ALLY KAMWE: AWATUMIA SALAMU SIMBA | ATAMBA NA WANANCHI DAY, "TUMEWEKA REKODI" | AMUONYA AHMED ALLY.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
    Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv

ความคิดเห็น • 206

  • @germanuspeter5518
    @germanuspeter5518 หลายเดือนก่อน +3

    Kama ungesimaia mwenyewe mambo yangekuwa bora sana, mimi ni yanga (wewe Ali unatosha!, tz zima tuliboleka kwa kukukosa! Uongozi mtuachie KAMWE wetu:(hatutaki vivuruge)

  • @abasimwinyibovu3090
    @abasimwinyibovu3090 หลายเดือนก่อน +12

    Nimesoma mesege nyingi nimegundua wengi wenu ni madunduka. Nakukubali sana mwanangu Alli kamwe

    • @AnciscoKayombo
      @AnciscoKayombo หลายเดือนก่อน

      Utopolo refa kaogopa msitiliwe mchanga ila mdebwedo sana yaani kha!

  • @cynthiapwani1383
    @cynthiapwani1383 หลายเดือนก่อน +1

    Yani we kaka nakupenda sana Mungu akujalie marifa na hekima zaidi ww ni bora na muhimu sana ktk clab yetu aisee me jna nimekuona ukiangaikia wananchi uhuru safi ww ndo kiongozi wa mfano na bora sana yani dah Mungu katupa ww nakukubali sana🙌🙏💛💚💛💚💛💚💛👌🥰🔥😘💃💃

  • @user-cj4zh9ge4u
    @user-cj4zh9ge4u หลายเดือนก่อน +2

    Kaka ali huna baya we nisemaji la wananchi 🎉🎉👭🎺🎺🎺

  • @SakinaMuhsin-nc4zq
    @SakinaMuhsin-nc4zq หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda Sana msemaji wetu mungu akulinde na maadui

  • @ParfaitMasengesho
    @ParfaitMasengesho หลายเดือนก่อน +4

    Love from Rwanda🇷🇼😍🇷🇼🇷🇼😍😍😍

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt หลายเดือนก่อน +4

    #SEMAJI Noma Saaana Akili MinGi 🔥💥💯💪

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 หลายเดือนก่อน +4

    Ali kamwe tunakupenda saaana wananchiiii

  • @chemstry409
    @chemstry409 หลายเดือนก่อน +2

    Love you Zai....the way you said YOUNG AFRICAN.....Amazing.

  • @allytwalib7787
    @allytwalib7787 หลายเดือนก่อน

    @allykamwe ni next level level,

  • @dullamuso6955
    @dullamuso6955 หลายเดือนก่อน

    Semaji la Taifa Big up Ally Kamwe

  • @amanilupembe9788
    @amanilupembe9788 หลายเดือนก่อน

    Ally kamwe nakukubari sana mwanetu ilove❤ Ally kamwe

  • @ushiwamarandu7433
    @ushiwamarandu7433 หลายเดือนก่อน

    ALLY KAMWE UNAKERA SANAAAAAAAA...!

  • @cottyadam
    @cottyadam หลายเดือนก่อน

    Tunakupenda sana Ali kamwe.

  • @Neematitus-hs1cb
    @Neematitus-hs1cb หลายเดือนก่อน

    Iove 💚💚💚🖤🖤💛💛 from Mwanza

  • @sallaahazi
    @sallaahazi หลายเดือนก่อน +6

    Alikuwaa wap huyoo. Anatexek tu alitaman ashereheshe . anajisahauu sanaaa

    • @matrida.lunyilija5196
      @matrida.lunyilija5196 หลายเดือนก่อน

      Hy ni afisa habari kolo kaa kwa kutulia unafikiri ni mbana pua wenu?anajua kazi yake ally kamww

  • @AbduliNassib
    @AbduliNassib หลายเดือนก่อน +6

    Huyu refa sikuyaleo ndio alikua man of the mech

  • @user-ug1nv3xl4d
    @user-ug1nv3xl4d หลายเดือนก่อน +2

    Semaji la wananchi 💚💛💚💛

  • @sallaahazi
    @sallaahazi หลายเดือนก่อน +5

    Hatuwezi. Kumlinganishaa na semaji la CAF . badoo sanaa rudii darasanii

    • @user-xr6dm3eg4y
      @user-xr6dm3eg4y หลายเดือนก่อน

      Kwan una mzidi mshahara au una bwabwaja t ka demu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@user-xr6dm3eg4yTULIZA KIJAMBIO HICHO

