DR.SULLE AMLIPUA MASANJA MKANDAMIZAJI/ACHA KUDANGANYA WATU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • #drsulle #islaamic #tanzania #health

ความคิดเห็น • 165

  • @shanimpenike7568
    @shanimpenike7568 6 หลายเดือนก่อน +5

    ukweli ni ukweli tu ....asieujua ukweli ni yule aliyekosa ufahamu....shukran Doct sule

  • @zenaahmedi8857
    @zenaahmedi8857 6 หลายเดือนก่อน +9

    Masha Allah Dr Sule Mungu akubarik san tunakupenda san hku kwet Oman 😘😘😘

  • @motivumotivunbktv4409
    @motivumotivunbktv4409 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mashallah Dr sule Mungu akuzidishie

  • @user-ek7bx6sk6f
    @user-ek7bx6sk6f 6 หลายเดือนก่อน +1

    Maashallah

  • @bandaralkhaledy8931
    @bandaralkhaledy8931 6 หลายเดือนก่อน +3

    MASHAALLAH'TABARAKALLAH'DOCTA'SULLE'NAPENDA'MANENO'YAKO

  • @fredymbilinyi6323
    @fredymbilinyi6323 6 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu Kristo ni mwamba,

    • @ahmadamohamed1907
      @ahmadamohamed1907 6 หลายเดือนก่อน

      Jeshini tunapasua Sana mwamba Kama nae mwamba nae anapasuliwa

  • @aminahkimwana109
    @aminahkimwana109 6 หลายเดือนก่อน +2

    dr.sule tuko pamoja 💪💪💪

  • @user-hs9gn7ro6o
    @user-hs9gn7ro6o 6 หลายเดือนก่อน +3

    Maashallah, sure Dr. Stara muhimu. Uislamu mpango mzima.

  • @mariamhakim1463
    @mariamhakim1463 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki shekh❤❤❤❤😊

  • @user-gr8sh5hl1m
    @user-gr8sh5hl1m 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mwenyezi mungu awe pamoja nawe Dr sule ila hao mabodigadi sjui imekaaje

    • @saeedabunajash6235
      @saeedabunajash6235 6 หลายเดือนก่อน +1

      Allah kampa neema ya kipato si haba ndio maana akaajiri wafanyakazi wa kumpatia ulinzi.

    • @jumarobertonyancha8605
      @jumarobertonyancha8605 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hili aendelee kudanganya uma wa Mohammed kwanda motoni

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@jumarobertonyancha8605toa matako hapo

    • @amilyabdu1563
      @amilyabdu1563 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@jumarobertonyancha8605Saw a mtoa Hukum

  • @razakialiyas25
    @razakialiyas25 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi mungu aku jaliye sana .aku yongezie hikima

  • @user-hg5vb5ct5g
    @user-hg5vb5ct5g 6 หลายเดือนก่อน +1

    MASHALLA DKT SULE DAAWA Hi Ioooooooooooooooooóóóoooooóooopôp

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 6 หลายเดือนก่อน +1

    Masha'allah Masha'allah

  • @is-hakamohammed2163
    @is-hakamohammed2163 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa wenye akili zao ndio wanaokuelewa Uislam ndio Dini ya khaqi

  • @panadomadola3064
    @panadomadola3064 6 หลายเดือนก่อน +4

    Waislam mnaongozwa na vipofu na mtatumbukia kwenye shimo la moto, kueni makini

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndo kipofu mlokubali kufungisha ndoa za jinsia moja

    • @mudiali4506
      @mudiali4506 6 หลายเดือนก่อน

      Uhakika wew ushabiki wako no WA yanga n simba. Hii ni elimu. Acha hayo. Elimu yako ndio kiwango chako hicho watu waelevu. Wajua Tamayo zungmzwa. Kuwa Mstaareb

    • @mudiali4506
      @mudiali4506 6 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga we ni kipofu tu. Bado hata sunna huja Fanya yesu mwenyew katairiwa. Weubangioja mini. Na ujuaji. Usafihuna haya ulie da haja kubwa. Hujui kutawaza.
      uekevu wako ni duni
      Una Tembea na kinyes matakoni

