For sure after Kanumba dead, no body can replace his Actions... Wote waliobakia ni wauza sura tu.. Rest in peace my crush acter. Kazi zako hazichoshi kamwe.
Hukuwahi kutuchosha bali ulitufurahisha Sana na movies zako kaka. Rest in peace kanumba. Tangu uondoke bongo movies haina mwelekeo wengi uliowabeba wamepotea. Wengi wamepotea hawaeleweki. Keep resting bro
K we rlly miss you baba u just don know how much we want you back tc just we can’t bring u back Steve....we miss you n we love you so much K...rest easy baba🙏🥺
I used to watch and loved his movies so much when I was pregnant until I gave birth to a bby boy now my son is 7yrs may your soul continue to rest in peace Steve the great😢😤
steve ni kipaji ambacho kilishushwa ktk nchi yetu hii ya Tanzania ... naamini leo hii kama angelikua hai bas bongo movie ingefika mbali sana ... kuchukulia mfano diamond platnumz leo hii anavoipeperusha bendera hii ya Tanzania kupitia music na kufanya featuring na wasanii mbali mbali wakubwa dunian na leo hii kufika pale alipo.... Na steve alishaanza kufanya movie na wasanii wakubwa sana Africa kama Ramsey Noa kutoka Nigeria... sasa imagine toka miaka ile Steven Kanumba alishapiga atua ya kufanya kazi na watu nje ya Tanzania na kukibalika ... je leo hii angelikua hai ingekuaje .... R . I . P Steven Charles Kanumba .... One of the Greatest Talents in Tanzania
Me siach kuangalia muv zako kanumba ndo zbanifariji but matajir mjalin bhas mama kanumba ujuwe kanumba anaingiza Ela Kila siku me nitapenda mkimkumbuka Mam kanumba kwa niaba ya mwanae ,wananii wa muv msimsahau mama yake kanumba alituzalia jembe,na mam yake alimpa malez Bora mwanae nakupendaje ma kanumba
2023 bado tunasonga nayo ninani mwengine ebu gonga like hapo kama tuko pamoja.
Pumzika kwa Amani légende kanumba 😭😭😭😭😭😭
2024 hiyi, tuna endelea ku kuangalia Kanumba, pokea loves zetu ❤❤ Pumzika kwa amani
nani anaeangalia ili dude 2024 like apa
Mm apa
tupo hapa
npo
🎉
Tuko sana
Sema kazi ya Mungu Haina makosa . Kanumba na Magu Hawa watu wangerudi maana so poa
R,I,p, King of Bongo Movie Steven Kanumba 2020 bado tunakuangalia 🇹🇿.
Nani bado anaangalia 2024 much love from 🇰🇪🇰🇪
I'm here 🎉🎉🎉🎉
Roho ya marehem kanumba ipate rehema kwa mungu ipumzike kwa amani amen.....
Wakati mwengine nikikumbuka bwana kanumba najawa na uchungu sana...Mungu aweke roho yake pahali pema peponi amina
I really miss Kanumba, Mungu ampokee katika ufalme wake, I loved him alikua aki act vizuri sana, pia jack I love him
Mama mkwe visa
@@danielbupele3447 aaaaaaaaaàaà
He was genius
For sure after Kanumba dead, no body can replace his Actions... Wote waliobakia ni wauza sura tu..
Rest in peace my crush acter. Kazi zako hazichoshi kamwe.
True100%
The Great Kanumba ameenda n kla ktu cha bongo movie
That true nobody can replace him 👌
sure
The Bongo Movie Legend is gone , but still your memories remains fresh in mind and souls .R.IP big brother .
Kanumba real you were a great loss for tz movies...ulikua babayaoooooooooooo😭😭😭😭😭😭
He was my favorite Tanzanian actor, and even until today he is still, we miss him so much, may his soul rest in peace, big love from Kinshasa (Congo)
Bfbfbfbfbfbefbbffffeeffffbfbfbfbeebbfbfbfbfbfbfbbbfbfbfbfbfbfbbbbbebefbfbfbfbfbfbbfbfbfbbfefbfbfbbfbfbefbfbbfbfbbfbfbfbbfbfbfbfbfbebgfeeefbfbfbebefbebbfbeeebefbfbfbfbbfbfbefbfbbebeebfbffevbfbfbeebfbfbfeefbefbfbeefbefbfebefefvbfbeefefbfbfbfbeefbebebfefbvbeeefbeeefbfbebbedvbeeeebge
Fbebbfbffbbefbeebvbbbvbbebeeefffbeefbbeebeebefbebeeeebffefbvvebeedbfebeefbbfbeebebebebbebbbfbbefbeeebbfbvb feb efbfefefbebffffebbfdbeeeebb FFBB bvg en reg feebebbfebbdfbéebveebvébebebbvvbveefbfvébbvedbbébefbbvebebfbébéebebbé référente FFBB ebbèbebebebbebébbebebébbbbbébébebfbbébdbbébbbbbbbbebbbbbbbbbbbedbbbébbbbbbbb
He will remain my number one dear ,all the way from south Africa we will always love and miss him
Hukuwahi kutuchosha bali ulitufurahisha Sana na movies zako kaka. Rest in peace kanumba. Tangu uondoke bongo movies haina mwelekeo wengi uliowabeba wamepotea. Wengi wamepotea hawaeleweki. Keep resting bro
Hero's don't die ...you are a true legend Steve....may the perpetual light shine upon his soul oohh Lord and grant his soul eternal rest....
