@@ElmyMalkiah Hata hafai kukatiwa ticket anafaa aitiwr clone ndio apite shingo NAYE period. Kujifanya n msamaha a naomba. Waendee clone ndio awambie ka n ukweli n yee na n ukweli n msamaha a naomba au n kujifunika ngozi ya komdoo kumbe n nyangau.
Ata akirudi hakuna biashara sahi wakina Amos wako busy creating new clones day in day out, Leo wametegeneza clone na mwili ya Chief 😅😅. Ata yeye kitamramba 🤣🤣🔥
dangulo wacha huruma mingi, plz plz, ni finish nakumalo huyu mama, wacha masai mkubwa afanye ile kitu cabin, dangulo plz plz we need masai mdogo to rescue her, we need masai mdogo in mission, may God protect you guy's
Dangulo ujue mkiachilia huyo gaidi kitawaramba proper ju already anajua kwenye mnaishi..Tulikusho huruma ibaki estate but husikii..kumbuka mama malindi ulicheza na yeye sasa ni threat kwenu
Waaah huyu ni gaidi sugu kabisaa kama wanajuana na mama malindi pliz Dangulo huyu hata msimuweke, hata vile anawaangalia aki smile ako like nyinyi hamtujui vizuri achatu nitoke hapa ndio mtajuwa so ticket mchukulie mapema
Apewe visa pliz coz huyu ni ile sugu kabisa angalueni tu kikosi anadeal nayo,Akina Amos, mama malindi harari saana huyu msishinde eti mnaeka for evidence
Emma huyo anakuchekeya maana yake anakwambiya humjui ukimpatiya muda atakunyorosha siyo mtu poa ni hatari. Muongo huyo anatafuta njia ya kuhepa baadaye mtajuwa hamjui
Now that you know ,this woman is working with Mama wa Malindi,are you still going to keep her there with you guys????,Sai sasa tunajua kitombi ,mama malindi na Mzee Amos ni kitu moja
Dangulo huyo Fatuma anawachezea Akili amejifanya amesafili kumbe yupo ndomana kale katoto kake hakatembei na Amos sikuhizi inamana kapo na mama yake Fatuma so fatuma yuko Kenya na anaendeleza biashara za kuuza watoto so Emily uchunge hapo anaweza tuma mtoto wake aliewekea sumu Dangulo juu place anaijua mchunge kabisa msijisahau Ulinzi Uwepo any time kwa uhakika
Huyo mama anafaa akutane na clone afinish kumalo. ni need watu kama hoa kuishi. Huyo mama wa malindi kaa amerudi, let us try our best clone apate mbuzi kwa mawili ndo ashugulikie mama wa malindi
Huyo mama anafaa akutane na clone afinish kumalo. ni need watu kama hoa kuishi. Huyo mama wa malindi kaa amerudi, let us try our best clone apate mbuzi kwa mawili ndo ashugulikie mama wa malindi. Ghai, kumbe n mama wa malindi????¿¿¿ Dangulo, huyo mama apewe ticket direct hamna cha kusamehea plz plz
Huyo labda s yee amegeuzwa vile alikuwa turkey akapewa mwili WA mtu mwingine be very careful na huyo limwanamke huyo amejitengeneza ndio maana amejihamini na chenye ako nacho. Setani ashindwe au n jini Dangulo mko NAYE chunga Sana bana
Uzuri tuko na clone kitu tunafanya ni kununua mbuzi Kwa wingi 😂
CLONE kaz ndio hiyo😂😂
Emmah nisikumis kinoma😊
😂😂😂😂😂
Emmah ako sawa kabisa apewe ticket mapema ndio best
Emmah anakumbuka venye Dangulo walikuwa wamemwacha kwenye baridi bila hata food😂😂anasikia kulia 😂😂
Ata mama sifuna na queen wamuranga waliwika lakini walifuata mkondo wa yesu
Dangulo ukijua vyenye Masai anaumia juu ya huruma yako kakangu kaa makini ukipata mtu maliza hatutaki kuwapoteza nyinyi plz tumelia yakutosha
Masai mdogo aliokolewa na mtu wa huko garisa na kwenda huko si rahisi ndo maana hawajamuendea
Waah really sina habari@@NofelaJaco
@@NofelaJaco hii imenitia moyo juu ya masai mdogo Mungu amsaidie mahali ako alindwe na Mungu.
