Mbowe Atangaza Kugombea Uenyekiti CHADEMA, Rasmi Sasa Kumkabili Lissu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 117

  • @nestorysylvester8085
    @nestorysylvester8085 9 วันที่ผ่านมา +14

    mbowe asipate hatakura moja atoke naaibu kwasasa hafai kuwa kiongozi tundu lissu anafaa

    • @raulianraphael6853
      @raulianraphael6853 9 วันที่ผ่านมา

      Wewe n Chama gan taja chama chako kwanza
      Siasa ya Lisu n Siasa ya machafuko na mlengo wa kulia kiufup n kiongoz mzur ila anakurupuka simply n mtu mwenye misimamo ambayo mda mwingine ina hatar kwa taifa,

    • @amanijampion3045
      @amanijampion3045 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@raulianraphael6853taifa lipi linalohatarishwa

  • @mshiraziahmad9633
    @mshiraziahmad9633 9 วันที่ผ่านมา +14

    Nyiyee wenyewe Madaraka hamutaki Kuyatoa halafu munataka kushindana na CCM hashuwoo😅

  • @johansenerasto5890
    @johansenerasto5890 9 วันที่ผ่านมา +5

    Huyu jamaa aspewe kura hata moja aisee wakumbe msituangushe

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 9 วันที่ผ่านมา +3

    Oh my God utaondoka kwa aibu..subiri uone boss...

  • @mkuyuabuu
    @mkuyuabuu 9 วันที่ผ่านมา +4

    Big up sana mh Zitto Kabwe bado unaheshma kbwa sn nchin.

    • @JuliusMahinya-wl7mq
      @JuliusMahinya-wl7mq 9 วันที่ผ่านมา

      Huyu ni Mgabe

    • @EdwardJohn-xz5oi
      @EdwardJohn-xz5oi 9 วันที่ผ่านมา

      Mm sikufikiri kabisa nilikuwa najua anamwachia Lissu kanivunja kweli!!​@@JuliusMahinya-wl7mq

  • @AzizMangara
    @AzizMangara 9 วันที่ผ่านมา +5

    😂😂 anataka katiba ya nchi, ., katiba yake anaivunja, Wa Tz tuamke. Mnataka kuongoza nchi., wenyewe amjiwezi. Huu si msiba.

  • @mcharo255
    @mcharo255 8 วันที่ผ่านมา

    Mbowe, the diehard and blessed leader, mungu awabariki na kamati yote ya CHADEMA

  • @maikojohn-xr5cg
    @maikojohn-xr5cg 9 วันที่ผ่านมา +2

    Wajumbe tafakarini sana kuna wengine hapo wapiga madiri kama akina Wenje Boniyai na wengine wengi sana kana kweli mnamshangilia mtu aliyekaa madarakani miaka 21 ni kweli hamnazo chadema ambayo naiamini kama tasisi kubwa kweli ina mtu mmoja wakuongoza ngazi ya uenyekiti ngazi ya Taifa kweli Mbowe hapo umefeli sana mzee

  • @realommykn
    @realommykn 9 วันที่ผ่านมา +3

    Hii Tamaa Sijawahi kuiona! Mbowe unazingua

  • @lordsarmytv524
    @lordsarmytv524 9 วันที่ผ่านมา +3

    Shida ya viongozi wengi wa afrika ni kuamini kua wao ndio peke yao wanaofaa kua viongozi bora..na bila wao hakuna mwngn anaeweza kuongoza

  • @alexsimon5576
    @alexsimon5576 9 วันที่ผ่านมา +3

    Ati kwa kina!!we sema umefikiri kwa kina kuacha maokoto!!

  • @williamnkuhi6166
    @williamnkuhi6166 9 วันที่ผ่านมา +4

    Njaa Kali sana duniani..

  • @hoseawilliam1135
    @hoseawilliam1135 9 วันที่ผ่านมา +6

    Kiko. Salama lakini hakitofika popote bila kubadili mwenyekiti

  • @JohnMhogo-hd3fs
    @JohnMhogo-hd3fs 9 วันที่ผ่านมา +3

    Acha tamaa umeongza km mwenyekiti miaka mingi au unataka uwe km Profesa Lipumba mpaka kikufie.