    • @mudiali4506
      @mudiali4506 6 หลายเดือนก่อน

      Kipofu ni wew ukistanj una Tembea n Mavi matokon

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 5 หลายเดือนก่อน

      wewe ndie kipofu unaepingana na biblia unachodai ni kitabu chako

  • @kwamnkurumah8574
    @kwamnkurumah8574 6 หลายเดือนก่อน

    Apo apo DR Sulle pamoja mpaka mwishooooo

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi Huwa nashindwa kuelewa hivi kama wewe una dini nzuri si ueleze uzuri wa dini Yako na Mungu wako lkn nashangaa kuona watu hukosoa wengine tu, je kwani dini ipi ilianza, na kama Kuna mtu hajaenda shule basi ni yule anayesema dini yake nzuri maana Mungu Hana dini,shida ni shule kichwani.

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 6 หลายเดือนก่อน

      Mungu hakuleta shule Bali ametushushia qur an Ili tuelimike na kutambu wewe ni nani naelimu inapatikana madrasa sio shule

    • @MR-nm9qv
      @MR-nm9qv 6 หลายเดือนก่อน

      Soma kwanza sio shule soma vitabu vya dini ndio utajua mungu ana dini au hand sio inakielim chako cha darasa la saba unakurupuku tu kusema tatizo shule na kusema mungu hana dini soma kwanza

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 6 หลายเดือนก่อน

      @@MR-nm9qv wewe ndio usome vitabu vyote vya dini habari ya shule ni elimu ya Dunia haihusiani na mungu

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@MR-nm9qv ndomana mnabariki mashoga makanisani kwa kujifanya mmesoma sana

    • @jonasdaniel1025
      @jonasdaniel1025 6 หลายเดือนก่อน

      Huna akili wewe mashoga wote ni waislamu,, Kama Kuna shoga John njoo hapa,, Kuna akina juma iddy bakari saidi hamza mudy Muhammad​@@JafariHamisi-gu4ef

  • @user-ef8pn2ut1y
    @user-ef8pn2ut1y 6 หลายเดือนก่อน

    Kaz ipo kweli kweli

  • @user-tn5ny2vc7h
    @user-tn5ny2vc7h 6 หลายเดือนก่อน

    W salam ww ❤❤❤

  • @elbacabdoudjesh5629
    @elbacabdoudjesh5629 6 หลายเดือนก่อน +1

    Maji bei gani

  • @ommykhan1748
    @ommykhan1748 6 หลายเดือนก่อน +2

    Sauti ina shda 😢

  • @brotherblood728
    @brotherblood728 6 หลายเดือนก่อน +2

    Sauti inakata sana

  • @hamzayusuf1894
    @hamzayusuf1894 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tutampeleka shaka hola kwa mchungaji makenzi masanje unasemaje

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 6 หลายเดือนก่อน

    Channel yenu mnazingua inakatika katika sana mpka unakosa raha ya kusikiliza

  • @swalehabdulrahman4118
    @swalehabdulrahman4118 6 หลายเดือนก่อน

    WATAELEWA TU

  • @ezekiakamwela6280
    @ezekiakamwela6280 6 หลายเดือนก่อน +3

    Biblia unatumia ukiwa kwenye mdahalo unasema siyo kitabu cha Mungu hapo unatunia

    • @jumarobertonyancha8605
      @jumarobertonyancha8605 6 หลายเดือนก่อน +2

      Kawaida ya sulle hana hoja za kimsingi mafundisho yake uwongo mtupu na ndio waisilam wengi wanaupenda hata Quran inwaruhusu kutumia

    • @user-mc2xd4eu2p
      @user-mc2xd4eu2p 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@jumarobertonyancha8605hebu tusaidie jambo la uongo analosema?