Ema malizen huyo, Dangulo mkiachilia huyo atakua kama boss wamalindi please please Dangulo malizen
Huyu mama dangulo malizana na yy aki juu ako kimoja Amos
Mkatie ticket halaka iwezenakanavyo nilwaaambia Mzee wako kimoja na akina Amos chief hamkwamini saiii mmejionea .....Kama uko nyuma yangu uyo mama akatiwe ticket gonga like tukisonga
@@ElmyMalkiah Hata hafai kukatiwa ticket anafaa aitiwr clone ndio apite shingo NAYE period. Kujifanya n msamaha a naomba. Waendee clone ndio awambie ka n ukweli n yee na n ukweli n msamaha a naomba au n kujifunika ngozi ya komdoo kumbe n nyangau.
Mungu wangu kwahio inamaana huyu mzee kitombi wako pamoja na mama malindi😢😢😢😢😢😢😢😢
Ata akirudi hakuna biashara sahi wakina Amos wako busy creating new clones day in day out, Leo wametegeneza clone na mwili ya Chief 😅😅. Ata yeye kitamramba 🤣🤣🔥
dangulo wacha huruma mingi, plz plz, ni finish nakumalo huyu mama, wacha masai mkubwa afanye ile kitu cabin, dangulo plz plz we need masai mdogo to rescue her, we need masai mdogo in mission, may God protect you guy's
Apewe ticket juu mkimuachilia atawaua nyinyi nyote juu ready ashaajua mahali munaishi ,,,,
Dangulo ujue mkiachilia huyo gaidi kitawaramba proper ju already anajua kwenye mnaishi..Tulikusho huruma ibaki estate but husikii..kumbuka mama malindi ulicheza na yeye sasa ni threat kwenu
Ema hi siku mengi nilikumiss mamy umekuja mukali sana😅😅
Pie nyinyi team Emily mna faa msafie kuchanga pesa tupate mbuzi kwawingi
Ukweli lakini niliona Ndanguro anaogopa Clone😁😁😁😁
Dangulo hivi tu ndivyo ulifanya makosa ya kupreserve mama malindi.
dangulo plz plz we need masai mdogo back, just rescue her
Baba ya wa Kenya Dangulo,tunakuamini utaokoa wote wanaoteswa na wa Kenya wakatili.Mungu akulinde!
Weuh,kumbe...ako Mimi nilikua nafikiria alifika America,,,bado Ako Kenya,,mbona FISA yake imedelay hivi😮😮😢
Waaah huyu ni gaidi sugu kabisaa kama wanajuana na mama malindi pliz Dangulo huyu hata msimuweke, hata vile anawaangalia aki smile ako like nyinyi hamtujui vizuri achatu nitoke hapa ndio mtajuwa so ticket mchukulie mapema
Amekuka wakati mzuri clone atamshughulikia
Clone kujia huyu pia amejileta kwa kifo huyu mama msimuachilie😢mko in danger
❤emmah nilikums sana
Emma plz plz tell dangulo wache huruma mingi, ni finish nakumalo huyu mama, Emma tell dangulo we need masai mdogo
Huyu si amalizwe ju akiwatoka mtajua mmekuw mkisaidia ama mkihost jambaz😢😢😢😢
Huyu mpeeni ticket wacheni kubebeleza yy ,mkimuachilia atawasaliti
I love Emmah, her courage though❤❤
Huyo mmama amalizwe akii mwanamke mgani asie na uchungu na watoto wakati yeye ni mama????? Why Dangulo mmekuwa na huruma watu wabaya??