  • @AhmedAhmed-z6m7t
    @AhmedAhmed-z6m7t 9 วันที่ผ่านมา +3

    Mbowe ni Mnafki sana,Achia uenyekiti huo

  • @rashidjuma1969
    @rashidjuma1969 9 วันที่ผ่านมา +4

    Kwakweli Mimi SI mtu wa siasa ila chadema kama mutampa tena huyu uenye kiti hamna kitu kitaleta mabadiliko

  • @marijanikhalifa7445
    @marijanikhalifa7445 9 วันที่ผ่านมา +2

    Kama taasisi gawa madaraka hiyo mali yko ,huwez kugawa ugali kwa jirani wkat wew unjaa

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 9 วันที่ผ่านมา +2

    Njaa mbaya😂

  • @marysichinsambwe7708
    @marysichinsambwe7708 9 วันที่ผ่านมา

    Mbowe must go

  • @moraisachacha6375
    @moraisachacha6375 9 วันที่ผ่านมา +3

    Mbowe huna mvuto tena

  • @ErickyKatunzi
    @ErickyKatunzi 9 วันที่ผ่านมา +2

    Mbowe anatuletea siasa hatufai,kwa sasa ili tuwe tunaheshimiana tunahitaji kiongozi wa kukinukisha. Nahuyo mtu ni mh.Lissu tu basi, na mbowe ukienda kwenye kula utashindwa.

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 9 วันที่ผ่านมา +4

    Hahaha... Hakuna haja ya kubadili makamanda katikati ya vita inapokuja kwenye nafasi yake😂

    • @bilalihaidary3650
      @bilalihaidary3650 9 วันที่ผ่านมา

      Uyo atak kutoka

    • @T_Darius
      @T_Darius 9 วันที่ผ่านมา

      Yaani hatari sana😅

    • @EdwardJohn-xz5oi
      @EdwardJohn-xz5oi 9 วันที่ผ่านมา

      Yaani nimesoma comments karibia on line Tv zote wengi wameumizwa na mwamba kusema et atagombe. Ni aibu kwako na kwawapenda Democrasia unayotuhubiria Kila siku.

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna kitu kama hicho..hiyo program ni sawa na kusukuma gari lisilo na upepo
    ..acha tamaa....

  • @adeliphinusgabone7431
    @adeliphinusgabone7431 9 วันที่ผ่านมา +2

    Cahdema bwana,Akili iliyosababisha tatizo uwezi kuitumia hiyohiyo kutatua tatizo utaongeza matatizo tu,Mboe ungepumzika tu mzee wetu ukabaki mshauri tu,hakuna kipya unachokuja kufanya wape wengine nafasi kinyume chake Ccm watazidi kuchukua Majimbo na vitongoji kila uchaguzi alfajiri kama kawaida yao.

    • @majidimussa8678
      @majidimussa8678 9 วันที่ผ่านมา

      Haswah

    • @EdwardJohn-xz5oi
      @EdwardJohn-xz5oi 9 วันที่ผ่านมา

      ​@@majidimussa8678Naanza kuamini wanaosema karambishwa asali yawezekana ikawa kweli et anasema ametafakari sana. Hv hasomi hata comments za watu? Kwa Sasa hakibaliki. Tafadhali wajumbe mnaopigima kura kwa mjibu wa katiba ya Chadema mtuokoe huku.

  • @mcharo255
    @mcharo255 8 วันที่ผ่านมา

    Mbowe the diehard ✌️

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 8 วันที่ผ่านมา

    Daaaaa heee sasa tunapata picha ya risasi zilizomuingia lisu zilitokea wapi kaaaah siamini

  • @ezradaudi7024
    @ezradaudi7024 9 วันที่ผ่านมา

    Huna jipya sahizi mzee wa kulambishwa Asali

  • @johansenerasto5890
    @johansenerasto5890 9 วันที่ผ่านมา

    Ntaingia tu kwenye maombi hadi lisu ashinde uenyekt hatimae urais maana anatufaa sana

  • @leonarddimdoy6237
    @leonarddimdoy6237 8 วันที่ผ่านมา

    Naomba kadi ya ccm mbowe inatosha viva lisu

  • @justinekoko6805
    @justinekoko6805 9 วันที่ผ่านมา +3

    Achia madaraka lisu anafaa

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 9 วันที่ผ่านมา +1

      Lisu Sina Imani nae ni kama mamruki tu siku si nyingi utasikia Yuko Nje Uberigiji

  • @johansenerasto5890
    @johansenerasto5890 9 วันที่ผ่านมา +2

    Wajumbe msituangushe kuturudishia huyu jamaa aisee

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 9 วันที่ผ่านมา

    Twendeni na lissu, nje ya lissu hakuna jipya

  • @tronline6959
    @tronline6959 9 วันที่ผ่านมา

    Wewe Mbowe mjinga sana..