2023 still my favourite 😍
Rest in peace Stephen, I loved your movies, everyday I watch you I feel like crying.
Jenfa
Never forget but I like these movies too much R I P MY BROTHER KANUMBA
Ahmed aka Alex is a comedian😂😂 anachekesha Sana. Nakumbuka enzi zile za Bongo movie wakati wa Kanumba. Wakenya tulizipenda sana
Luv u from Kenya, we cannot stay in this world forever, all u did 4r us will remain 4rever,,,your soul rest in peace
AMEN!
Sleep well kanumba mungu akulaze mahari pema pepon #umetuachia#majonzi kwenye game la move lala salama kanumba
Hangeishi sana, île kipaji hachikukua cha kawaidha kabisa. RIP our Congolese Swahili teacher.
Vimbweta hivyo stev ni Best of all time
Huyu mwamba alikua msanii bana sio flamu sio mziki sio mashaiiri hadi leo bado naenjoy kaz zake tu❤️🙏
Hio nyimbo kanumba yenye ameimba siku ya leo nimekuona nimefurahi...iliimbwa na msanii nmeipenda
Msanii gani aliimba
Unaweza ukatizama film ikafikia hatua ukafikiri amechukua part ya historia ya maisha yako
Ni kaz ambayo 🔥🔥🔥🔥
Duuh broo yaani sahihi kbx njihx mm
2024🇺🇲, king of bongo movie steven kanumba RIP
Kanumba it's 8years but i still fail to believe he is no more!RIP
Legends never die.Rip Kanumba.
😢😢nani acter mzuri kama wewe.pumzika kwa amani mr.steven kanumba
forever in our heart steve😭 legends never die
Very best of Kanumba Steven
I'm still watching, legend never die, Rest in peace kanumba you left legacy behind. I'm Rashid from Kenya
Stivin kanumba mungu akulaze mahali pema ... movie zako ziko smart sana
Hakika Mungu ailaze roho Yako mahali pema tunazidi pata fundisho njema kupitia movie zako king of movies.
Smart sana
Twawaomba mrelease ile ya power & love
hakika Kanumba hautasahaulika kwa kaz zako nzr ,dah mungu akupnguzie adhab ya kaburi ,inauma sana
K we rlly miss you baba u just don know how much we want you back tc just we can’t bring u back Steve....we miss you n we love you so much K...rest easy baba🙏🥺
2023 still watching Rest in peace Legend Kanumba the great
Steven Kanumba u King man u know how to playing movie for really but am Angry why Died I need u back
2021♥️♥️♥️RIP Kanumba...🙏
aisee tumpate tena wapi mtu kama uyu, kweli kanumba ulikuwa the great
Kwa kweli nyota ilizima! May his soul rest in peace!
Nyota ilizimwa bt we still remember you kanumba rest in peace
2021 tujuane kw hiiii mv jamn🥰
Nko ndani
Wallah
Pamoja
Serengo naye jameni😆😆😆
King of bongo movie,rip maaaa heroo
Heroes dies Young because kanumba he is only and good actor in Tanzania there's no one like him RIP kanumba 😭😭😭😭
Still today I always watch his movies,,my legend continue resting in peace 🙏🙏
😭😭😭😭😭😭 pomuzika kwa Aman kanumba ther great love you sumuch❤❤❤ Costa kutoka sumbijji Maputo cty😭😭😭😭😭😭😭
If only God can give us a chance to name five Dead people to come back to life he would be in my list the best never last 😭😭
th-cam.com/video/7dC5gvdVliU/w-d-xo.html
Ok
Fantastic,,,, continue resting in peace kanumba
Hapo kwa kweli limepotea jembe mwenyezi mungu akupunguzie azabu za kabri
Great
@@felistianjacob1144 hyu mtu alkuwa anajtahd xna
19 /11/2023 I'm still watching this RIP legend 😢😢❤❤
Good job
Kanumba the great ,we will continue to remember you , rest in peace brother
Hey this movies are very sweet men this was a legend
2020 hapa
hii muvi nimekukubali sana.