Waah 😲😲 it's terrible, Ndagulu pls fanya ile kitu, punguza hiyo chain ya mama wa Malindi.
Ema alipitia machungu na hakua na makosa alikaa mda bila kubadilisha pia. Kuonga hio ndio uchungu .
Apewe visa pliz coz huyu ni ile sugu kabisa angalueni tu kikosi anadeal nayo,Akina Amos, mama malindi harari saana huyu msishinde eti mnaeka for evidence
🤦🤦 hapa kupunguza hii biashara chafu ni kutangulia kumaliza Huyo mama wa Malindi, ni kama ako na branches mingi.
Dangulo mbona usiagalie simu yake MUNGU wangu Jesus Christ
Emma mpatieni paspoti ya haraka visa angojee mbele mbele
Mama yao Leo unawaka Moto good job ndangulo amekuwa msoft sana siku hizi
Wah huyu amefaa ngozi ya kondoo be careful guys,tuliwashow kitambo wanajuana
Malizana na huyu mama Dangulo huruma yako saa zingine inakuwekanga kwa matatizo last ulifanywa mwenda wazimu sai utamalizwa
Ndagulo for me i think 💬🤔 huyu kitombi ndiye Amos real if am not wrong
Exactly na kama si hivo ni brothers juu wanafanana 😢
Kabisa cox amesema mahali kua yeye ninafsi tu mwenye ako mahali
True
Nliongea kutoka mwanzo
Emma tumekumiss sana lkn huyo akatiwe passport
Emma huyo anakuchekeya maana yake anakwambiya humjui ukimpatiya muda atakunyorosha siyo mtu poa ni hatari. Muongo huyo anatafuta njia ya kuhepa baadaye mtajuwa hamjui
Now that you know ,this woman is working with Mama wa Malindi,are you still going to keep her there with you guys????,Sai sasa tunajua kitombi ,mama malindi na Mzee Amos ni kitu moja
Mwambieni while she was away, tumeletewa mitume Kwa wingi some of them inform of Misukule, na clone pia
Ama huyu mzee kitombi ndiye Amos original🤔🤔🤔🤔🤔
Muitie crone amfunze kuongea.crone will make her talk
Sahi tuko ready we have mitume and clone, worries less
Dangulo huyo Fatuma anawachezea Akili amejifanya amesafili kumbe yupo ndomana kale katoto kake hakatembei na Amos sikuhizi inamana kapo na mama yake Fatuma so fatuma yuko Kenya na anaendeleza biashara za kuuza watoto so Emily uchunge hapo anaweza tuma mtoto wake aliewekea sumu Dangulo juu place anaijua mchunge kabisa msijisahau Ulinzi Uwepo any time kwa uhakika
Mungemfinya apare baridi ndio ajue sio kuzuri ..ama alichukuliwa akili kama mama shifuna .sku hizi si blame mtu hadi niskie hadithi yake .
The love I av 4 Emma,,,kwanza vile unaongea huwa unanibamba,,,tetea aki za watoto kbsa dear
Emma huyo mkatieni ticket tu ya U S
Emmah we lov u admay God continue guiding u guys, more annointing na muombe zaidi.
Welkam back but we have ua visitor mr clone busy waiting for u💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼
Swali kwani yule mama alikua na yule mzai ndangulo hamkpa passport jamani
Emaa uko smart beautiful ❤❤❤,
Emnah uko right mamaa, huyo finish kumalo
Emma time mlikutana na dangulo ulikaa mushosho sasa u look amazing❤❤❤
Huyu ni mama malindi kweli😮😮😮😮😮
CEO vip
Kukiwa na officer kama Emma Kenya itanyooka😂😅🤣🤣hataki msesooo😂
Welcome back My sis Emmah
Dangulo we need tickets immediately pliz huyo mzee ni brother ya amose
Maybe ni queen wa marine anamtumia 😂😂😂ngojeni mtume atuambie who is boss wa malindi...
