Yaan wiki ilopita yote nilikuwa Nairobi, Muziki wa Watanzania ni mwingi kweli kweli. Nyimbo za Alikiba na wasanii kadhaa zinapigwa kila kona. Congrats ndg kwa kuwa mabalozi wazuri. Kwenye play list ya Qatar Airways Alikiba na Lady JDee mmo ndg zangu. Nilifurahi saana kukuta majina haya maana ile ni 5 star flight company isee
Hamna macho wala hamsikii mbona me nimeona sinia ya pili na wamesema kabisa round two na imetolewa imewekwa nyengine kumbeeee ndio maana wanafumzi wanafeliiiii, shule moja darasa moja walimu ni haohao ila wapo wanaotka na zero na wapo wanaotoka na 1😊
Kiba nimemuelewa kweli point yake rafiki niyule kwenye shida na raha mnakua pamoja ila rafiki wa kwenye kazi ndo Hao rafiki wa juju ila rafiki wa kweli ndo Hao kwenye shida na raha
Meaning hata wasanii wake sio marafiki zake ?? That's why hawapei promotion and the investment they need the guys to grow??? So why have a Lebo and yet U don't want to be frndz with Ur own artist?? What about mwana FA na yeye sio rafiki yake coz he is a musician... Huyu Jamaa aangalie kauli bana
@@kasejaKing Kiba kanukuu 'Rafiki ni yule anayekuwepo wakati unamhitaji.' Marafiki wengi wa King wamekuwa wanafiki kwake akiwemo Dimpoz, Mwana FA, Barnaba na wengine wote walioenda kwake kujirebrand nakutoroka badae.
@@laj1699Mwana fa anajua ndio mtalaamu wa mashairi misamiati na misemo huyo maskini mwenye roho mbaya Hana hela anaroho mbaya ngumu Kama jiwe Ndiomana hawafanikiwi mshamba wa Cinderella
Njooni kenya nyinyi wote Kenya hakuna chochote kinachoendele Hela imelala huko Hakuna wakuokota Ni siri tu nawachunia Wakenya wanawapenda Na wanakiu Yakutumbuishwa Wenzenyu huko kenya ni udaku tu Hawana lolote
Alikiba ni mmoja tu ❤❤❤❤
Yaan wiki ilopita yote nilikuwa Nairobi, Muziki wa Watanzania ni mwingi kweli kweli. Nyimbo za Alikiba na wasanii kadhaa zinapigwa kila kona. Congrats ndg kwa kuwa mabalozi wazuri. Kwenye play list ya Qatar Airways Alikiba na Lady JDee mmo ndg zangu. Nilifurahi saana kukuta majina haya maana ile ni 5 star flight company isee
Nakubali msosi huo 🔥💯💪 Alikiba Marioo Big up sana 👊👊
King kuja Kenya nikuone na Mimi nime toka Congo 🇨🇩 kwa sasa Niko Kenya kuja my king 🔥🔥🔥
Mambooooo
Uyu brother anae mhoji Alikiba Yupo Bomba na kz yake makini Sana na maswali yake
Presenter ametulia katika kazi yake
wala hafkirii nyama😂
Alikiba💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚👍👍💚
Nacho kupendea kiba huna mashauzi big up bloo
King kiba🇹🇿✅❤️❤️❤️❤️❤️💐
Unatisha KingKiba 🙌🙌🙌🎩🎩
MH
King kama king..
