BERRY BLACK FT ALIKIBA | ISHARA ZANGU | Full Video Song
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ส.ค. 2024
- Watch and share hit track "Nitakufuata" by Tanzanian Artist Berry Black FT ALIKIBA. SUBSCRIBE Mziiki For Best African Music | bit.ly/MziikiTube
#LISTEN | #LOVE | #SHARE
Digital promotion by Ziiki Media!!
Subscribe us for unlimited entertainment
/ mziikitube
Like us on Facebook
/ mziiki
Follow us on Twitter
/ mziiki
Follow us on Instagram
/ mziiki - เพลง
2024 bado tunasikiliza Hit song
2024 bdo tupo na King kiba
Daaah!!ZENJI msiki umekufaa...na muokozi wetu alikuwa Berry black akituokowa,jamaa Ana sauti ya aina ya pekeyakee,lakin Sasa ayfolaaaa,ZENJI Kila kitu kimekufaa..labda imebaki siasa tu watu ndo wanoiabuduuu,big up Berry..tuko pamojaaa
Jmniiii aliy kibaa nomaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥nyimbo bdo inahitiiii2020
2024 king ulipo nipo
From kenya 🇰🇪😍wapi like 👍😍
Nakubali kk baby black
uongo Zambi kipindi hicho nilikuwa na demu moja hivi ase wacha tu uwiiiiiiiii❤❤❤❤❤
Hapa wakali wa sauti walikutana pamoja,Na kilichofanyika kitabaki na utamu wake daima.Big up BB Ila umepotea bro
2019...Alikiba kwenye usafiri nisharipia umetisha
Bigap bery umepotea ila nyimbozako Bamba aiseee
Hapa berry black alifeli kupiga hizi Congolese style za ali kiba ,,,
2021 I'm from A Somali from Kenya now in Germany 🇰🇪🇰🇪🇸🇴🇸🇴🇸🇴
Salamu kutoka Krefeld, Germany 🇩🇪
Yaan hii song kalii kinoma kama imetoka leo vile
Kitambo walikuwa wanavaa nguo za heshima lkn this days wanaimba na vichupi tu hata huwezi wtch na wazazi wako
Namkuba;ii Sana berry black
alikipa yr the king...great song bratha
Who's here 2020
Allikiba mamae noma!!!
Aminia Kiba, sauti ya busara mziki mature
Those damn days..... when Bongo Fleva was Bongo Fleva???? Ali Kiba ww n King Huna mpinzani hadi wa leo
Sure
King kitambo xn ad leo palepale kwenye bomba jamaa hatar wewe ❤
Berry poa sana, Ali kua makini bila berry utajitesa
Alikiba mrudishe berryblack jammani
Umeongea
2021 still here💯💕🔥🔥🔥🔥moto sana🥰🥰🙌
I like the tune, Ali kiba my all time star
Hiii ngoma naipenda kinoma yani
Hii ngoma mpka leo sijaichoka jamni Ali wewee
Allykiba nakuelewa kinyamaa yebaba on da vocal
salute kwenu wakali wa bongo fleva
Akiwemo tyu King NO KUCHUJA......2020
kiba una sauti hata visiwi wanaskia
Kibaaa nomaaa adi xaiz2020
Berry black and king kiba blessing the voice is on point love you.
Dogo mfaume
Line
This is one of the best soundtrack...So real..kama bili nishalipa
Mziki huu nakupenda nakumbuka vitu vingi ♥️♥️
Mimi too
Ally kiba upo juu
totally love the song...big up berry black and Ali kiba.
yaani hizo vocals za Kiba unasisimka hadi ubooo unasimama
nanou nakib hahaha una hatari
Utakua shoga 😀
ushoga huo
Hehehe
Wp 2919 ngong like km upo namm
Who else still listening on 2k17 😁🤗 I just love this song
2023 black berry 💖👍
come back berry black.
Nshakuonesha ishara bado me hunielewi
thumps up berry black, I used to be ur fan from kenya since 2004
kiba 🔥🔥🔥🔥🔥
Asanthe kaka hata mimi kuna mtu nimemuonyesha ishara zangu lakini hanielewi
Hehehe duh
Godfrey Mwita hahahahahahqh
Mziki bila mambo mengi 💯❤️
Kabisa akuna mambo ya kiki ndani
This was our Bongo fleva
keep it up and try your best Berry black.The Nice song. I wish all successful.
Ilove this song so much,Ali k,berry black keep it up,mwaaaaa
Bado nani anausikiza hu wimbo 2023
Yeebaba
sauti za busara vichwa mbili ni hatari sana bonge la ngoma. ishara zangu
Yaani huwezi amini ninavyoupenda huu wimbo kazi nzuri saaaana.
Ata mimi siongei Kama hujui basi ni ishara tu 😀😀
All kiba ..
listening to this 2016 ishara ya kwamba I miss Berry black
hv vyote vpaji hongelen wimbo mtam sana siuchoki a love u home tz nahis kama nko tz hv sasa japo nko mbali
+Ali Ali Tz forever ju east or west home the best
Empress Mamakeh
sure bro
King kiba
2019 usafir nishalipia Kila Kona zenji kiba🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ishaallah zangu Nisha muonyesha lakini bado hataki kukubari
2022 still popping
I'm Nigerian, I don't understand the song but I appreciate the beat
Alikiba zamani alikua naimba lakini siku izi sijui nini kimempata
2019 iam from Mozambique
Still inautamu wake love alikiba❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤
Betty long tym I like the song
I love this guys they are so good 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥ever burning 🤸🤸🤸🤸🤸🤸👊👊👊👌
Nice song
Sinachoyo kiroho safi... Allikiba Yebabaaaaaaaaàaaaaaaaaa
Nice viwalo na vizur sinavyo
2021 anyone?? 😍
I loce berry
hadi sa hii bado naitambuwa hii nyimbo
kipindi hicho imeingia tu kuna demu halikuwa hanielewi kabisa ani
🤣🤣🤣
Ila kiba lina jus
2023 Still feeling it like its Hot🔥🔥
Am here for king 🔥🔥
2021 i love
Still a nice hit
wooooow
Kwel ile Zenji iliokua ikisifikana kimataifa imekwisha
Bado naikubal san like ano ikubal 2020
2023 and were still here...
Ngoma kali kiukweli
Bonge la collabo
2023
06/01/2018😍😍😍 kali thana hii
Ali umefanya makubwa
Saaana ktk bingo fleva
Saivi eti anaambiwa yule domo
Hii nyimbo naipenda saaaaaana
I do feel the progration of this song
Thumps uppppppp
berry BlackBerry ume lostia wapi
Still vibing on this❤❤
Who is here 2022
Good
Diamond platnumz tv
Twende kazi
Kiba umemgunika sn jamaa huyo
Who is watching with me here 2020
BIG UPPPPPPPPPPPP
2020
good song
aijpgjn
Berry black mbona umepotea.
nakuona nasry
nice I like it
2021 say 🔥🔥🔥🔥🔥