  • @johansenerasto5890
    @johansenerasto5890 9 วันที่ผ่านมา

    Baada ya kusema katiba mpya et katiba ya nchi!😢😢
    Kwn nch haina katiba?
    We ushachoka ungeachia lisu tu

  • @microssadamu7556
    @microssadamu7556 9 วันที่ผ่านมา +1

    Nimesoma komenti 90% ya watu hawamtaki mbowe wanamtaka Lisu

  • @ibrahimmaneno8486
    @ibrahimmaneno8486 9 วันที่ผ่านมา +1

    Bora zito kabwe alionesha mfano kwenye chama chake

  • @KelvinEmersonSteven
    @KelvinEmersonSteven 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo Sasa nadhani ndio Demokrasia itaamua vizuri kuliko kama mngeamua kuachiana tu

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 9 วันที่ผ่านมา

    Ccm..inamuhitaji mboe kuliko chadema inavo muhitaji...mvuto wa mboe umeisha..haaminiki.....serikali za mitaa ni kpimo tosha...achia mawazo mapya na fikra mpya

  • @BakariOmari-tr8cy
    @BakariOmari-tr8cy 9 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu njaa kubwa

  • @PlickaChacha
    @PlickaChacha 9 วันที่ผ่านมา +2

    Nani amesema kwamba unafukuzwa we mzee

  • @abednegomawalla8747
    @abednegomawalla8747 9 วันที่ผ่านมา

    Kwani hawezi kumwachia Lisu hayo mapambano ya kupata katiba mpya na kwanza Lisu ni Mwanasheria

  • @hoseawilliam1135
    @hoseawilliam1135 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona ulikuwa kimya sasa kama kuna program ulianzisha?

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 9 วันที่ผ่านมา

    Kumbe ilikuwa na kimkataba na Magu.Sasa Nina wasiwasi kushambuliwa kwa Lisu.Kuna Nila picha mbaya.

  • @bahatielias6443
    @bahatielias6443 9 วันที่ผ่านมา +2

    Chadema unaenda wewe mlafi wa madaraka, hivi kama taasisi unazani hakuna wenye vipawa wakuweza kuongoza tofauti nawewe

  • @DaimaNyakunga-jb6do
    @DaimaNyakunga-jb6do 9 วันที่ผ่านมา

    Kupitia ww hutaweza kuitoa ccm chadema kwa heri kinakufia mikononi mwako

  • @EmanuelMandoo
    @EmanuelMandoo 9 วันที่ผ่านมา +1

    Watanzania wepi

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 9 วันที่ผ่านมา

    Miaka 20 + 5 =25 demokrasia yenye chachu 😂😂😂 na bila shaka utashinda 😂😂😂😂

  • @victoriabernard5287
    @victoriabernard5287 9 วันที่ผ่านมา +2

    Mbowe acha tamaa na wenzio pia wanataka. We ni mpaka lini?

  • @frankmlinda1181
    @frankmlinda1181 9 วันที่ผ่านมา

    Wew huna jipya bro kaa pembeni lisu ndio anafaa wew no

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 9 วันที่ผ่านมา

    Ni taasisi mzigo isiyoshangilika akili za kuambiwa ongeza za kwako....

  • @tobiasmbena7245
    @tobiasmbena7245 9 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli nimeamini hiki chama ni chama cha mfukoni hakina tofauti na tadea

    • @DeogratiusAndrew-zi7zv
      @DeogratiusAndrew-zi7zv 9 วันที่ผ่านมา

      Hapa kitaenda kugawanyika na wataanza kuuana

    • @johansenerasto5890
      @johansenerasto5890 9 วันที่ผ่านมา

      Amna,shda ni hyu mbowe ngoja tuje tumtoe kwenye uchaguz ujao uone mambo yatakaa sawa

  • @daudimaembe3360
    @daudimaembe3360 9 วันที่ผ่านมา +1

    Referee weka mpira kati

  • @mcharo255
    @mcharo255 8 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

  • @majidimussa8678
    @majidimussa8678 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hamna ki2 hapo

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 9 วันที่ผ่านมา

    Lissu tosha machawa na kunguni hawana jipya miaka 20iliyo pita....

  • @samkitwima7933
    @samkitwima7933 9 วันที่ผ่านมา

    Kama nawaona CCM wanavyofurahi😂

  • @RukumanAbdul
    @RukumanAbdul 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna demokrasia waachie wengne madaraka acha Tamaa mbowe

  • @SilasNdereka
    @SilasNdereka 9 วันที่ผ่านมา +1

    Sakosi ya mbowe

  • @abednegomawalla8747
    @abednegomawalla8747 9 วันที่ผ่านมา

    Mimi nilishasema chama chochote kinachodai kuwa ni Cha upinzani na wanaingia kwenye uchaguzi either wa Serikali za mitaa au Serikali kuu hao ni chawa tu!.Coz refa atoke timu nyingine then mkubali kuingia kwenye mashindano.

