Wananchi MANYARA waibuka na Maji Machafu kwenye Mkutano wa MAKONDA

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 8

  • @gisbertusrevocatus171
    @gisbertusrevocatus171 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mkuu wa wilaya ni smart Sana aise

  • @kjb_user0077
    @kjb_user0077 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hii inchi CCM imesha washinda,miaka 60 mpaka leo maji shida duuhhhh

  • @BabusiJoseph-sv6oz
    @BabusiJoseph-sv6oz 8 หลายเดือนก่อน +1

    makonda kama unakwenda mwendo wamagufuli watuwatakuamini siokukushabikia

  • @a.a.a.s8322
    @a.a.a.s8322 8 หลายเดือนก่อน

    Safi sana kiongozi.

  • @WilfredShirima-e2j
    @WilfredShirima-e2j 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hamnakitu hpo miaka 60 bado watu wanakunywa maji machafu.alafuhuku mnatembelea v8

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 8 หลายเดือนก่อน

    Mh bado bei za maji ziko juu sana pia maji yanatoka kidogo ukipga simu wanakuja wanaongeza siku inayofuata inarudi palepale mwisho wa mwezi bill ipo palepale

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 8 หลายเดือนก่อน

    siku nyingine muwe munajirecord video munapo chota

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 8 หลายเดือนก่อน

    Watanzania bhana akili zao wafikiri bashite anauwezo wa kutatua matatizo yao ya mwika 62 ya uhuru hii ni komedy tupu