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 6 หลายเดือนก่อน

      Huyo shekhe ni mganga WA kyenyeji ana majini ndo yanamdanganya maana hao ni baba WA uongo Yesu alishasema ibilisi ni baba WA uongo kwaiyo Kwa huyo akuna la ajabu ​@@jumarobertonyancha8605

    • @user-pl8pn7qb9e
      @user-pl8pn7qb9e 6 หลายเดือนก่อน

      uzuri wa muislamu yeyeto anaijua dini na ndoma tunafuata mafundisho mungu anataka nini nahataki Nini najivunia kuwa muislamu, kama yesu hajawai kuingiza kanisani Sasa kwanini nisijivunie dini ya haki

    • @user-mc2xd4eu2p
      @user-mc2xd4eu2p 6 หลายเดือนก่อน

      @jumarobertonyancha8605 yan nyie watu wabishi ajabu biblia inatukana mungu na manabii lakini bado mnalazimisha sasa huyo mcheza comedy ndio mkweli ? mna masihara sana

  • @hamzayusuf1894
    @hamzayusuf1894 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wawo wakiristo akisoma kidogo tu tayari anakuwa mchungaji hawajuwi chochote aya 10 za bibliya hawawezi kusoma kwa kichwa

    • @user-fg1gg3ec2o
      @user-fg1gg3ec2o 6 หลายเดือนก่อน +2

      Hivi wakrsto na waislamu nani wasomi

    • @user-mc2xd4eu2p
      @user-mc2xd4eu2p 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-fg1gg3ec2ousomi gani unazungumzia kuna theology na elimu hii ya kidunia

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 6 หลายเดือนก่อน

      Ujambiwa kusoma Shure kusomea din

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 6 หลายเดือนก่อน +1

    Lini Allah akawa Baba?

  • @user-hg5vb5ct5g
    @user-hg5vb5ct5g 6 หลายเดือนก่อน

    N kher ndacha ulovyokbia ila upo mda wako utafi.ka Allah ka

  • @kwamnkurumah8574
    @kwamnkurumah8574 6 หลายเดือนก่อน

    Ndacha ni shoga mkubwa Sana mimi namjua kwaiyo kma anasema ni mchungaji basi mnaojiita wa Kristo pwapwapwapwapwaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 6 หลายเดือนก่อน

    Hahaaaa
    Njoo kwa wasabato tukunyooshe
    Ndacha kakugaragaza umeamua kukimbilia kwa warokole
    Fundisha tu ukweli uislamu ni dini ya majini na shetani ni muislamu😂😂😂

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 5 หลายเดือนก่อน

      Hao waxhimgaji wa kisabato wanaslimu baada Kuona ukweli

    • @charlesboniphace2249
      @charlesboniphace2249 5 หลายเดือนก่อน

      Uliona majini yanasilimu

  • @jeanninemunezero6469
    @jeanninemunezero6469 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe sule na mchungaji huyo mume potea wote

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 6 หลายเดือนก่อน

    Na nikweli nilimsikia Masanja akisema wao hawataki kujua bora kazaliwa na wanasherehekea December 25😂😂 hii inaonyesha ni ukosefu wa elimu na ushabiki,😂😂yani wameingia aibu ila kusema live hawataki wamebaki na ubishi tu kwenye comment section za mitandao

  • @moureenkamau8697
    @moureenkamau8697 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ati uti perfum alafu utoke mtaani unanuka nni😅😅😅😅😅 haki umenichekesha nakupenda sana kwa sababu Allah

  • @user-lo1ui8tb6b
    @user-lo1ui8tb6b 6 หลายเดือนก่อน

    Ndacha piya naye ni paster mjinga asiye kubali ukweli akiwacha ukristo atakosa starehe za pesa za haramu za kanisa dr sule kula ndacha mjinga