  • @tanzaniatouristsattraction1622
    @tanzaniatouristsattraction1622 9 วันที่ผ่านมา +2

    Unataka ccm iwe na demokrasia we chama chako hakuna

  • @JustinJoseph-k2t
    @JustinJoseph-k2t 9 วันที่ผ่านมา

    Katiba mpya wakati katiba ya chama ovyo

  • @kokombwana5865
    @kokombwana5865 9 วันที่ผ่านมา

    Kesha iua chadema,ksababu atashinda tu kutokana na mzigo aliopewa na maza. Lakini najiuliza,hv hajisikii aibu kabisa kabisa yani kuongoza chama kwa miaka yote?

  • @DaimaNyakunga-jb6do
    @DaimaNyakunga-jb6do 9 วันที่ผ่านมา +1

    Acha ww achia ngazi umekaa sana ww huna wivu

  • @EmaKhan-m7k
    @EmaKhan-m7k 8 วันที่ผ่านมา

    Pumzik ss inatosh miak 25 ulikuwa wap uo ni uroho wa madarak😊

  • @BlandinaLukole
    @BlandinaLukole 9 วันที่ผ่านมา +1

    Unatia kinyaa

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 8 วันที่ผ่านมา

    Kama maridhiano ccm wamegoma,,mbowe unazani ccm watakupa katiba kwa hisani

  • @mosesjacksonkarashani2642
    @mosesjacksonkarashani2642 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kumeanza kuchangamka 😅

  • @lusajomwakajoka4955
    @lusajomwakajoka4955 9 วันที่ผ่านมา

    MBONA CJUI NIMFANANISHE NA NN COZ NI MUOGA WA MAAMUZ , ANGEPUMZK TU KW SASA AMEFNY KAZ VZR N IMEPITA NOW KUNAMTU ANAENDELEZ

  • @niubility5745
    @niubility5745 9 วันที่ผ่านมา

    Huna jipya, miaka 20 haikutoshi? Kwani hayo mapambano haya wezi kufanywa na viongozi wengine? Hizo mind za kizamani. Mbowe anasumbuliwa na uchu wa madaraka

  • @mulhatramadhan1147
    @mulhatramadhan1147 9 วันที่ผ่านมา

    Wageuka samaki

  • @jameshenerico
    @jameshenerico 9 วันที่ผ่านมา

    Chama kinakufia mìkononi kwa kuwakumbatia wala rushwa akina wenje

  • @ibrahimmaneno8486
    @ibrahimmaneno8486 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mbowe amesha lewa na madaraka

  • @JustinJoseph-k2t
    @JustinJoseph-k2t 9 วันที่ผ่านมา

    Mbowe waachie wenye mawazo mapya jmn

  • @lawimichaelwerewere7619
    @lawimichaelwerewere7619 9 วันที่ผ่านมา

    Umetuuza vya kutosha acha tukuachie chama chako

  • @SuolFat
    @SuolFat 8 วันที่ผ่านมา

    Mwana kondoo ameshinda

  • @lusajomwakajoka4955
    @lusajomwakajoka4955 9 วันที่ผ่านมา

    viunbe dhaifu ni wala wanaoogopa kupoteza hotel et kisa umeanbiw neno usipotmiz na Bado wanafuat et uendelee il hotel iwe saw

  • @EmanuelMandoo
    @EmanuelMandoo 9 วันที่ผ่านมา +1

    Utapeli unaochosha

  • @faizaannassir2568
    @faizaannassir2568 9 วันที่ผ่านมา

    Waha ndo wanna zuia mabadiliko ya kidemocrasia aibu.

  • @marijanikhalifa7445
    @marijanikhalifa7445 9 วันที่ผ่านมา

    Mzee hayo maneno kutak kura

  • @jacobche6288
    @jacobche6288 9 วันที่ผ่านมา

    He is Not Real at All....We need a New One the Old One Has Done Nothing

  • @maikojohn-xr5cg
    @maikojohn-xr5cg 9 วันที่ผ่านมา

    Yani Mbowe unashangiliwa na wanaccm na wewe unakubali kweli kuharibu chama ila wewe mzee una uroho wa madaraka

  • @HatibuSozi
    @HatibuSozi 9 วันที่ผ่านมา +2

    Acha ujinga mbowe akili zako zimeshafika mwisho kutoka wabunge70 Hadi mmoja siuboya huo unatja katiba tume huru wewe umeisha shindwa pisha akili mpwa ww hutufikisha popote umeshaferi balaa ya kusbabisha watu wauwane acha umbea huna lolote broo

