CHEKI NDOA ILIYO VUNJA RECORD KWA KUANDALIWA NDANI YA MDA MFUPI NA KUFANIKWA KWA ASILIMIA MIA(100%)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 64

  • @fatmakhamis1018
    @fatmakhamis1018 6 ปีที่แล้ว +7

    mimi.huangaliaga nacheka tuu alo kua haja olewa namuombea kwa allah ampe mume mwema na alo ndani ya ndoa allah awape maisha maref amin

  • @alimaalima6016
    @alimaalima6016 6 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah ndoa yenu idumu milele mbona mmependeza masha'Allah Tabaraka'Allah

  • @nagmynamahin2463
    @nagmynamahin2463 6 ปีที่แล้ว +12

    Kuna watu wana bahati mashallah 😘😘😘allah nasi atujaalie heri tu

  • @giftmafue9567
    @giftmafue9567 6 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana classmate..group mate..Nawatakia kheri katika safari hii njema Inshallah

  • @monilahcruz7293
    @monilahcruz7293 6 ปีที่แล้ว +23

    Jamani kweli ndoa bahati dahh mungu tubariki nasiwe utupatie waume bora jamani

  • @azeezaa519
    @azeezaa519 6 ปีที่แล้ว +3

    Maa shaa Allah baba nimekupenda kwa ajili ya Allah kwa kuwakumbusha kufanya ibada mungu awaongoze bwana harus na biharus😍

    • @dazuuhmd819
      @dazuuhmd819 5 ปีที่แล้ว

      Baba alitoa gari hiyo musala katoa babu

  • @ashurampuya6214
    @ashurampuya6214 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sanaa

  • @jumaramadhani5861
    @jumaramadhani5861 6 ปีที่แล้ว +2

    Allah awazidishie kila la kheri katika maisha yao ya ndoa

  • @khamismfaume1344
    @khamismfaume1344 5 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana cheni kwa kazi nzur

  • @najma3268
    @najma3268 6 ปีที่แล้ว +2

    Mash Allhamdullah Allah awajaalie mdumu katika ndoa yenu

  • @abelbaraka263
    @abelbaraka263 6 ปีที่แล้ว +4

    Hata ungevaa GUNIA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wewe ni handsome umependeza tuuuuu

  • @cabdurahmannuur660
    @cabdurahmannuur660 6 ปีที่แล้ว

    Watching from south Africa mashaallah harusi mzuri kila la heri kwa binti harusi na bwana harusi may Allah bless your married inshaallah

  • @husnauthman7609
    @husnauthman7609 5 ปีที่แล้ว +1

    Had raha mungu nijaalimie mme bora

  • @asheryissa6100
    @asheryissa6100 6 ปีที่แล้ว +4

    Ma.shaa Allah Allah awajalie upendo daima na awajalie kizazi chema

  • @zhuraab7223
    @zhuraab7223 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah ndoa bahati jamani ndani ya miezi mitano tuu ndoa

  • @ashurahomary9239
    @ashurahomary9239 3 ปีที่แล้ว

    Nzuri kweli love you me

  • @ednatadey8293
    @ednatadey8293 6 ปีที่แล้ว +3

    Amina ni mrembo

  • @thuwaibaabdallah1538
    @thuwaibaabdallah1538 6 ปีที่แล้ว +1

    daaaah amina nakuoneachuki ila mungu awape baraka tele kwenye maisha yenu yandoa na ss mungu atujaliye tupate waume wenye kheri in sha allah

  • @husnauthman7609
    @husnauthman7609 6 ปีที่แล้ว +2

    Hongera zenu

  • @marylema4715
    @marylema4715 6 ปีที่แล้ว +1

    Waooowaooooo hongereni jmn

  • @zindunasaid8105
    @zindunasaid8105 6 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe wa nyumban???...maashallah

  • @mariamangel1264
    @mariamangel1264 6 ปีที่แล้ว +3

    Jmn mungu na sisi tupate wa ume

    • @aishamohammed3547
      @aishamohammed3547 6 ปีที่แล้ว

      usichoke kumuomba maana Allah umpatia aombae.alhamdulillah nipo kwenye ndoa. Allah akujaalie wa kheri kama wangu au wataka uke wenza nikuozeshe mumewangu

  • @gggjjahhhh9419
    @gggjjahhhh9419 6 ปีที่แล้ว +1

    Duuh rizki papote jaman hongereni kwakweli

  • @catherinemagwira2027
    @catherinemagwira2027 4 ปีที่แล้ว

    Ndan ya miez 5 wamekutana wkapendana na ndoa juu hatari sana

  • @AngelAfrica-w5x
    @AngelAfrica-w5x 6 ปีที่แล้ว +4

    mbona mda ni Wa kutosha kabisa, Mimi yangu iliandaliwa ndani ya miezi miwili tu daah , hongereni

