ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Sainte Marie Mère de Dieu prie pour nous qui avons recours à toi.
Ave mama maria wa mapendo na amani ,utumwangie amani na masikilizano na mapendo katika inchi yetu ya congo mama.
asante sana Mama yetu unayetupenda sana. Uzidi kutuombeya kwa Mwanao YESU.
Maria mama wa watu wote,utuombee Mama mwema
Tuna kueshimu mama yetu maria 🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩💒💒❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Ave Maria ave Maria mama wa mapendo oh oh,ave Maria mama wa Shasha, wa goma utuombeye mama wa neema salamu
Asente sana kwahii kanda njuri. Ave Maria
Ave Maria mama ❤️❤️❤️❤️ god bless you amen amen 🙏
mungu wangu nakushuru kwa mema yote unayo nitendeya
Tuna kueshimu Mama
Kweli uko mama wa neema.
mama salamu ee mama mwenye salamu