Ila nandy basi tu ❤amejua kuwakeraaaaa wapinzani 😂 ila nandy si tupeleke taratibu sisi Chama cha upinzani 😂 kwani tumekukosea nini watu wa CHADEMA 😂😂😂😂 ANWAY TUNAKUPENDA HIVYO HIVYO 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Staki kuwa mnafki show haikuwa nzur san,pia wasanii wazingatie mandhari sjui hawajasom fasihi,sehem km hiyo sio ya kuimba nyimbo za mapenz yani Tittle mkutano wa CCM halafu content Nimekuzoea,dah!, tuwe serious jmn sio kwa ubaya lakini bora angeishia pale pale kwenye nyimbo ya kwanza
Kusikiliza wasanii watanzania ni sawa na kusikiliza uchafu jifunzeni kwa wasanii wenye akili kutoka Kenya nyie mnawaza ngono na uchawa mipumbavu ya mwisho
Leo wasanii mmevaa kwa heshima sana mvae hivyo kila siku.Anayekubaliana nami a like
❤
❤🎉
Nandi kamfunika mtu apo😂
Ma Shaa Allah Nandy na Zuchu mwaendana km mapacha
Ila nandy basi tu ❤amejua kuwakeraaaaa wapinzani 😂 ila nandy si tupeleke taratibu sisi Chama cha upinzani 😂 kwani tumekukosea nini watu wa CHADEMA 😂😂😂😂 ANWAY TUNAKUPENDA HIVYO HIVYO 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
❤❤❤nandy❤❤
Big up sana
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 i love you Nandy
Safi san nady ❤❤❤❤❤
Zuchu the best
Nandy woyooo woyooo jamani kwa watu wazima
Umetisha mamii twakupenza umevaa kiheshima sn
Staki kuwa mnafki show haikuwa nzur san,pia wasanii wazingatie mandhari sjui hawajasom fasihi,sehem km hiyo sio ya kuimba nyimbo za mapenz yani Tittle mkutano wa CCM halafu content Nimekuzoea,dah!, tuwe serious jmn sio kwa ubaya lakini bora angeishia pale pale kwenye nyimbo ya kwanza
Ako sawar nandy i really love you
Uko vizuri
❤❤ yani umemfunika bi mtu😂😂😂
Wanyonge tunalia umetutwisha mizigo
Nandy umeua❤❤❤
Safi sanaaaaa nandy wangu
Safi sana Nandi
😅😅😅😅😅 izi n gani sasa tanzania artist mtaniua jamani
Nand bola ungeishia nyimbo ya kwanza tu huko mwishoni umehalibu
Nzuriii
Daaah bongo bhana😅😅 mambo ya mitambo hayo.
Mkutano mkubwa kama huo daaah mbele ya waeshimiwa.
👍💚💚💚
Waooh!
Santa kaja kivingine Nandy kawenza ❤
Nandy naona hata sauti imekataa i guess kuna shida mahali
Mbona sielewi 😂😂
❤
Kheee huyu nandy mbona unanimaliza kwenye ccm inakujaje jamaniii
👌👌👌🙏🙏🙏🎉🎉
Nashangaa wasanii wote ccm hii nnchi ina drama hii haya mama yetu mitano tena
Uchawa na maokoto ndo unawapeleka ccm wasanii wote
Safi sana
❤❤❤
Sawa
Mfalme atabaki kuwa mmoja daima
Salut
Umependeza ila uli imba mubaya
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
🎉🎉🎉❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉
🖐️💚💛
Hao mafundi mitambo mbona awaeleweki? Usikii hata anachoimba yani
Hii nchi hii ,hawa wamekuwa wajumbe wa mkutano mkuu lini?😂😂😂😂
Toka zamani kama ulikua hujui
Nand kauwa kuliko konde boy
Nandy usela mwingi
😅
Hakumfurahisha aangalie wajumbe walitulia kwenye Chama unaimba matus na kunamamazako na baba zako wala hujamfurahisha Zaid ya wimbo wa kwambza
🙄🙄🙄jamen yani huyu nandy .............
😂😂😂😂
Aaaaaah jameni hebu muwe wa kweli!!! Nandy hajafanya show nzuri hata kidogo!!!!! Hii show haikuwa nzuri na watu hawakuwa na mzuka kabisa
Umeona eeeh hajamfikia zuchu
Acheni unafiki
DJ kamuangusha
Kusikiliza wasanii watanzania ni sawa na kusikiliza uchafu jifunzeni kwa wasanii wenye akili kutoka Kenya nyie mnawaza ngono na uchawa mipumbavu ya mwisho
Na ww una waza nini na hasira zako😂😂
Wasanii wote walio ccm kazi yao ni uchafu,uchawa na ngono na u
😂
❤
❤❤❤❤