Doko mkali wao....hongera sana kwa kazi hii, pia mpe salamu zangu Bi Chaka pamoja na mfinanga na umwambie tifa nakuja tanzania kumtafuta nimlete tuishi naye kenya
I love you very much doko you are one of the best I like and I follow with attention really work always with mufinanga it is a good really God and with you
@@NajmaRajabu-y8b ailuhusiwi kutazamwa chini ya umli wa miaka kumi nanane ila pia mashabiki wa Afrika mnatunyanyasa cjui mnataka tufikishe vp ujumbe mana muvi zawazungu mnatazama watu wanakis wanatukana ila uku ukisema kubabasenge tusi jaman mnatuchosha 🙏
KAULI MBIU TUNAFUNGA MWAKA 🎉🎉🎉 HIII NATEXT MITAMBO TU ENJOY ❤ TUNAWAPENDA 🎉
Mama libakaji😂😂
Nawapenda nyote mloshiriki..asanteni kwa kutuburudishaa❤❤❤
Doko Sio busara kulipa jina la movie kwa jina la Kingereza na yanayo ongelewa ndani ya movoe nikiswahili
Doko am from Kenya ntumie Christmas 🎄
@@MaslineTuti- 😂😂😂 nitumie namba
Daaah huyo dada anayesali anaomba kwa uchungu had nmeokoka leo,❤❤❤❤
Anayeimba huu wimbo, namwamini mungu, mungu, anaitwa nani wakuu? Nimeupenda wimbo
Nakubali kazi zako doko mungu aendelee kukuza kipaji chako na natamani nije kufanya kazi naww
Kazi nzuri doko ❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Duuuuuuuuuh❤❤doko hiiii movie kalii ❤❤❤ sanaaaaa❤❤ congratulations for all members ❤❤❤❤
Thanks 🙏
@DOKO3467 tumeipendaa funga mwakaaa
Oooooyyyy🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mzeee Dokko ulipo nipo kaka nakubal kazi❤❤❤❤❤❤
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team doko makuma zhan❤❤
Nice movi doko umetixha xana kanza mwendo mungu yuko pamoja na wewe
job well done I ❤ it merry christmas 🎄 to you 'all
God first is the real time movie with normal human issues both with human being in intervention with God for solution....bro barikiwa sana
Thanks 🙏
Uyu dada yupo vizuri akuna kinachoshikana machoni pa mwenyezi mungu
Waaaaaaooooo ❤❤❤ shedafa❤❤❤
🎉🎉🎉🎉 Ðoko napenda
Soph umeomba vizur,,, hongera sana ♥️♥️
Mume anza iyi filamu vizuri sana tena sana. Ila tuna waomba musiimalize tena vibaya kama Kikongwe
Kikongwe imeisha vizuri sana ❤❤❤❤
Ila watu
Kikongwe iliisha vizuri sana
Daaah hatari sana 🔥🔥🔥
😂😂😂😂 ijapokuw kulogw kwa mfinanga lakin alivyo sema ndivyo ilivyo, mwanamke apigwiiii banaa😂😂😂❤
Doko mkali wao....hongera sana kwa kazi hii, pia mpe salamu zangu Bi Chaka pamoja na mfinanga na umwambie tifa nakuja tanzania kumtafuta nimlete tuishi naye kenya
I love you very much doko you are one of the best I like and I follow with attention really work always with mufinanga it is a good really God and with you
Namwamini munguu namwamini mungu kwanza😊😊❤
Mistari ya professor jay iyo 😂😂😂😂
Kazi nzuri from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Kazi safi from Kenya
makuku bali sana kwa kazi nzuri kaka
❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila doko et panua paja ukuni unakja 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nmecheka😂😂
Tunatakaaa hiooo nyimbooo
Wauu doko kiboko yawa tatanzaniya
Inaiywaje nyimb Hy jamn nimeipenda
Ata mimi nataka iyo nyimbo ni zuri sana 😢
God is the best👍💯
Mungu mwanzo nimeipenda zaidi
Doko ukojuusana,ila unapiga vibaya,🎉mwana muke hapigwi.
