Wanapanga kujenga nyumba ngapi kwenye hilo eneo ? Nimeshangaa kuona fundi wachache sana! Kama kweli hela zipo, kwa nini sioni fundi zaidi ya 500 kazini?! Nyumba hizi zitajengwa kweli? Na sio nyumba tu, hapa tunazungumzia huduma za jamii pia!!! Shule niliyoiona kule na kituo cha afya, majengo tayari ni mabovu... Hata wakiyaboresha hayatatosha kwa Wenyeji pamoja na Jamii ya Kimasai itakapohamia kule... Watoto watarundikana kama samaki darasani! Walimu watachanganyikiwa na Watoto hawatajifunza chochote! Kupata huduma za afya Watu watakuwa wanapanga mstali tangu asubuhi hadi jioni! Na Jamii hizi mbili zitaanza kuzozana! Kwa nini Serikali wasipeleke hizi huduma kama walivyoahidi mwanzoni? Kwa nini wameanza kubadilisha maneno? Ndugu zangu, kuweni makini ! Subirini kwanza kazi zote zikamilike, kama wana nia njema, miezi 2 tu inatosha! Wakiweka nguvu zote kwenye huo mradi, fundi wa kutosha, vifaa vya ujenzi, kazi zinaweza kukamilika katika miezi miwili tu!
Huyu ni masai namfaham nilimuacha shule sec na sasa ni mfanyakaz ngorongoro na ni mzawa wa ngorongoro asilimia mia moja'hawa ni baadhi ya waliokubali kuamia
Makazi ni mazuri, yanapendeza mno ! Pongezi kwa Serikali! Mama ni mstaarabu, anapenda mambo mazuri ! 🌹😃😃 Lakini Watu wasikubali kuhama haraka haraka kabla mambo hayajakamilika! Kumbukeni, "Madarasa ya Mama Samia" elfu 15 yamejengwa katika miezi miwili tu! Kama waliweza hilo, kwa nini hili lisiwezekane kwa muda ule ule?! Wasitafute kisingizio cha muda! Kama badjeti ipo, basi wakajenge katika miezi miwili, hiyo inatosha ! Halafu wajenge miundo mbinu ya huduma za jamii kama walivyoahidi: SHULE na ZAHANATI (Kituo cha afya) ni muhimu sana. Ikiwezekana wajenge Soko na Kituo cha Polisi pia... Watu wakifanya kosa la kuhama haraka haraka kabla ya kila kitu kuwekwa sawa, watajuta wenyewe ! Majaliwa hawatamuona tena! Ahadi zitaishia hapo hapo! Watasahaulika! Bungeni hawatajadiliwa tena! Vyombo vya habari hawataviona tena!!!
@@j.c.maxima816 🥺😱
Ahaa kumbe kuna wamasai OG wa Ngorongoro ambao hawatokubali kuhama!?
Nipe miaka mitano kama utaowaona hao unaowaita masai OG wakiiharibu Ngorongoro.