King kiba hongera kwa kazi nzuri nakukubali sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nakuelewa sana alikiba ❤❤❤ endelea kaz nzuli
Nakubaliana na king amapiano ni mzk rahis mfano mzur chino anatembea na beat hamna anachoimba
King Ally Salehe Kiba🔥🔥🔥💓💓💓💓💓💓💓30.07.2023
Big up King's
King on top
I love Alikiba ❤❤❤
King kiba safi sana 👑
Ally unatisha sana🎉🎉😢😮😅😊
King himself
👑 of music
Daa huyo mdada anaongea vizurii sana. Sauti yake nzuri
Abdhalla salamu kwanza ndio ule bana
Mariooo kamaliza nyama ndio akaondoka😀😃😃😃 Totobady
Mjinga Kabisa Omar 🤣🤣
😅😅😅😅😅😊😊😊😊
king tuna kuitaji kwetuu kigoma tume kumiss mnoo king♥️♥️♥️
Hana hela maskini 2 aibu maskini hanajipya hanarafiki Msanii anaroho mbaya ngumu Kama jiwe Ndiomana hawafanikiwi
Mmmmh
@@JumaJoseph-t4jmana wamlisha ww na kumvisha ww kila cku paka mweusi
Hizo nyama daaaaah
Maji muhimu😀😀
Mlukali 👑 kiba
Show love for collegue as long as God blessed you that's is law of nature
kumbe waandishii wakilishwa wanahoji vzur
Chezea buree hahaha
🤣🤣🤣🤣
😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣sasa?
Alo be vidu kiba cito aci bela
Mwamba💪💪💪
Kig kiba mukuli kweli😊
Mr blue na aby skils kwenye maria
Mmmmm abdu kiba mrafi anachukua tidogo tudogo ila yupo fasta
Huyo dada analiya mkono wa kushoto
Ali i realy apreciate what u did ila pia majibu unayo brother unaheshima ya kujibu
K2ga mbona haonekani mwambie aache roombaya
Tunda man
King kiba
Nimewa yinipeni liké yangu
Tukikupa likes na ww utatupa jicho?😋😋
😂❤❤❤❤❤❤
marioo kama max kwenye mapande
Nilikua natazama sinia muda wote nashangaa haliishi au mmezisomea hizo nyama 😀😃😄😄 maana watu wanainama wakiinuka nyama 😀😃😃
😂😂😂😂😂😂😂
Hahaha niilikua najua naangalia mwenyew
Hamna macho wala hamsikii mbona me nimeona sinia ya pili na wamesema kabisa round two na imetolewa imewekwa nyengine kumbeeee ndio maana wanafumzi wanafeliiiii, shule moja darasa moja walimu ni haohao ila wapo wanaotka na zero na wapo wanaotoka na 1😊
Kiba nimemuelewa kweli point yake rafiki niyule kwenye shida na raha mnakua pamoja ila rafiki wa kwenye kazi ndo Hao rafiki wa juju ila rafiki wa kweli ndo Hao kwenye shida na raha
Kwani msanii hawezi kuwa rafiki wa shida na raha?
Meaning hata wasanii wake sio marafiki zake ??
That's why hawapei promotion and the investment they need the guys to grow???
So why have a Lebo and yet U don't want to be frndz with Ur own artist??
What about mwana FA na yeye sio rafiki yake coz he is a musician... Huyu Jamaa aangalie kauli bana
@@kasejaKing Kiba kanukuu 'Rafiki ni yule anayekuwepo wakati unamhitaji.' Marafiki wengi wa King wamekuwa wanafiki kwake akiwemo Dimpoz, Mwana FA, Barnaba na wengine wote walioenda kwake kujirebrand nakutoroka badae.
