HATUA MUHIMU ZA KUZINGATIA WAKATI UNAPOJIAGIZIA GARI NJE YA NCHI (2011 MAZDA DEMIO SKYACTIVE)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Tunatoa huduma za uagizaji magari kutoka mataifa mbali mbali ikiwemo (Japan ,Uingereza , Dubai,Afrika ya kusini, Singapore, Thailand na Ujerumani).
    Tunaagiza Semi trailer, Mabasi, Tractor , Marobota mbali mbali, Vipuri vya kila aina na hata gari ndogo pia tunaagiza .
    Tupe order yako tukushangaze.
    Tunatoa huduma zetu kwa weledi wa hali ya juu , Tuna team ya watu walio sahihi na wabobevu katika fani ya magari na mitambo katika mataifa mbali mbali.
    Gari hii imetumia wiki 6 tu mpaka kufika Tanzania.
    Kwa huduma zaidi za uagizaji usisite kuwasiliana nasi kupitia:
    Simu/Ujumbe mfupi/whatsapp +255689265275
    Email; sales@dotel.co.tz
    Office; Posta , Samora Avenue , NHC House 9th Floor, Dar es salaam, Tanzania
    _____
    ✔Instagram; dotellimited
    ✔Facebook; dotellimited
    ✔Twitter; DotelLimited

ความคิดเห็น •