  • @nditiPeter
    @nditiPeter 9 วันที่ผ่านมา

    Umekuwa mwenyekiti miaka 21 hujaleta katiba mpya ukichaguliwa ndo utawezesha katiba acha kungangania madaraka

  • @Allyiddsud
    @Allyiddsud 9 วันที่ผ่านมา +2

    Asate kamanda mkuu mbowe❤❤❤

  • @maikojohn-xr5cg
    @maikojohn-xr5cg 9 วันที่ผ่านมา

    Sasa Mbowe mimi sijakuelewa unataka katiba ya kubadilishana Madaraka na wewe hutaki kuachia hayo madaraka sasa tukueleweje kwa waliosema chadema ni sakosi yako kumbe wako sahihi kabisa

  • @PiusLaizer
    @PiusLaizer 9 วันที่ผ่านมา

    Umeongoza kwa muda mrefu sana je hizo programs ulishindwa kuzisimamia? Je leo ukifa chadema haitaongozwa? Nenda kapimzike Kuna kazi nyingine za kufanya hata kuwa mshauri inatosha

  • @Frank-t6m
    @Frank-t6m 9 วันที่ผ่านมา +1

    Unaboa kabsa wewe...lisu ndiye anayefaa na wakati ndo huu.

  • @Kakamkubwa3564
    @Kakamkubwa3564 9 วันที่ผ่านมา

    Dah imani imetupungua Mbowe utaua chama Kwani kuna nini wengine wakiwa viongozi? Na kwa kauli zako basi wewe ni bonge la Dictator.

  • @AzizMangara
    @AzizMangara 9 วันที่ผ่านมา

    Tatizo viongozi, ngozi nyeusi, wengi wao, 99% wanajiona akuna mwingine zaidi ya yeye.
    Sasa wengine waliosoma na wenye upeo wafanye nini kwa walicho somea. Au utalamu nacho.
    Watanzani nawakumbusha, kama kiongozi anajiona hakuna zaidi ya yeye, kipesa, kielimu, kimawazo. Sisi tukumbuke kuna kifo cha huyo anayejiona yeye ndo yeye, Sasa tujiulize huyo anayejiona ndi yeye anaweza, mungu akipita naye sisi huku., tutaishi vipi.!!!? Jamaani tuwe makini na nchi yetu, na tuwe makini na propaganda, za wajinga wanaojiona timamu zaidi ya ya sisi wananchi.

  • @danielpaul4108
    @danielpaul4108 9 วันที่ผ่านมา +2

    Safi sana kamanda Mbowe,

  • @kakanicodemus3632
    @kakanicodemus3632 9 วันที่ผ่านมา

    I knew, hiv vyama vya upinzan ni mali za watu.....weweeee lipumba huyo hapo

  • @kiatu
    @kiatu 8 วันที่ผ่านมา

    Can’t believe he is this arrogant and ignorant.

  • @BARAKAKinana-n4y
    @BARAKAKinana-n4y 9 วันที่ผ่านมา

    mbowe ww nimpubavu sana ww ufai Tena na nakwambia shama utakiuwa ww mwenywe pamoja na ujinga wako

  • @sebastiangreyson8615
    @sebastiangreyson8615 9 วันที่ผ่านมา

    8

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 9 วันที่ผ่านมา

    Sasa unatuonyesha rangi yako dhahiri. You are the selfish person I know of today. Nilikuheshimu sana . Kumbe kuna kitu umekificha moyoni mwako. Inamaana humwamini yeyote yule isipokuwa wewe tu. Unaubinafsi mkubwa kupindukia. Hapa hupiganii chama wala Watanzania tena. Unajipigania wewe , na kundi. Huna tofauti na CCM na kundi.

  • @KittaBoe
    @KittaBoe 9 วันที่ผ่านมา

    th-cam.com/video/iQDDshPd-ow/w-d-xo.htmlsi=-lultF9EcQlxeSYt

  • @mcharo255
    @mcharo255 8 วันที่ผ่านมา

    Mbowe the diehard ✌️

  • @abednegomawalla8747
    @abednegomawalla8747 9 วันที่ผ่านมา

    Mimi nilishasema chama chochote kinachodai kuwa ni Cha upinzani na wanaingia kwenye uchaguzi either wa Serikali za mitaa au Serikali kuu hao ni chawa tu!.Coz refa atoke timu nyingine then mkubali kuingia kwenye mashindano.