Doreen Lucky - Nimekombolewa {Official Video} SMS Skiza 7910658 to 811

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 911

  • @brendahagalilia8262
    @brendahagalilia8262 4 ปีที่แล้ว +3

    Big tune nice one bestie keep the fire burning for real hii song imenijaz

  • @Nduki-yh3fg
    @Nduki-yh3fg ปีที่แล้ว +1

    Damu inakomboa hallelujah

  • @Rudihapa
    @Rudihapa ปีที่แล้ว +1

    Nilikuwa nimepotea ndani ya dhambi lakini nimekombolewa na damu ya yesu

  • @dominick9064
    @dominick9064 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimekombolewaaaaa na damu ya YESU barikiwaaaaaa sanaaaaa good song 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘

  • @MlangoWAmbinguni
    @MlangoWAmbinguni ปีที่แล้ว +1

    Damu ya yesu, yaosha kila dhambi na kutukomboa kutoka kwa mitego ya muovu..

  • @queenterrykim8131
    @queenterrykim8131 2 ปีที่แล้ว +1

    Great song...more grace mtumishi

  • @evnicholasmusasia
    @evnicholasmusasia ปีที่แล้ว +1

    Damu ya yesu, yatakasa makosa ya mwenye dhambi na kuwa weka huru, ahimidiwe milele na milele Amina

  • @estherjeremiahmusic393
    @estherjeremiahmusic393 7 หลายเดือนก่อน +1

    A very blessings song 🙏👏

  • @estherjeremiahmusic393
    @estherjeremiahmusic393 ปีที่แล้ว +1

    A very blessings song May God bless you 👏🙏

  • @neemampova6222
    @neemampova6222 ปีที่แล้ว +1

    Nime kombolewa na damu ya YESU ndamu ya YESU ime niwekahuru asanti yesu barikiwa sana Dorine mungu akubariki

  • @Gershonpeter74
    @Gershonpeter74 2 ปีที่แล้ว

    Nimekombolewa kwa Damu ya Yesu ,kazi nzuri sana Ubarikiwe sana mtumishi

  • @PSTJOSHUAOMWANAWAINGOOOFFCIAL
    @PSTJOSHUAOMWANAWAINGOOOFFCIAL ปีที่แล้ว +1

    Good one ❤❤❤❤❤❤

  • @josephinemumasaba
    @josephinemumasaba ปีที่แล้ว +1

    Nime kombolewa mimi kwa Damu ya yesu 🧎🏻‍♀️

  • @zilpa2dina-tr1xz
    @zilpa2dina-tr1xz ปีที่แล้ว +1

    Tume kombolewa kwa damu ya Yesu, niko huru

  • @agnesandrew7162
    @agnesandrew7162 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana wimbo mzuri I

  • @rehemamwasile7410
    @rehemamwasile7410 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika nimekombolewa na Damu ya YESU barikiwa Dada mtumishi

  • @Odamela
    @Odamela 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimekombolewa na damu ya Yesu ubarikiwe sana 🙏

  • @jacklinekibali3298
    @jacklinekibali3298 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimekombolewa haleliya barikiwa saana Mtumishi wimbo mzuri

  • @jjjkkJjjkk-no1ve
    @jjjkkJjjkk-no1ve ปีที่แล้ว +1

    Wimbo nzuri

  • @pilarzilake7426
    @pilarzilake7426 2 ปีที่แล้ว +1

    Yes nimekombolewa kwa damu ya yesu Alleluia Amen 🙌

  • @tedytedy7024
    @tedytedy7024 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli nimekombolewa na Damu ya Yesu, ubarikiwe sana

  • @princebulonza5022
    @princebulonza5022 ปีที่แล้ว

    Nime kombolewa na damu ya asanti YESU kwa damu ulimwaga kwa jiliyangu mungu wa mbinguni akukombowe na shida zako zote amin

  • @VoiceHope03
    @VoiceHope03 ปีที่แล้ว +1

    Damu ya Yesu imeniweka huruuu❤❤

  • @AdoTumaini-ve1hd
    @AdoTumaini-ve1hd ปีที่แล้ว +1

    Message nzuri sana

  • @chajikulala
    @chajikulala ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana wimbo mzuri

  • @leilabasil
    @leilabasil 2 ปีที่แล้ว +1

    Sauti nzuri kweli....neema izidi dada

  • @TurkanaMedia
    @TurkanaMedia 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen nimekombolewa na damu ya yesu ubarikiwe sana kwa wimbo huu

  • @nancysirisia2718
    @nancysirisia2718 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah damu ya yesu yakomboa

  • @phoebe8189
    @phoebe8189 ปีที่แล้ว +1

    Amen. Damu ya Yesu ina nguvu🙌🙌🙌

  • @madamkibona4482
    @madamkibona4482 2 ปีที่แล้ว

    Haleluyaaa
    Nimekombolewa na damu ya Yesu
    Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @realnembo1663
    @realnembo1663 2 ปีที่แล้ว +1

