TANESCO WAFANYA MABADILIKO MFUMO WA MITA ZA UMEME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wanawataarifu wateja wake wa mikoa ya Mwanza, Kagera, Mara, Geita, Simiyu, Tabora, Katavi, na Shinyanga kuwa zoezi la Maboresha ya mfumo wa LUKU linaanza kufanyika rasmi katika mikoa hiyo kuanzia leo Tarehe 01, Juni, 2024.'' Irene Gowelle kaimu mkurugenzi wa mawasiliano na uhusiano kwa umma TANESCO.
    Lengo la mabadiliko haya ni kuendana na viwango vya mifumo ya LUKU vya kimataifa na kuongeza ufanisi wa mita za LUKU.
    Sikiliza Jambo FM na kutufuatilia kupitia www.jambofm.co.tz kujifunza kugangamala mwanzo mwisho ili uishi maisha freshi kila siku.
    Cc. @tanesco_official_page
    #jambofmtz #shinyanga #Gangamalamwanzomwisho
    #jambotanzania #tanesco #LUKU

ความคิดเห็น •