    • @NeemaMushi-wj1zn
      @NeemaMushi-wj1zn หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

    • @user-ch2it3qt5z
      @user-ch2it3qt5z หลายเดือนก่อน +1

      😂😂 sema ushabiki tu alikanwe ana makombe toka ameanza usemaji anamakombe je amed ally hana kombe lolote au unawalinganishaje walinganishe kwa mataj Ali kanwe ana medali ya shirikisho je huyo comedian wako 😂

    • @abdulrahmanally1412
      @abdulrahmanally1412 หลายเดือนก่อน

      You are tamed so as Ahmed ally

  • @user-oc8tp4cu8b
    @user-oc8tp4cu8b หลายเดือนก่อน

    Huna baya baba mungu akupe wepes uendelee hivyo hivyo

  • @IsmailRamadhan-nh6hz
    @IsmailRamadhan-nh6hz หลายเดือนก่อน +1

    Mnabaati sana Yana mshukuluni kocha kawabeba mngezalilika nyinyi

  • @Stevenmwanisawa-dt5vb
    @Stevenmwanisawa-dt5vb หลายเดือนก่อน +4

    Mmechemka pakubwa sana Ali kamwe. wazambia wamewaumbuwa

    • @marialumbanga
      @marialumbanga หลายเดือนก่อน

      Kwa kipi

    • @salomemahenge7935
      @salomemahenge7935 หลายเดือนก่อน

      Kumbe we hujui mchezo ngoja tale 8 huu leo ni mtego

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +2

      MTEGO HUWO KWIO

  • @AllyAbbakari
    @AllyAbbakari หลายเดือนก่อน +1

    Huyo ndo mwenykt wa wasemaji mckilizen vizur

  • @user-hu4el2rx2u
    @user-hu4el2rx2u หลายเดือนก่อน +5

    Mmebebwa na tiketi zenu za supu na chapati na watu waliotoa damu mmewapa tiketi Bure

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 หลายเดือนก่อน +3

    A small mind cannot discuss a big mind

  • @gustaphkadio5144
    @gustaphkadio5144 หลายเดือนก่อน +4

    Hana lolote kamkimbia manara..na atakimbia kimbia mpaka mwisho

  • @user-zk1rk3xy1e
    @user-zk1rk3xy1e หลายเดือนก่อน +3

    Ww ndo maan viongoz wamekukataaa

  • @justicebridge
    @justicebridge หลายเดือนก่อน +4

    Strong failure maandalizi ovyo na hata red arrows wasingepata red mlikuwa mumesleep bro

    • @EdwardJeremiah-bd8rl
      @EdwardJeremiah-bd8rl หลายเดือนก่อน +1

      Unalazimisha kingereza na hukijui c uandike kiswahili tuu ueleweke,ujanja wa panzi mavi shingon

    • @felixluguga645
      @felixluguga645 หลายเดือนก่อน

      How do you define strong failure??

    • @felixluguga645
      @felixluguga645 หลายเดือนก่อน

      ​@@EdwardJeremiah-bd8rlNimependa sana hiyo

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +1

      MATOPOLO MACHOGO FC WAZUNGU MATOPE NYIE VIBARAKA WA WAZUNGU 😂😂😂😂 TAFUTENI HELA WAJINGA NYIE

  • @bavonichristopha1693
    @bavonichristopha1693 หลายเดือนก่อน +3

    Mmmmh hacha kwanza mcheke msemaji wa mchongo

  • @Emanuelimiyonjo
    @Emanuelimiyonjo หลายเดือนก่อน +1

    Safi

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 หลายเดือนก่อน +3

    Mwenyekiti wa wasemaji hajatambulishwa 😅.. Msemaji hewa 😁

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 หลายเดือนก่อน

      Hata haueleweki!

    • @NeemaMushi-wj1zn
      @NeemaMushi-wj1zn หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

  • @franccoz94
    @franccoz94 หลายเดือนก่อน +4

    Huyo na yeye kwani n nani pale utopolo, bila BAHASHAA sku ilikua inaharibikaa

    • @barikilangoy4737
      @barikilangoy4737 หลายเดือนก่อน

      Mashabiki wengine kila kitu bahasha tukifunga simba husemi bahasha

    • @hamzanangameta6243
      @hamzanangameta6243 หลายเดือนก่อน +1

      Na nyie mtatuambia bahasha ya kg ngapi mtapokea

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 หลายเดือนก่อน +4

    Mmefeli kwenye program!

