Lesson 18: NGE, NGELI NA NGALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Kipindi hiki kikefafanua kwa undani dhana zinazojitokeza katika nge, ngeli na ngali. Kimeweza kuondoa kizungumkuti na ugiligili uliopo baina ya dhana hizi tata. Imefafanua matumizi yao sio tu katika hali yakinishi lakini pia katika hali kanushi.

ความคิดเห็น • 12

  • @leakcut500
    @leakcut500 2 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri mwalimu. Kipindi kizuri kweli

  • @harrietazinwa6091
    @harrietazinwa6091 2 ปีที่แล้ว +3

    pongezi mwalimu. Kwa hakika nimejifunza mengi.

  • @jephiterondari3948
    @jephiterondari3948 2 ปีที่แล้ว +2

    Good job mwalimu. Kiswahili kizidi kutukuzwa

  • @chrispinusanami5356
    @chrispinusanami5356 2 ปีที่แล้ว +4

    Heko kwa kazi yako bora Mwalimu 👏👏👏👏👏👏👏

  • @princekay498
    @princekay498 2 ปีที่แล้ว +2

    nimefurahia kazi hii sana. kongole

  • @nabilmohammed9463
    @nabilmohammed9463 2 ปีที่แล้ว +2

    Tufanyie za isimu Jamii na fasihi

  • @millybony1065
    @millybony1065 2 ปีที่แล้ว +1

    kazi murua sana mwalimu. Ni mildred ni kiwa hapa Chuo Kikuu cha Kenyatta

  • @saladbee
    @saladbee ปีที่แล้ว +1

    Mwalimu hodari wa Kiswahili

  • @irineotieno1913
    @irineotieno1913 2 ปีที่แล้ว

    mwalimu tusaidie kuchanganua sentensi

  • @nabilmohammed9463
    @nabilmohammed9463 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba yako