  • @josephatie2163
    @josephatie2163 6 หลายเดือนก่อน +1

    Dear, Dkt. Sulle.
    Kusema kwamba Uislam ndo dini aanzilishi ya Ustaarabu duniani.... Napata ukakasi kidogo kuiamini hoja io. Kwasabu....
    1. Kihistoria, Uislam uliukuta Ukristo, Uyahudi, Uhindu n.k katika karne ya 6. 🤔 Lakn, mnadai kuwa Adam, na manabii wengine waliotangulia walikuwa waislam.....(kuna shida kidogo apo)..... sababu neno uislam maana yake ni kunyenyekea, utii au Amani...
    Ni kweli.. manabii wote walikuwa wanyenyekevu, lakn.. Je, walikuwa wanyenyekevu kwa NANI, na KWANAMNA GANI?????
    Waislam munanyenyekea kwa allah kwa kufuata nguzo za uslam 5... Na za imani 6. Na taratibu nyingine.
    Lakn, izo imani nyingine hazimnyenyekei allah, wala kufuata nguzo za imani na za uislam.
    Pia, kihistoria.... Mji wa Maka, ulikuwa haujulikan wala hauna sifa kama sifa zilizotajwa kwenye Quran, na nyumba za ibada nying zilieleke Mji wa Petra.
    2. Hoja nyingi za kisayansi za quran zinapingana na Sayansi ya kidunia. (Mfn. Hoja ulo kazia ya ukuaji wa kiumbe tumbon...... Io, hoja ilitolewa na dr. Kabla ya mohamad, lakn pia ilikuja kupingwa baaadae baadae ya Wanasanyansi wengine.)
    3. Kweli Yesu, hakuzaliwa kimiujaza..... Ila ujauzito wake ndio uliotungwa kimiujiza.
    4. Quran si kitabu bora cha Mungu coz hoja za kuthibitisha kuwa ni kitabu cha mungu ni dhaifu.
    😊 Nmefurahi umerejea Mathayo 15:13, aya ambayo Yesu anamuita Mungu baba.... Kukazia hoja zako. 👏👏
    Mambo ni mengi. Ila kwa leo tuishie hapo.
    BWANA YESU ANAWAPENDA ♥️

    • @josephatie2163
      @josephatie2163 6 หลายเดือนก่อน +1

      Point 2.
      Ni Daktar Wa kiyahudi Galen ( embroyologist)

    • @MR-nm9qv
      @MR-nm9qv 6 หลายเดือนก่อน +1

      Sory hoja zak ni nzur ila vip una uthibitisho wowot adam alikua na dini nyengine nje ya uislam na via unasem Qur ani si kitabu cha Allahhem twambie ni chanani kwa maandiko

    • @josephatie2163
      @josephatie2163 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@MR-nm9qv
      1. Ebu tuangalie maana ya neno DINI.. dini ni mfumo/ustaarabu/utaratib ili kumfikia Mungu.
      Hivyo, Adam na kizazi chak walikuwa na utaratibu wao wa kumuelekea Mungu....... Ila si utaratib wa kiislam. Coz utaratib wa kiislam umeletwa na Mohamad, mfn Swala tano mlizonazo alizifuata mohamad ktk mbinu ya saba, kwa mujib wa hadithi zenu, Pia, Adam hawakuwa na quran........ ( Musa kapewa Torati, Daudi Zaburi, Issa Injili na Mohamad Quran...... Kwamuji wenu waislam). ((((Yapo mambo meng kwa kweli)))))
      2. Kuhusu quran kutokuw kitabu cha mungu....... (Hoja hii ni ndefu ila ntajarib kuelezea kiufup sabab ya muda)
      a). Point ambaz mnatumia kuthibitisha kuwa quran ni kirab cha mungu ni Jinsi kilivyoandikwa___ lugha, mpangilio wa namb, muundo n.k...eti, hakuna anaewez kuandik kama ivyo. Kumbuk hata "Shakispia nae aliandika vitabu kwa staili na namna ya kipekee ambayo hakuna anaewez kuandika kama yeye.
      b). Quran ni kitab ambacho kukisoma ni kama adhabu, stori zilizomo hazina mwisho yaan nusu nusu afu hazieleweki. Kina chosha kwa kweli.
      c). Maandiko mengi ya kweny quran yanapingana pingana.
      d). Sayans iliyomo ni sayansi ambayo wanasayansi wanaikataaa...mfano, eti bawa la mdudu (inzi) moja sumu lengine dawa.
      e). Ni kitabu ambacho kimeandikwa miaka miwili baada ya mohamad kufa.
      Kumbuka:
      Hizo ni hoja ambazo zinahitaji ufafanuz kidogo.... Ila io ni muktasar tu.

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 5 หลายเดือนก่อน +1

      kwanza wewe hujaisoma Quran vyenginevyo usingesema haifahamiki. umefuatilia idadi ya wachungaji walioslimu baada ya Kuona ukweli kwa kuisoma Quran wakalinganisha na biblia?