    • @rizikibakar3186
      @rizikibakar3186 6 ปีที่แล้ว +1

      V D c kuandaliwa ! Kuonana

    • @AngelAfrica-w5x
      @AngelAfrica-w5x 6 ปีที่แล้ว

      Riziki Bakar Sijakuelewa mbona

    • @rizikibakar3186
      @rizikibakar3186 6 ปีที่แล้ว +1

      Wao wametongozana mwezi wa 7 na wa 12 ndoa.Yawezekana ww haruc yako iyo miezi 2 ndo mlipanga haruc ila mnajua mda

    • @twahirhashim9825
      @twahirhashim9825 5 ปีที่แล้ว

      hahahaha

  • @wemapingu8937
    @wemapingu8937 6 ปีที่แล้ว

    MashaAllah. Hongerani maharusi

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 6 ปีที่แล้ว +3

    Ndio KUKAA muda mrefu afau mnafanya zambi nyingi hongereni sana

  • @halimajuma5515
    @halimajuma5515 5 ปีที่แล้ว +1

    keshasalitiwa mtu hapa...
    😅😅😅

  • @husseinjongo7588
    @husseinjongo7588 6 ปีที่แล้ว +4

    Biharusii bhn
    Etii usibadilike tuu 😂😃

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 6 ปีที่แล้ว

    Hongeren sana

  • @lulushambazuri4861
    @lulushambazuri4861 6 ปีที่แล้ว

    Hongera mnafanana kweli ni mke na mme

  • @sikuzanibusanya6423
    @sikuzanibusanya6423 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana

  • @galayagalaya48
    @galayagalaya48 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mmependeza

    • @saidkuluthum7591
      @saidkuluthum7591 6 ปีที่แล้ว

      yarabi tujalie nasi tupate waume wema na wazur

  • @sarahngugi7122
    @sarahngugi7122 5 ปีที่แล้ว

    Mwependeza

  • @awashilwavu5513
    @awashilwavu5513 6 ปีที่แล้ว

    Maashaallah

  • @joharjohn5095
    @joharjohn5095 5 ปีที่แล้ว +1

    Unaambiwa usiringie uzuri ringia bahati

  • @joyceshiru7923
    @joyceshiru7923 6 ปีที่แล้ว +1

    waaah,wamefanana,! kla la heri.

  • @tatut3889
    @tatut3889 6 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂anaocheza uko mwenye nguo nyeupe khaa sio kwakuruka uko

  • @zahararajabu4169
    @zahararajabu4169 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah watu na bahat zao haya mwaya kila la kher katka ndoa yenu

    • @ashurahussain5287
      @ashurahussain5287 6 ปีที่แล้ว +1

      Zahara umeonaeee mpaka nimemuonea wivu lakni in shaa Allah mungu yupo pamoja nasi

    • @zahararajabu4169
      @zahararajabu4169 6 ปีที่แล้ว +1

      @@ashurahussain5287 inshaallah my nass wakat wetu ukifika bc tutakuwa kama wenzetu kila kitu kinakuja kwa rizik 😍😍😍my

    • @ashurahussain5287
      @ashurahussain5287 6 ปีที่แล้ว +1

      @@zahararajabu4169 amiina my dear riziki zetu ziko njiani bado tu hazijafika kikubwa ni kumtanguliza mungu

    • @zahararajabu4169
      @zahararajabu4169 6 ปีที่แล้ว +1

      @@ashurahussain5287 kher my wangu tuwe na subra

    • @ashurahussain5287
      @ashurahussain5287 6 ปีที่แล้ว

      @@zahararajabu4169 in shaa Allah

  • @husnauthman7609
    @husnauthman7609 6 ปีที่แล้ว

    Saf sanaaa upendo huo

  • @janethbernard5340
    @janethbernard5340 6 ปีที่แล้ว +2

    wamechaguana wote wazuri

  • @lizykeswick4122
    @lizykeswick4122 5 ปีที่แล้ว

    inshaallah 💝

  • @kulwaakulwa4381
    @kulwaakulwa4381 6 ปีที่แล้ว +2

    Hahaaa eti degree
    Wahaya tunajuana wenyewe

  • @huguetteigiranza7098
    @huguetteigiranza7098 6 ปีที่แล้ว +1

    Machaallah

  • @hylinekwambo7997
    @hylinekwambo7997 6 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @hasiyakeniyausiachiebabu7634
    @hasiyakeniyausiachiebabu7634 6 ปีที่แล้ว +1

    ongera sana

  • @mudyhamisi2851
    @mudyhamisi2851 6 ปีที่แล้ว

    mashaallah

  • @saadajumanne8656
    @saadajumanne8656 6 ปีที่แล้ว +1

    daah mpk nataman

  • @kulwaakulwa4381
    @kulwaakulwa4381 6 ปีที่แล้ว

    Hahaaa eti degree
    Wahaya tunajuana wenyewe