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 หลายเดือนก่อน +4

    Mbeleko fc😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @YahayaBakari-hf5yk
    @YahayaBakari-hf5yk หลายเดือนก่อน +2

    Yani kweli utopolo mmecheka tamasha bovu mpaka unatambulisha Malaya zenu du

  • @franccoz94
    @franccoz94 หลายเดือนก่อน +4

    TAMASHA LA KUTAMBULISHA WAPENZI WAO

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu หลายเดือนก่อน +3

    Nawashaur yanga wasajili""marefa hawata wafikisha chochote!!

    • @EdwardJeremiah-bd8rl
      @EdwardJeremiah-bd8rl หลายเดือนก่อน

      We kwel nyumbu subir muda ufike

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu หลายเดือนก่อน +1

      @@EdwardJeremiah-bd8rl kwa timu hii ya vikongwee"au Kuna nyingine??Mr supu fc??

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน

      ​@@SurprisedFullMoon-gg9vu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 SUPU YA KIBUDU

  • @YahayaBakari-hf5yk
    @YahayaBakari-hf5yk หลายเดือนก่อน +1

    Du kweli sendofu mnagombania maiki Ili mumshinde Ahamedi Ally ila bado mjipange kweli

  • @user-ql2cf1to7f
    @user-ql2cf1to7f หลายเดือนก่อน

    Acha unafiki ivyo vya bule wataachaje kujaa kama wanapenda vya bule

  • @immaculathaemmanuel8240
    @immaculathaemmanuel8240 หลายเดือนก่อน +3

    Salam zipi za kubebwa au😂😂

  • @kingomediatv
    @kingomediatv หลายเดือนก่อน +2

    Yaan mmeiga tamasha afu Unalopoka Simbasc imeiga😂

  • @rementusimkweta6866
    @rementusimkweta6866 หลายเดือนก่อน +1

    🤣🤣🤣kweli nimeamini Ahmed aly kiboko yao watu kibao wanashindana na mtu mmoja 🦁 🦁 🔥 🔥

    • @marialumbanga
      @marialumbanga หลายเดือนก่อน

      Ahmed anaongea kama anaimba taarabu 😂😂😂😂

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@marialumbangaUTANIPA ILE KITU NAMESA MESA MWENSAKE???? 😂😂😂😂😂😂😂

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤

  • @manwalimshali2986
    @manwalimshali2986 หลายเดือนก่อน +3

    HIVI HAMISA MOBETTO ANACHEZA NAMBA NGAPI PALE YANGA 🤣🤣🤣🤣??????

  • @constantinochalle856
    @constantinochalle856 หลายเดือนก่อน +2

    Msemaji au?

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p หลายเดือนก่อน

    Manara asa atuache bora Aliy kamwe yanga damu

  • @kaizermgawa
    @kaizermgawa หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kuingia bule hata dar simba angejaza mpaka kaliakoo

  • @CornenciaFaustine-pd2rc
    @CornenciaFaustine-pd2rc หลายเดือนก่อน +2

    Ushamba shughuli

  • @YahayaBakari-hf5yk
    @YahayaBakari-hf5yk หลายเดือนก่อน +1

    Ushamba kweli na vitenge vyenu

  • @othmanhamad7887
    @othmanhamad7887 หลายเดือนก่อน

    Ali komwe anajikaza tu ila anapitia wakati mgumu kwa sasa hawezi tu kusema direct ila indirect tunaiona hali anayopitia,Manara co mtu mzuri.

  • @mohamedibrahim7536
    @mohamedibrahim7536 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa kashawahi kutoka africa mshamba mdo

  • @user-yo4mt8cv6w
    @user-yo4mt8cv6w หลายเดือนก่อน

    Jamaa amekonda gafla pole sana broo

  • @makamelila
    @makamelila หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa mjinga kweli hivi anafikiri liginzima atacheza na simbatu

  • @FrankMahuna-xb7lt
    @FrankMahuna-xb7lt หลายเดือนก่อน

    Wa kwanza Leo

  • @user-qu6ye5bk8y
    @user-qu6ye5bk8y หลายเดือนก่อน +1

    Nakweli ashura cheupe utamuoshainyaaa

  • @HabibaKhamisi-xo8tz
    @HabibaKhamisi-xo8tz หลายเดือนก่อน +5

    Afisa habari wetu huyoo

  • @user-wo5mq5bz9z
    @user-wo5mq5bz9z หลายเดือนก่อน

    Sasa kama mlijua watu watakua wengi s mngeomba tiket nyingi

  • @deusdeditmakanta4685
    @deusdeditmakanta4685 หลายเดือนก่อน +1

    Bado yanga leo ingedhalilika

    • @marialumbanga
      @marialumbanga หลายเดือนก่อน

      😂😂😂msubiri tarehe 8

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@marialumbangaUTATOWA ILE KITU NAMESA MWENSAKE 😂😂😂😂

