DC MAGOTI ASIMULIA ALIVYO TAPELIWA KIWANJA “MIGOGORO YA ARDHI INALETA CHUKI”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 4 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu mwamba namuona kuleee juu kabisa.

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 4 หลายเดือนก่อน +6

    Muhuni anashughulikiwa kihuni....hii nimeipenda

    • @LatwifSued
      @LatwifSued 7 วันที่ผ่านมา

      Huyu mkuu wa wilaya nampenda sana

  • @Keyjop
    @Keyjop 4 หลายเดือนก่อน +2

    Naamini watu kama hawa Bado wapo saana kwenye nchi yetu ...Mungu akujahalie mh..magoti hayo unayo yaongea naamini Yana toka ndani kabisa ya moyo

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli. Visegese mwaka wa 12 HATUJUI HATIMA ya maeneo yetu ukanda wa viwanda.

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 4 หลายเดือนก่อน

    Big brain,kweli mama umepeleka mtu kisalawe

  • @RashidiFuko
    @RashidiFuko 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa mkuu wa wilaya kuna kijiji kinaitwa mihugwe kipo mpakani na kibaha mwenyekiti na afisa mtendaji wameuza zaidi ya hekali 800 kila heka wameuza tshiling laki nane wamewagawia shilingi Elfu 10 kila mwanakijiji hela zote wanakula viongozi na hiko kijiji hakina maji wala umeme nakuomba nitafute kiongizi nikupe maelezo yaliyonyooka

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kama anaonekana yuko vizuri... sijui utendaji

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli muheshimiwa upo sahihi sana,watu wengi wamekuwa ni malaghai na kulia lia hovyo ili wamtapeli muhusika.
    Inaonekana unawafahamu watanzania haswa😂😂Hongera sana

  • @StAr-yu3vz
    @StAr-yu3vz 4 หลายเดือนก่อน +2

    Tupo pamoja muheshimiea

  • @vocalizertz6868
    @vocalizertz6868 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona kama makuful

  • @ShadrackNkulangwa
    @ShadrackNkulangwa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Piga kazi magoti

  • @AugustinoGidamara-z6b
    @AugustinoGidamara-z6b หลายเดือนก่อน

    Mh upon sahihi kisarawe inaongoza tumshukuru mh rais kukureta kisarawe

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 4 หลายเดือนก่อน

    Nina iman nae ila usituangushe mkuu

  • @G24TZ
    @G24TZ 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tuishi kwa kufwata sheria na kanuni, lakini wewe umeshaanza kutangaza vita na vitisho na ubabe badala ya sheria

    • @Fadytunez
      @Fadytunez 4 หลายเดือนก่อน

      We ni mwenyekiti wa kijiji?

    • @StAr-yu3vz
      @StAr-yu3vz 4 หลายเดือนก่อน

      Inawezekana ndio unaficha uovu nyie vitambi vinatoka wanachi tunatabika nazani agekuaza wewe kukutumbua

    • @StAr-yu3vz
      @StAr-yu3vz 4 หลายเดือนก่อน

      Angekuja makonda ndio tugejuwa mbichi 🤣🤣🤣🤣

    • @StAr-yu3vz
      @StAr-yu3vz 4 หลายเดือนก่อน

      Inawezekana sisi tunaumia nyie kira siku maendereo hakuna mheshimiwa fanya kazi yako 🤣🤣🤣🤣🤣