ความคิดเห็น •

  • @makkamakka9171
    @makkamakka9171 10 หลายเดือนก่อน +6

    Nmekuwa wakwanza kucoment like zangu Jaman 😂😂❤❤

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      Yanakuhusu haya🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @hajramattar8253
    @hajramattar8253 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah mwenyezi mungu atanijalia muzd kupenda

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      Allahuma amin

  • @Tibazajadi
    @Tibazajadi 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli mnajua sana nawaona mbali sana miaka ijayo

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      Shukrani sana asante sana

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ni nzuri sana filam zenu

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      Asante sana

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      Km hujabahatika kuona tamthilia KILIO CHA MAHABA SEHEMU YA KWANZA Bofya link chini upate Angalia mama akiivunja ndoa ya mwanane kwa mikono yake mwenyewe...Pia mjomba uone kanga alizofua mume siku ya valentine day akaenda futiwa maji kaka yake wa hiari..Pia upate shuhudia mjomba wa nasri akitaka kulipwa penzi la mke wa mjomba yake nasri ili atoe figo yake..Fuatilia kisa hiki kizuri cha kuelimisha juu ya ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE th-cam.com/video/7WnyNlAY4SY/w-d-xo.htmlsi=VWmsmHSLBKwmVNud

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hili ni igizo tuu ila dadeq mizee ya hivi inanikera balaaa kama nimpige kofii😅😅😅

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 9 หลายเดือนก่อน

      Piga tuu wal usijal

  • @AminaQaiss
    @AminaQaiss 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mjomba ni mshenzy sana😮

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      Jman kafanyaje

  • @pheopesera9235
    @pheopesera9235 10 หลายเดือนก่อน

    😊

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @AminaQaiss
    @AminaQaiss 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hiii movie mumetoa funzo safi la kiislam...ila mumeharibu kwa valantein hyo haraaam kwa waislam😢

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli ila dhamira yetu ni kuifundisha jamii na hat ukitazama kila kilichofanyika valentinebkwa mipangilio yao hakikuenda sawa hivy ukiwa unajicho la pili utaelewa kuna funzo pia nimelitoa...Ila asante san kwa ushaur na usiaxhe kutupa plz

  • @MwanasitiHemed
    @MwanasitiHemed 10 หลายเดือนก่อน +3

    Wapili jamn Leo ❤❤❤❤

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      Wanidai soda jamni😂😂😂🌹🌹🌹🌹

  • @nemahk2361
    @nemahk2361 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mjomba mtaka vitu😂😂😂😂

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      Jman ankoo balaa

  • @mimahmimah1595
    @mimahmimah1595 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hdai raha yani full maupendo hadi nimetamani ndoa😂🙈

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      Wacha weee ndo ufanye uolewe na broo

    • @mimahmimah1595
      @mimahmimah1595 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@BinMahsen najiandaa hivi🤪

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      @@mimahmimah1595 si na yule yule kaka wa noah na kofia ya duara

    • @mimahmimah1595
      @mimahmimah1595 10 หลายเดือนก่อน

      @@BinMahsen 😂😂😂ee

  • @khajumkhamis7910
    @khajumkhamis7910 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mjomba mnyama zaidi ya mnyama na hafai ata kidogo katika jamii

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      Anko balaaa antaka ajaribu mipango

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      Km hujabahatika kuona tamthilia KILIO CHA MAHABA SEHEMU YA KWANZA Bofya link chini upate Angalia mama akiivunja ndoa ya mwanane kwa mikono yake mwenyewe...Pia mjomba uone kanaga alizofua mume siku ya valentine day akaenda futiwa maji kaka yake wa hiari..Pia upate shuhudia mjomba wa nasri akitaka kulipwa penzi lavmke wa mjomba yake nasri ili atoe figo yake..Fuatilia kisa hiki kizuri cha kuelimisha juu ya ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE th-cam.com/video/7WnyNlAY4SY/w-d-xo.htmlsi=VWmsmHSLBKwmVNud

  • @Aishaynah_innah
    @Aishaynah_innah 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mm watat😊😊

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      Jaman karibu

  • @jasminiIssa-y2q
    @jasminiIssa-y2q 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂mjomba uyoo kitu Cha kawaida tuu😂😂