Salute Doko na kikosi chako. Much ❤ from Kenya
Kaulimbiu ebwanaeee...., ebwanaeee.....,wenye vipara hatuchekeshi😂😂😂
Naipenda saana ❤❤❤
Wa kwanza toka drc kalemie nakukubali sanaa bwana Doko ❤❤❤❤❤
Ongera sana mfinanga
Nice movie 🎉🎉❤❤❤
Kweli Mfinanga 😂😂❤
Shedafa😂😂😂 nakufatilia mwanangu kwenye busara sasa
Kazi nzuri doko
Oya wee ..oya wee wenye vipara hatuchekeshi hata. Siku moja 😂😂😂
😅😅😅😅😅😅 doko umetisha panua
Funga mwaka 🎉🎉🎉
Soph 😢😢😢 congratulations 👏👏👏
Tobaa shedafa hizo nguo zimekuenda Sana
Shidafa napenda vile anavo ongea❤❤❤❤yaani anachekesha
CONGRATULATIONS SOFFIA YOUR THE BEST ACTOR
Bro wa michenyego😂😂😂
mwambie apunguze kipigo❤❤❤
Yaliyopita, kwenye Sheila 😂 DOKO watakuua mwaka huu 😂 HII NDIO DUNIA BWANA
😂😂😂😍😍
Ila ww unachanganya😂
@aishaomar2287 nachanganya nini sasa 😁 vipara ingwe hatuchanganyaji 😁
Mary Christmas 🎉from Nairobi kenya asanteni sana team doko
Good job 🎉🎉🎉🎉❤❤
Kazi nzuri
Movie nzuri doko im your fan nitumie soda ya sikukuu
Namba ya simu au tafuta pakunipa mana umu sio sahihi
Nawapenda bure ❤❤❤
Nakubali xaaan mzee wa 4-4-2 mfumo wako nimeulewa 😂😂😂
Mary Christmas.
Am waiting from Zambia
Ila doko mashaallah hajivuni kwa mashabiki zake kama hakujibu kwa comment basi ata like 🎉🎉🎉🎉
kna mster wengine hua wanaringa xna hta kukoment n shda
Doko naawe manamke hapigwi bwana mpaka nimemhurumia mdada wa waatu jamani😂😂😂😂
Saf sana doko sema nahii song inafanya movie kua unyama sana
Nice movie ❤❤❤❤❤🎉🎉
DOKO bana usimpige hivo huyo mwanamke mzuri sana af mtiifu sio poa😢😢
Kazi doko brother from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mungu ni mwema
Nice 🇨🇩🇨🇩🇨🇩👍
kaka hii ni moja sio poa
Mm naomba nhimbo yeno
Respect for you Doko
Keeee Shedafa Ni Afandeeee😂😂😂😂😂
Doko Hio background song naeza ipata fully... Very interesting
Kubaabasenge😂❤❤❤❤
leo nimewah tunakoelekea huyo dada nae ataloga Ila bichaka umemushutisha sinembaya hajui hatakuomba anafanana nauchaw gongen like🎉🎉🎉😢😮❤
Kipigo chote kile hata alama hakuna,,mmezingua😢
❤❤ Kaz nnzur
Doko safa hii apana sini yako ulieicheza akika nakukubali ila wapo kama ww wababe wamapenzi 😅😅😅
Doko naomba iyo wimbo please from Kenya 🇰🇪
😂😂😂😂Yani nimejikuta nimeceka Doko umepona kwaico kicwa😂😂😂 ILa Doko umezidisha si kwakipigo ico Doko utauwa mkeo😢jamani mpaka naskiya uoga
Mungu asaidie basimutoe dogo apitiye kwanza maumivu makali mno
FROM Mozambique 🇲🇿 Naipenda
Doko aki tuma link huku ya huu wimbo mnatumia kama soundtrack😢🎉🎉
doko hio sura inatisha bana from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
TIFA ume mpaka MFINANGA sasa😂😂
Ndoto yake ikatimia😂
Natumai sijachelewa❤❤❤
Doko bhana una maneno wewe😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉
Hii nyimbo yenu namuamini mungu naeza ipata ama mliitoa wapi😂
Chidafa😂😂😂
😂😂😂🤣🤣, il Doko utakuj kumuuw mam mchungaji
Ebu wacha tuchukuwe somo kwanzah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
God fast
😂😂😂😂
Umenikumbusha kauli ya mwamba mmoja eti wenye vipara hatuchekeshi, akakongotwa na mwenziwe😅 ila mwamba Doko😅😅😅
😂😂😂
Hem tanuwa paja kuni yaja weee😅😅😅
kaz mnzur kaka doko
Aki Doko si utamuua huyu binti😢
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 🇴🇲
2:01 Ameen dadaa 🙏 😢
Punguza matusi jaman haifai kuangalia sebleni na familia zetu 😢
@@NajmaRajabu-y8b ailuhusiwi kutazamwa chini ya umli wa miaka kumi nanane ila pia mashabiki wa Afrika mnatunyanyasa cjui mnataka tufikishe vp ujumbe mana muvi zawazungu mnatazama watu wanakis wanatukana ila uku ukisema kubabasenge tusi jaman mnatuchosha 🙏
Ila #doko hujui kupiga hata turu hana😂
🇲🇿🇲🇿🇲🇿 SAWA
Uku kwetu kuna mdada anapigwa na mumewe na kila siku anafanya maombi anapigwa mikfi adi kawa kiziwi😢
Filamu hii haibagui dini ....wapi maua za kipara ingwe 🙏