Ndio maana daimond amemuacha mbali Hana hela ni maskini anatia aibu maskini mshamba wa Cinderella
@@laj1699Mwana fa anajua ndio mtalaamu wa mashairi misamiati na misemo huyo maskini mwenye roho mbaya Hana hela anaroho mbaya ngumu Kama jiwe Ndiomana hawafanikiwi mshamba wa Cinderella
👑❤
Marioo aongei 😂
Huyu dada anakula balaa hatari sana
Mfalm king
Uyo demu wa wapi anakula na nkono wa kushoto kudadadeki
Ki Spana hatà hakipig story😅
Uyooo alieva nguo nyeusi mwanamke anakul shoto tu
Huyo Dada kwann anakula jaman na kushoto , naomba mkatazeni
Vnye amekaa usimulaumu
Oya izo nyama niaje
Enjoyini washikaji wangu jamani
Mrarueni bata virivyo juu ya kagumzo
Diamond platinumz huyo😅😅😅
Maisha mafupi haya na matamu😅😅😅
Dada Hilo Sinia unaona mapaja tuu duu wachee na wenzako
Mroho
Anashindwa kula vizurii na Ali kiba
Kipenzi cha kila mtu hana ubaguzi sasa huyo utamfananisha na swala wa tandale kwa majizi huyo mtoto wa k/ koo bwana king kiba saruti sana ali
KWELI NYAMA ILIVYOISHA KILA MMOJA KASHIKA ZAKE😂😂😂
Marioo anakula kwa Kasi ama anazani kitaishaa na huyo mwamba wa kofiaa ni nikuyasombaa sana
Nani ameona hio gari iligongwa ikanyoroshwa😂
Kuna mmoja hapo anakula faster faster hatari🤣
Huyu mujama Ali anajiona sana
🦣🦣🦣🦣🙏🙏
Huyo sister duu nyuma anapiga nyama sio mchezo
Nyama ilivyoisha kila mtu kashika zake
😂😂😂😂wew unajua kusoma Ramani
Ali why more hunger, u eat more.😂😂
Ni kuku ama ni nyama gani iii mlo
Tunatak kolab za kimataif xax hiv
Moco amekuja kucheki nyama amekosa😂😂😂
Hiyo pia mimi nimeona😅😅😅😅😅😅😅
Kiba kaon watu wanazid akashika mkononi
😅😅😅😅😅😊😊😊😊😊😊
Njooni kenya nyinyi wote
Kenya hakuna chochote kinachoendele
Hela imelala huko
Hakuna wakuokota
Ni siri tu nawachunia
Wakenya wanawapenda
Na wanakiu
Yakutumbuishwa
Wenzenyu huko kenya ni udaku tu
Hawana lolote
Ki kiba
Hana rafiki huyo ni maskini anaroho mbaya ngumu Kama jiwe Ndiomana hawafanikiwi huyo mshamba wa Cinderella
Chakula kweli kitamu
Hajaelewa swali huyu ali nae
Huyo dada wa wigii haulizi vzurii anafukiaa tuu
😂😂😂😂kazi nakulaa
amesahau kilichompeleka pale😂
Anatetemekea chakula mnooo na anakauroho
BatA jamaa wanakul
tazania hamuna tisho kwa nini munajipanguza na mikono jamani watafutiye tisho yakupanguziya mikono wanapa kula
Ety abdukiba amefika nini ahahah
Hao waroho wa nyama si wakalie jikoni huko wamuache king ahojiwe kwa amani
K2GA nivipi mbona hatumuoni
Hahahhah huyo jamaa fala kweli wenzie wanakula yeye anaongea ila pongezi Kwa huyo mdada kwa kula2
😂😂😂😂😂😂
Binadamu kamili huwez kutokuwa na rafk bhana acha zako, sasa unajitenga mwenyew wakat hao ni wasanii wenzako inabd mubadilishan mawazo acha kujikuta
Alikiba ni kijana wa region gani Tz? Anaongea kama mtu mwenye kiburi fulani
Yae jamaa ana kiburi yani ukimuona tuu
Mbona huyu kka hali mwala nnyi tu
Amefunga😂
@@jacksonmathayo6510 😆😆😆😆😆
Jamaa udende tuu unamtok
Mnakula kama majini ahibu Mungu wangu mnachekesha mnakosa hadi maji ya kunywa 😢😢😢
😅😅😅, daah 😅🙌
Binadamu hamkosi lakusema ..ila sema wewe ndo jini
Kakuku kamoja watu 100,uchawa mtupu
kunamcango wako apo kwenye iyo kuku mbona kisirani
Punguza chuki itakupelekeaaa uwe mchawi dogooo
😄
hakuna alikiba mwingne
King kiba