Nitakukumbuka siku zote😢😢
Umeniweka fasi nzuri kwenye sanaa yako. Mungu akukumbuke kwa siku ya mwisho kk. Naumia napo tizama movies zako.😢😢
Siku moja nilipata ndoto nilikuwa naye acting pamoja yaani siwezi kumusahau kaka Kanumba
2024 still my favorite ♥️🔥
Daaaa kwa kweli ardh inameza vingi sana
R.I.P brother bongo movie yote umeondoka nayo
Repose en paix Steven! Merci pour le travail accompli 😢
Rip Stephen Charles kanumba
I used to watch and loved his movies so much when I was pregnant until I gave birth to a bby boy now my son is 7yrs may your soul continue to rest in peace Steve the great😢😤
Nakumiss sana Brother of our country!!!!
Exxvdo
Daah 2024 tupoooo
Alegend never dies, You will always live in many people's memory .
Very beautiful and best
Wajina wangu huyu Alex lakini mm nashukuru sipo kama yeye 2020 kama upo gonga like apa
😂😂😂😂😂
steve ni kipaji ambacho kilishushwa ktk nchi yetu hii ya Tanzania ... naamini leo hii kama angelikua hai bas bongo movie ingefika mbali sana ... kuchukulia mfano diamond platnumz leo hii anavoipeperusha bendera hii ya Tanzania kupitia music na kufanya featuring na wasanii mbali mbali wakubwa dunian na leo hii kufika pale alipo.... Na steve alishaanza kufanya movie na wasanii wakubwa sana Africa kama Ramsey Noa kutoka Nigeria... sasa imagine toka miaka ile Steven Kanumba alishapiga atua ya kufanya kazi na watu nje ya Tanzania na kukibalika ... je leo hii angelikua hai ingekuaje .... R . I . P Steven Charles Kanumba .... One of the Greatest Talents in Tanzania
Sio kweli yy ndo angefika mbali tasnia sio mtu mmoja h
Filamu zako nzuri Sana kanumba mungu akuweka pema amen
Rest in peace bro ,,your super hero
Ben Blanco my man. Let Kanumba rest in Peace.
Watching from US ( Kenyan)
Innalillahi wainnailahi rajiun kanumba movie zko nzuri ulale salama
RIP Steven kanumba 2taku2mbuka daima
My Favourite all time ✍️..jpt
How wonderful is it!
I have entertained much.r.I.p kanumba
Me siach kuangalia muv zako kanumba ndo zbanifariji but matajir mjalin bhas mama kanumba ujuwe kanumba anaingiza Ela Kila siku me nitapenda mkimkumbuka Mam kanumba kwa niaba ya mwanae ,wananii wa muv msimsahau mama yake kanumba alituzalia jembe,na mam yake alimpa malez Bora mwanae nakupendaje ma kanumba
Hata iweje ,Tanzania haitawai mpata mtu kama Kanumba kwenyi filamu.Mimi filamu za kanumba ziwezi kuziacha.Yuhu jamaa mola kampa kipaji juu ya vipaji
The legend don't dead.
Tulikupenda mungu kakupenda zaid move zako tutazkumbuka daima
M/ mungu akusamehe yale yote uliomkosea bro pengo lako halitazibika daima tutakukumbuka RIP kanumba
Kanumba alikuwa muhim sana ktk bongo move
Kweli sichoki kuangalia movie za kanumba mungu akulaze mahali pema peponi amina
I don't know if there are some people who keep watching kanumba's movie mpaka sasa naomba likes pls
Nani bado anaiangalia muvi hii 2020 halafu anaiona Kama imetoka Jana kwa utamu
th-cam.com/video/7dC5gvdVliU/w-d-xo.html
@@tambwe William kisota mollel
Mm
Watching now
Da arikua anaweza Sana huyu nduguangu kanumba
Dr Gervas kasiga Chuma you made it.
2021 apa
Wasichana walikuwa wanamkufia kanumba mbaya....so handsome and romantic
R.I.P Kanumba umeondoka na bongo movie
RIP Kanumba
I just imagn kanumba angekuwa hai hadi waleo,tungekuwa na vitu Kali aje.tho we don't live in a world of imagination
th-cam.com/video/7dC5gvdVliU/w-d-xo.html
Sana,.yaani bongo ingekuwa si bongo
Mwaka 2022 mwezi 11 Bado wengi tunaicheki daaaah! Kweli Duniani 🌎 tunapita
What a great lesson 🙏🙏
Bana naiyopea Mungu sana amuweke mahala pema
Kanumba where are you 😥😥😥😥😥😥 I miss you my hero you are unareplacable
My name is Jean Luc Sengi, I am in the DRC. but this video reminds me a lot. I'm 19
Rest in peace bro good actor genius
Really love the movie act wow...
We still love you legend💕💕 RIP
2021 kanumba love from kemya