CEO Simba azungumzia mustakabali wa kocha Mgunda na kocha mpya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • “Mwalimu Mgunda yupo sana ndani ya Simba” maneno ya Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Imani Kajula akizungumzia mustakabali wa kocha Juma Mgunda na ujio wa kocha mpya.
    Simba SC ina jambo lake hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam.
    #SimbaSC #SimbaNaJamboLao #Simba

ความคิดเห็น • 29

  • @edchrisbeatz8976
    @edchrisbeatz8976 3 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi laliga kurudi azam tv asee itakuwa ni motoo msimu huuu💪🏾💪🏾💪🏾

  • @MessiaMlyuka
    @MessiaMlyuka 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kuna sehemu mnamkatisha nia mzee wa ball litembee mpenzi timu angalau msimu mmoja aonyeshe uwezo wake

  • @EmmanuelMatogolo-l2y
    @EmmanuelMatogolo-l2y 3 หลายเดือนก่อน +1

    Matola kama atakuwa kwenye benchi la ufundi, Simba sc haichukui ubingwa, kama hamuamini nimekaa paleeeee

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 3 หลายเดือนก่อน +1

    mgunda mnamchukulia poa

  • @emmanueljohn8970
    @emmanueljohn8970 2 หลายเดือนก่อน

    Akifungwa mechi hata Moja Fukuzeni si jambo la kuchekelea wakati Yanga lengo lake anafungaga zote

  • @RamadhanZumba
    @RamadhanZumba 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nguvu moja

  • @georgegregory8414
    @georgegregory8414 3 หลายเดือนก่อน

    Mwacheni mgunda kwenye bench kama kocha msaidizi mbona ulaya makocha wanaweza kuwa hata 3

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 2 หลายเดือนก่อน

    bado hujajibu swali. mgunda ataungana na timu au laa

  • @gotfriedmwesiga4234
    @gotfriedmwesiga4234 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndo kikwazo kwa Juma Mgunda

  • @bakarimasanga3634
    @bakarimasanga3634 3 หลายเดือนก่อน

    Basi kama kuna kitu Mgunda hana, si mumpeleke shule akamilike ili huo uungwana wake kwenu uwe na tija on a mutual benefits

  • @EmmaBlev-j8o
    @EmmaBlev-j8o 2 หลายเดือนก่อน

    Viongozi mnazingua sana apa kwa Mugunda na mtazdi kuferi kwa awa makocha wa kigeni

  • @rosemtwango4265
    @rosemtwango4265 3 หลายเดือนก่อน

    Wacheza mnaosajiri ni wazuri sana tunawakubari ila ifike wakati viongozi wa simba muelewe kuwa wachezaji wanarogwa na nyma mwiko

  • @alfredbenno3251
    @alfredbenno3251 3 หลายเดือนก่อน

    Kama Huna at least D mbili huwezi kuwaelewa Simba!!!

  • @autoimmunesecurity2140
    @autoimmunesecurity2140 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ila huu uongozi wa simba kuna mahali mi sielewi

  • @EzelonMshembe
    @EzelonMshembe 2 หลายเดือนก่อน

    Nimefurah xan natka nimuon mbape

  • @DicksonMawinda-zb5bc
    @DicksonMawinda-zb5bc 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe mpira ujui mambo zako ni za kiuni

  • @SamsonSaruni-s3g
    @SamsonSaruni-s3g 3 หลายเดือนก่อน

    🦁🦁🦁🦁♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️👏👏👏👏👏

  • @rajenderrobert8605
    @rajenderrobert8605 3 หลายเดือนก่อน

    Kocha ni Mgunda.

  • @user-gq8ox7wb7f
    @user-gq8ox7wb7f 3 หลายเดือนก่อน

    Unaulizwa kitu kingine unajibu utumbo

  • @EliyaMloy-lf7vp
    @EliyaMloy-lf7vp 3 หลายเดือนก่อน

    Ni hovyo kwa timu kama Simba kuwa na mkurugenzi wa sample ya Imani Kajula, ni uchafu uliokithiri yan

    • @jumamangombe6493
      @jumamangombe6493 3 หลายเดือนก่อน

      Uko sahihi, jamaa ni mbabaishaji sana yaani, takataka.

  • @user-gq8ox7wb7f
    @user-gq8ox7wb7f 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna uongozi hapo ni ubabaishaji tu.yaani lazima matola abaki ili awasaidie kupiga.

    • @abdallahshariff6555
      @abdallahshariff6555 3 หลายเดือนก่อน

      Kabsaaa,kuna Siri Matola anayo ijuwa,hatumtaki Matola ndio agent Kwa wa hezaji Kwa kuuza mechi

    • @abdallahshariff6555
      @abdallahshariff6555 3 หลายเดือนก่อน

      Nina maana agent kwa wachezaji Kwa kuuza mechi

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 3 หลายเดือนก่อน

    NYUMA MWIKO

  • @SalimAl-mahrooqi
    @SalimAl-mahrooqi 3 หลายเดือนก่อน

    Ndio shida ya management ya simba. Kosha mbovu

  • @SalimAl-mahrooqi
    @SalimAl-mahrooqi 3 หลายเดือนก่อน

    Bora juma mgunda kuliko huyu kosha mpya