    Hata mimi nimekombolewa na damu ya Yesu. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu

  • @bobomaji6899
    @bobomaji6899 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe Kwa Kazi muzuri Sana good music good video bless you

  • @ideljosephine6164
    @ideljosephine6164 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimekombolewa na Damu ya yesu kazi nzuri dada

  • @minzasamweli7163
    @minzasamweli7163 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika nimekombolewa na damu ya Yesu,barikiwa sana mtumishi

  • @beckybrown2863
    @beckybrown2863 ปีที่แล้ว +1

    Jambo muhimu ni hilo kukombolewa kwa damu ya mwana kondoo

  • @josephinemumasaba
    @josephinemumasaba ปีที่แล้ว

    Nili kuwa nimepotelea ndani ya dhambi 🧎🏻‍♀️Damu ya yesu ime nitakasa ❤

  • @classicmovies3718
    @classicmovies3718 2 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah 🙏🙌 mungu Ni mwema kila nyakati Blessings

  • @EllahNambale-pb9md
    @EllahNambale-pb9md ปีที่แล้ว +1

    Damu ya yesu imenikomboa

  • @mandantv6023
    @mandantv6023 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimekombolewa kwa damu ya Yesu. Nice job

  • @JESUSFAMILYTZ
    @JESUSFAMILYTZ ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana wimbo mzuri❤❤❤

  • @bernicecheropofficial
    @bernicecheropofficial ปีที่แล้ว +1

    Oh yes! Mimi nimekombolewa! What a nice song!

  • @esthermabenesha9799
    @esthermabenesha9799 ปีที่แล้ว +1

    Kazi njema dada

  • @salomesmaganga5815
    @salomesmaganga5815 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimekombolewa na damu ya YESU,
    hongera Sana iwa wimbo mzuri

  • @williamshilingi3720
    @williamshilingi3720 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli tumekombolewa kwa damu ya Yesu🙌🙌🙌

  • @shambocc3162
    @shambocc3162 2 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah hallelujah barikiwa mtumishi kwakazi nzuri

  • @nimependwanasiringi6615
    @nimependwanasiringi6615 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli kabisa .. Yesu ametukomboa Kwa damu yake

  • @josephinemumasaba
    @josephinemumasaba 2 ปีที่แล้ว +1

    Nilikuwa nimehesabiwa nimekufa Asante yesu kwa Damu yako barikiwa dada Doreen

  • @miriamprisca6116
    @miriamprisca6116 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo nzuri kabisa hongera mutumishi wa Mungu kwa kazi nzuri

  • @komandojoel3935
    @komandojoel3935 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana Mtumishi wa Mungu, zidi kusonga mbele

  • @miriamtundaofficial3653
    @miriamtundaofficial3653 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante yesu wangu kwaku nikombowa kupitiya damu yako

  • @neemampova6222
    @neemampova6222 2 ปีที่แล้ว

    Nime kombilewa Kwa damu YA YESU baki tume kombilewa Kwa damu YA yesu songs mbele Kwa Jina la YESU amina pasi

  • @priscillalucy2884
    @priscillalucy2884 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina nimekombolewa.barikiwa sana Mungu akuinue

  • @MaombiYangu
    @MaombiYangu 8 หลายเดือนก่อน

    Damu ya yesu yatakasa na kuosha kila dhambi...

  • @marywainaina2416
    @marywainaina2416 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah nimekombolewa na damu ya Yesu

  • @blessingmaglory5945
    @blessingmaglory5945 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe Kwa Kazi muzuri Sana bless you alleluia

  • @JESUSFAMILYTZ
    @JESUSFAMILYTZ 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana wimbo mzuri unabariki sana

  • @zaclengo8007
    @zaclengo8007 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen ubarikiwe mtumish wa Mungu

  • @salomesmaganga5815
    @salomesmaganga5815 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen
    🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @yesuninjianauzima4285
    @yesuninjianauzima4285 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana nimekombolewa

  • @NIKOHAPA
    @NIKOHAPA ปีที่แล้ว +1

    Hongera

  • @muyalekenya3233
    @muyalekenya3233 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen ubarikiwe sana kwa wimbo huu nimebarikiwa sana

  • @MickeBram
    @MickeBram 6 หลายเดือนก่อน

    Damu ya yesu yatakasa na kuosha kila uchafu

  • @jeremiaholtetia1304
    @jeremiaholtetia1304 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Yesu azidi kukuinuwa zaidi

  • @salmakabebwa5106
    @salmakabebwa5106 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Damu ya Yesu imekuja kutu komboa sote