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      Ankoo ana balaa lake

    • @jasminiIssa-y2q
      @jasminiIssa-y2q 10 หลายเดือนก่อน +1

      Vizuri mnajitahidi tunaomben ya kumi bas

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      @@jasminiIssa-y2q shukran muda si mref tutashusha ya kumi nataka nimalize deni la MATHNA

    • @jasminiIssa-y2q
      @jasminiIssa-y2q 10 หลายเดือนก่อน

      Sawa nikirudi tz nitakutafuta napenda sana kuigiza ila kama mke mkubwa au wifi na weza

    • @jasminiIssa-y2q
      @jasminiIssa-y2q 10 หลายเดือนก่อน

      Sawa nikirudi tz nitakutafuta napenda sana kuigiza ila kama mke mkubwa au wifi na weza

  • @BinMahsen
    @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน +1

    Km hujabahatika kuona tamthilia KILIO CHA MAHABA SEHEMU YA KWANZA Bofya link chini upate Angalia mama akiivunja ndoa ya mwanane kwa mikono yake mwenyewe...Pia mjomba uone kanaga alizofua mume siku ya valentine day akaenda futiwa maji kaka yake wa hiari..Pia upate shuhudia mjomba wa nasri akitaka kulipwa penzi lavmke wa mjomba yake nasri ili atoe figo yake..Fuatilia kisa hiki kizuri cha kuelimisha juu ya ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE th-cam.com/video/7WnyNlAY4SY/w-d-xo.htmlsi=VWmsmHSLBKwmVNud

  • @zawadikasim6679
    @zawadikasim6679 10 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤

  • @YusraNeema
    @YusraNeema 10 หลายเดือนก่อน +1

    Haramu kusherrekea valentine kwa waislamu

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisaa

  • @zawadiabdallah8342
    @zawadiabdallah8342 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo ya tisa hujaileta tumeimis

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      Usijali vuta subra kidogo ntakuletea na naomb nisameh kwa kukucheleweshea

    • @zawadiabdallah8342
      @zawadiabdallah8342 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@BinMahsen usijali kwahilo tupo mpamoja tunasubiria

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      @@zawadiabdallah8342 asante kwa kunielewa na mungu akubariki pia asante kwa kutusoport mungu awape riziki ili mpate pia pesa ya kununua bando

    • @zawadiabdallah8342
      @zawadiabdallah8342 10 หลายเดือนก่อน

      Ss mwengine tupo uarabun hatutumii bando tunafumia wi fi ya bure ndo maana kutwa tupo mahewan😁

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 10 หลายเดือนก่อน +1

    Si Kuna wazee mahasidi lakini, haya ukishapewa ndio utafanyaje mzee ovyoo ww 😢😢

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      Jamani na mzee si ataka msaidia mjomba kazi jamani

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      KILIO CHA MAHABA SEHEMU YA KWANZA th-cam.com/video/7WnyNlAY4SY/w-d-xo.htmlsi=VWmsmHSLBKwmVNud

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@BinMahsen ukorofi uo wake kwani ameambiwa nkashindwa na shuuli aiiii,

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      @@chunaabdullah1333 jamani akipewa ndo atatoa figo ule mzigo sio mchezo

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      @@chunaabdullah1333 Jaman si ndo maan aumwa figo 😂😂 kwa ajili ya kumiliki gari kubwa wakati yey ana kileseni cha boda boda

  • @MonaAlmona-c1n
    @MonaAlmona-c1n 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa si mke ataowe figo kwa ajili ya mumewe

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      Simpaka ziendane jaman

  • @zawadiabdallah8342
    @zawadiabdallah8342 10 หลายเดือนก่อน +2

    Itaendelea au ndo imeisha

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      Inaendelea

    • @zawadiabdallah8342
      @zawadiabdallah8342 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@BinMahsen inshaallah jitahd bas tuone mambo

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      Inaendelea mpendwa ila umeona tangu sehemu ya kwanza kama bado bas..

    • @zawadiabdallah8342
      @zawadiabdallah8342 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@BinMahsen nimeona tangu jana leo ndo nimemaliza ya nane ila nataman yule kaka apowe ili yule mwanamke ana yy farajike

    • @BinMahsen
      @BinMahsen 10 หลายเดือนก่อน

      @@zawadiabdallah8342 inshallah tumuombee dua kwa mungu