Haki Haya Mambo Yapo kama Pwagu na Pwaguzi Weeee 🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Huyo mama mkiachilia mtajua hujui bona amewekwa Kwa nn
Uui Mungu wangu, Kenya imeharibika coz najua huyu Amos na mama malindi ndio wenye hii biashara hii Kenya yote.
Am shocked kusikia beb wa malindi ameongea wwwwaaah nikubaya
Dangulo usimwachie huyo mama ni mrongo na bado atarudi
Emmah keep that spirit 💪 ilike it🎉congratulations
Subhanallah
Uyo mama apewe passport
Nimagaidi wakubwa
Uyo mama nigaidi mkubwa
Huyu n Emma ama n huyo fatuma
Ni Emmah lkn amefanana vibya sana n Fatuma ak😂😂😂😂😂ata mm nilikua nimesem tyr niyye
Dangulo uyo mama akueleze watoi penyewe wko uchue ukaenao husimuurumie uyo gaidimalizaneni nae 😅😅
Mliaja mama wamalindi ona sasa vile mnaangaiswa maliza kapisa😢😢
Babunansy ni maajent na mzee Ams
Hope umekata hio simu Dangulo
Kumekucha tena😢😢
Waa hii shetani imerundi Ndangulo fanyeni Hima mmalize Huyu mwanamke😢 ameshindwo in the mighty name of Jesus Christ
😂😂😂😂 Crone yupo tuna dunda nae
Emma na vile wee mwoga unaeza piga hicho kimonda kweli
Alafu jijeuri hili chimwanamke kumbe jambazi sugu uyu ita madam katari ama DCI apimgwe risasi moja tu
I wish Emmah hio reaction ungewekea ule dem zile siku alikuchapa makofi
NanI ananiuga mkono ,chelsea n yule mtoto WA boss WA malindi wanafanana,,,na sio kwa ubaya ,
Huyo mama anafaa akutane na clone afinish kumalo. ni need watu kama hoa kuishi. Huyo mama wa malindi kaa amerudi, let us try our best clone apate mbuzi kwa mawili ndo ashugulikie mama wa malindi
Huyu sio mzazi akii😢😢😢juu mwanamke Alie zaa haizi kua hivyo huyu ni kunyongwa 😢😢😢😢
Wa n kubaya
She look a like na CEO Emma
Good job Emily wangu
Akatiwe ticket akonakiburi shetani huyo
CEO malizaneni na huyo dem
Amos😂😂😂 ako n uoga 😂😂
Emma n masiku mingi dear umekuja n mauchungu😂😂
Fatuma waogopa Dangulo Dangulo subhanallah
Mbona mi sielewi huyu mama wa malindi ama ndugu yake nisikilize kwanza ahaa n mama yule kumbe maana nimeshangaa 😢😢
Pacha wake
Dangulo save Io namba itakuja kukusaidia baadae ,,,
Huyo mama anafaa akutane na clone afinish kumalo. ni need watu kama hoa kuishi. Huyo mama wa malindi kaa amerudi, let us try our best clone apate mbuzi kwa mawili ndo ashugulikie mama wa malindi. Ghai, kumbe n mama wa malindi????¿¿¿ Dangulo, huyo mama apewe ticket direct hamna cha kusamehea plz plz
Emma kua mkali kabsa Ndio dangulo acmwachilie plz
Emmah anaongea fact ndangulo nakuambia mpeni tickets jamani msimueke sana
Huyo labda s yee amegeuzwa vile alikuwa turkey akapewa mwili WA mtu mwingine be very careful na huyo limwanamke huyo amejitengeneza ndio maana amejihamini na chenye ako nacho. Setani ashindwe au n jini Dangulo mko NAYE chunga Sana bana
Long time my baby girl ❤️❤️❤️ ❤️❤️❤️❤️
Huyu ndie Emma tulikua tunataka sio yule Emma wa kulia akiona mtu anapelekwa Italy
😂😂😂😂😂😂aki ww
😂😂😂😂😂😂
We ujui amos ametengeneza clone yake through mwili wa chief