  • @MTEMABIG
    @MTEMABIG ปีที่แล้ว +1

    Huduma yako ni njema

  • @sarahken9761
    @sarahken9761 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa hakika nimekombolewa,barikiwa MTUMISHI

  • @teketea07-of7pq
    @teketea07-of7pq 7 หลายเดือนก่อน

    Nimekombolewa mimi na damu ya Yesu ❤❤❤❤

  • @favour9753
    @favour9753 2 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo MZURI ,BARIKIWA sana

  • @JESUSFAMILYTZ
    @JESUSFAMILYTZ ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana❤❤❤

  • @richardmadede1486
    @richardmadede1486 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana

  • @NeemayaAjabu
    @NeemayaAjabu 7 หลายเดือนก่อน

    Damu ya yesu yasafisha yote, na kutuweka huru

  • @MariamMsongela-fn7hy
    @MariamMsongela-fn7hy ปีที่แล้ว +1

    Songa mbele

  • @kkkkkkkkkkkza
    @kkkkkkkkkkkza 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana nzuri sana 🙏

  • @gukawetu4027
    @gukawetu4027 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimekombelewa na Damu ya Yesu,amen

  • @davidnyenza2486
    @davidnyenza2486 2 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzur sana barikiwa mtumishi

  • @ADOB.MOBILEMosesofficial1862
    @ADOB.MOBILEMosesofficial1862 2 ปีที่แล้ว +1

    Yeah nime kombolewa kwa Damu y'a yesu

  • @erickmlowezi2939
    @erickmlowezi2939 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana my sister😇😇

  • @DIDIMEPHI-uf8tb
    @DIDIMEPHI-uf8tb ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri

  • @neemadickson4068
    @neemadickson4068 2 ปีที่แล้ว +2

    Very powerful song.Mungu akubariki sana.

  • @nadidilia-pw7wp
    @nadidilia-pw7wp ปีที่แล้ว +1

    Great song 👍

  • @mkmpungu2031
    @mkmpungu2031 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen tumekombolewa Na damu ya yesu

  • @dominickdominick6908
    @dominickdominick6908 2 ปีที่แล้ว +1

    BARIKIWAA Sanaa mtumishi good song melody safi ♥️♥️

  • @Adrianwesonga
    @Adrianwesonga ปีที่แล้ว

    Nimekombolewa na damu ya Yesu pale msalabani ❤

  • @joydomwa.3763
    @joydomwa.3763 2 ปีที่แล้ว +1

    Kukombolewa na damu ya Yesu nimeokolewa.

  • @macidaasako1424
    @macidaasako1424 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen,nimekwisha kombolewa

  • @rebecca4004
    @rebecca4004 2 ปีที่แล้ว +1

    Nime kombolewa kwa dam ya Yesu

  • @Mkomboziamani
    @Mkomboziamani 11 หลายเดือนก่อน

    tymekombolewa,niko huru kwa jina la Yesu

  • @danmusa9360
    @danmusa9360 2 ปีที่แล้ว

    Powerful song nimekombolewa kwa damu ya Yesu ❤️❤️❤️❤️🌹🔥🔥🎤

  • @lucasmwansongole2955
    @lucasmwansongole2955 2 ปีที่แล้ว

    Hallelujah 🔥 dada unaimba katika viwango vya Rohomtakafu 🙏

  • @fr.jeanmoma9469
    @fr.jeanmoma9469 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe Maman yangu

  • @batildamahundiofficial9400
    @batildamahundiofficial9400 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika MUNGU pamoja nawe mtumishi wa MUNGU hubalikiwe saana KAZI yako njema saana

  • @rebecca4004
    @rebecca4004 2 ปีที่แล้ว +1

    Ongera sana sana

  • @mosekizamoseskiza5719
    @mosekizamoseskiza5719 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen kubwa san

  • @symonkamau-nk6ev
    @symonkamau-nk6ev ปีที่แล้ว +1

    Bila shaka nimekombolewa

  • @Benjamin3-vn2fw
    @Benjamin3-vn2fw ปีที่แล้ว +1

    Nice song

  • @samantaamina6275
    @samantaamina6275 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa nime kombolewa na damu ya yesu, Alleluia Amen 🙌

  • @gabrielkessy
    @gabrielkessy 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakika nimekombolewa na damu ya Yesu. Ubarikiwe sana

  • @jembelima-bo1dx
    @jembelima-bo1dx ปีที่แล้ว

    Hallelujah nimekombolewa na.damu ya Yesu ❤❤❤

  • @justuskiboma1962
    @justuskiboma1962 2 ปีที่แล้ว +1

    Damu ya yesu ndio ilimwagika ndio sisi tukakombolewa.good message

  • @tumsifusamwel6234
    @tumsifusamwel6234 2 ปีที่แล้ว +1

    Damu ya Yesu imenikomboa