Kweli self ulisema na leo nimeamini.mabeki wa yanga wanafanya makosa na azizi anaongeza kupoteza. mipira .kwasababu wanashinda ndio maana makosa yao hayaonekani.naomba mfikishie huu ujumbe Self
Hapana kwa Mzee Said umebugi saaana huwa mnamtafasiri isivyo hivi huwa hammelewi Mzee Said Mimi Ni shabiki wa Simba lialia Lakini Mzee Said namwelewa saana.
Kwer Broo smba inahujumiwa sana kwenye hii ligi ila naamin tutafika tu kwakudra zamwenyez mungu
👏👏👏👏👏👏👏 kabisa
Kweli self ulisema na leo nimeamini.mabeki wa yanga wanafanya makosa na azizi anaongeza kupoteza. mipira .kwasababu wanashinda ndio maana makosa yao hayaonekani.naomba mfikishie huu ujumbe Self
Vina muda ngoja tu mechi moja aboronge mwee atakavyosemwa🙌🙌🙌
Mbona utokwinyooo mmeumia sana
Mweee. Hujui kitu shabikia Tukuyu Stars tu ya kwenu huko.
Kigoma.nirafiki.nawaganda.tadeo.lwanga.kichwa.mkwara.kichwa
Hapana kwa Mzee Said umebugi saaana huwa mnamtafasiri isivyo hivi huwa hammelewi Mzee Said Mimi Ni shabiki wa Simba lialia Lakini Mzee Said namwelewa saana.
Bado upo nyuma na matukio
Kupanga ni kuchagua. Mashujaa wamechagua kujiangusha na mnyama kachagua kutafuta goli