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 หลายเดือนก่อน +2

    Ali kamwe hana moja kapigwa na chini ata uwanjani hajaja😂

    • @DorothyKabika
      @DorothyKabika หลายเดือนก่อน

      Kwan mwenzetu hukuona Kama tulikuwa na viwanja viwiliiiii🤗🙉pole kwa fikra ndogo

  • @marthamsacky6973
    @marthamsacky6973 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmh kila nikiandika nafuta maana unachokiongea na mnayoyafanya vitu vi2 tofauti

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu หลายเดือนก่อน

    Yani kwenye community wengi wao mkoloboi to

  • @Kibaro777
    @Kibaro777 หลายเดือนก่อน +2

    Akuna semaji pumbavu kama uyu ameshidwa kutambulisha wa chezaji 😅

  • @user-eu4mb8pm2g
    @user-eu4mb8pm2g หลายเดือนก่อน +2

    Sasa hao wa uhuru waliingia kwa ticket zipi?

    • @user-er4bw4lm3p
      @user-er4bw4lm3p หลายเดือนก่อน

      Unataka kufahamu kwani uliwalipia

  • @YahayaBakari-hf5yk
    @YahayaBakari-hf5yk หลายเดือนก่อน +1

    Igeni Simba wanafanya nn kwa kila mwaka

  • @joshuayasolo4199
    @joshuayasolo4199 หลายเดือนก่อน

    Uyo naye ana cheo gani😂😂😂

  • @VailethVee
    @VailethVee หลายเดือนก่อน

    Aise wapinzan wanawiv sana ndonilichogundua lakin yote n yote mmefungaaa watajua wenyew

  • @SaidMkome
    @SaidMkome หลายเดือนก่อน

    Mbereko

  • @albertlambert2810
    @albertlambert2810 หลายเดือนก่อน

    Jaman Yanga wote watu wa uswazi. Maneno kibao..kwahio hata Namungo na wote wa Sportpesa ni Yanga..eeh😊

  • @Emanuelimiyonjo
    @Emanuelimiyonjo หลายเดือนก่อน

    Walete timu ao makolo

  • @ThilmaKheri
    @ThilmaKheri หลายเดือนก่อน +1

    Makolo hadi huku sasa kama unakelekwa ulitumwa uangali semaji la nchi linaongea hapo alafu kuna watu wanaboweka pembeni wanafunguwa video wanaumia tuambie unateseka ukiwa wp😂😂😂😂😂😂😂

  • @bensonpaul3672
    @bensonpaul3672 หลายเดือนก่อน

    Kuna mtu ameumia akasema hatabiga kura mwakani, natamani kumshauri ili mpira usimfanye akashindwa kufanya maamizi sahihi mwakani

  • @shadiabalekao899
    @shadiabalekao899 หลายเดือนก่อน

    Wew kitengo chako ni kipi pole San kaz Yako kwa Sasa nikuita wanywe supu

  • @IsmailRamadhan-nh6hz
    @IsmailRamadhan-nh6hz หลายเดือนก่อน

    Mlibebwa jana yanga

  • @rajabumrope8732
    @rajabumrope8732 หลายเดือนก่อน

    kwa hyo huko uwanja wa pili mmeenda kufanya nini kama sio matumizi mabaya ya akili,unaenda kuangalia mpirwa kwenye TV

  • @user-br7fz4zd5x
    @user-br7fz4zd5x หลายเดือนก่อน

    Kwani ali kawaje jamani ?

  • @Evance-op4jw
    @Evance-op4jw หลายเดือนก่อน

    kiongozi kamwe hatuwadai kitu tamasha limetosha saana

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +1

    AKINA DADA WAKIKUTANA MANENO YAO NI YALE YALE YA KUJISIFIA ZAINA NA DADA ALIYA 😂😂😂😂😂 KAZI IPO VIJEMBE VITUPU HAKUNA KUIONGELEA MECHI WALA MPIRA

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 หลายเดือนก่อน

    Wao walingia na wamasai sisi tumeingia na magari ya kifahari😂😂😂😂😂😂 Azizi Ki kamvua mtu nguo chumbani amemvua na Lupasso

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 หลายเดือนก่อน +1

    Madumu fc timu ,,,,,,tamasha la kutambulisha wapenzi ,,,,,hili dogo bila kumsema mume wake simba nikama lawashwa*

  • @MedardBenedictoRwabutondogoro
    @MedardBenedictoRwabutondogoro หลายเดือนก่อน +1

    Acha uongo mbona hatujaona watazamaji uhuru live. Ni upuuzi mtupu kama mliweza kumuonyesha Raisi samia akiwa mrogoro akiwa live mlishindwa nini kuonyesha live uhuru?

    • @aliionlinetv8397
      @aliionlinetv8397 หลายเดือนก่อน

      Acha makasiriko mdogo wangu😂😂😂

  • @emmanuellupiga
    @emmanuellupiga หลายเดือนก่อน +1

    Mind game kama hamjui subiria tareh 8

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu หลายเดือนก่อน +1

      @@emmanuellupiga mind game wap nyiee??vikongwee FC"mishipa ime watoka mpaka refa kawasaidiaa

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 หลายเดือนก่อน

    Naona hana furaha kabisaaa Anajilazimisha kufurahi

  • @marthamsacky6973
    @marthamsacky6973 หลายเดือนก่อน

    Kati ya mo alietambulisha ndg yake. Na pia ni mfanyakazi wa simba na aliemvisha mwenzie jessey ni nani aliefanya sendff
    Mlikuwa wa3 na hakuna cha maana fyuuuuu
    Na mbona ukajificha

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 หลายเดือนก่อน

    Msiangalie refa ila mm nasema mm ni Simba ila yanga Hata tarehe 8 Simba Italiwa tena

  • @yuleboywapili2494
    @yuleboywapili2494 หลายเดือนก่อน

    Umemkimbia manara

  • @ibrahimkatindasa6688
    @ibrahimkatindasa6688 หลายเดือนก่อน

    Azizk afunga ndoa

  • @AllyAbbakari
    @AllyAbbakari หลายเดือนก่อน

    Yanga imebebwa kwenye nn ?funguka kama mtu wampira

  • @barakakevela245
    @barakakevela245 หลายเดือนก่อน

    NA WEWE ALLY KAMWE UTULIE TUU HUYO CHEUPE DAWA AMESHAKUNYANGANYA NAFASI YAKO UMEBAKI HATA HUELEWEKI UKO UPANDE GANI

  • @makamelila
    @makamelila หลายเดือนก่อน

    Sishangai jwakuwa ni bure mana tiketi ni 60000 sasa hao wa uhuru wameingia kwa tiketi zipi

  • @user-zz4lz3jb9w
    @user-zz4lz3jb9w หลายเดือนก่อน

    mpira leo mlizidiwa mimshukuru kocha na ole penat

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂 YAN UKISOMA COMMENT UTAJUA KABISA KUWA HII N COMMENT YA SIMBA HII COMENT YA YANGA😂😂😂

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 หลายเดือนก่อน +1

    Vya Bure vitaua watu siku moja

  • @saadomar2480
    @saadomar2480 หลายเดือนก่อน

    We alikamwe huna akili. WAZAMBIA WAMENYIMWA PENAT HALALI MJINGA WEWE, KAZIYENU KUBEBWA TU.

  • @mwitachaz9906
    @mwitachaz9906 หลายเดือนก่อน +1

    Kiingilio ilikuwa ni supu haaaahaaaa

  • @user-vh6hh6ul2h
    @user-vh6hh6ul2h หลายเดือนก่อน

    ilikuw uwanj hauj jaa mume waach waingie semen kwel

  • @user-ec7us6vf6w
    @user-ec7us6vf6w หลายเดือนก่อน +1

    DUNIA YA NYOKWE

  • @AllyAbbakari
    @AllyAbbakari หลายเดือนก่อน

    Trh 8 namla mtu kiukwel kuna watu wataumbuka

  • @JacoboMatema
    @JacoboMatema หลายเดือนก่อน

    Tunaomba ile timu ya jana wacheze wote tarehe 8 wacheze kwa niaba yetu😂😂

  • @mwikamwika4851
    @mwikamwika4851 หลายเดือนก่อน +1

    Mnafiki huyu,Hana furaha kabisa. Anajilazimisha kuitafuta furaha daaa! Manara kakuvuruga

  • @othmanhamad7887
    @othmanhamad7887 หลายเดือนก่อน

    Hata anavoongea anaonekana kabisa kuwa hayupo sawa kwa sasa.

  • @venantrugabela6798
    @venantrugabela6798 หลายเดือนก่อน

    Hivi hao walioingia Uwanja wa Uhuru walikuwa na tiketi??