    • @josephatie2163
      @josephatie2163 5 หลายเดือนก่อน

      @@nassorsharifu9837
      Ndugu,
      1. UKWELI haupo katika idadi ya watu wanao kubali na kusapoti jambo fulani, wala haupo katika Cheo, Hadhi wa Jinsia ya mtu anayelikubali na kulisapoti jambo hilo.
      2. Leo, hii kuna Mashekhe, Mahostadhi na Maimamu wengi sanaaaa WAMEINGIA KWENYE UKRISTO kuliko hio idadi ya wachungaji unaowasema.
      3. Waislam, mmefundishwa kutokujiuliza na kufuatilia sanaaaa masuala ya Mungu, eti kisa Mutakufuru...... Na ndiomaana, waislamu wengi hamuijui quran yenu na uislamu wenu, kwasababu
      a/. Mmefuchwa na kiarabu.
      b/. Munasubiri mpk mashekhe na wanazuoni wawasomee na kuwatafasiria.
      c/. Mmefundishwa kukariri (kuhifadhi) pasipo kuielewa quran yenu.......... Ndomaana, wanapotokea watu walioamua kuufuatilia uislam nakuisoma quran kwa kuielew vizur, pamoja na hadith mbalimbal, watu hawa wakiwaaambia ukweli ambao mmekuwa mkifichwa kwa muda mrefu pasipokujua, munaanza kuwachukia na kuwatukana hata kuwaua.
      ✍️ Kuwa siriaz ndugu na hatima yako......... Acha ushabiki, kuwa open-minded kujifunza acha kusikiliza tu mashekhe zako, sikiliza na kujifunza kwa walimu wa imani tofauti na yako...... Kisha chunguza kwa umakini.
      👍

  • @user-oe2ty7ds4g
    @user-oe2ty7ds4g 6 หลายเดือนก่อน

    M/MUNGU ALIFANYE KABURI LAKO BUSTANI ZA PEPONI SIKU YAKUFA KWAKO.

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh mzima unakaa unazungumza utumbo wa mbwa na paka kuzungumza kiingereza hawa maulamaa wetu wa karne hizi ni majanga kweli na wanaamini wanajua kila kitu.

  • @kwamnkurumah8574
    @kwamnkurumah8574 6 หลายเดือนก่อน

    Ndacha bonge la shoga kifirwa sna marekani alaf huku eti mchungaji siku izi ukisikia mchangaji katoka marekani ujue ana marinda uyooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-ed1cf9nq5w
    @user-ed1cf9nq5w 2 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo umeamua kuwauzia watu maji ya mvua? 😂😂😂😂😂

  • @listonjiwe3467
    @listonjiwe3467 6 หลายเดือนก่อน

    Shetani yupo kazini

  • @user-hg5vb5ct5g
    @user-hg5vb5ct5g 6 หลายเดือนก่อน

    Hujiuliz kwanini unaenda choon unakunya alafu wajifita mavi na karatas ?ndio uyajua Nini maana ya uisla

  • @JacoboNyolobi-rt6bw
    @JacoboNyolobi-rt6bw 6 หลายเดือนก่อน

    Inamaana umekosa kazi mpaka unatufatlia wakrsto

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 6 หลายเดือนก่อน

      Na wewe unasikiliza Nini kama hufatilii

    • @Zubaiba
      @Zubaiba 6 หลายเดือนก่อน

      😂🎉🎉

  • @aloycelucas1823
    @aloycelucas1823 6 หลายเดือนก่อน

    Ukisoma vizuri biblia, utakuta ya kuwa mwenyezi MUNGU hakutuacha bila ya kutoa tahadhari kwenye kitabu Cha mwisho kabisa kinachoitwa UFUNUO WA YOHANA, na huko ndiko kwa akili yako ndiko utawagundua hawa watu ni akina Nani wanaongea Nini na utawatambuaje, na kwakweli Kama hujaisoma biblia vizuri huwezi kuwagundua maana ni mahodari wa nasaha na kuuponda ukweli, Yani mtu anaubadilisha mwiba wa nyoka na kuuita ni mwiba wa samaki na watu wakamkubalia!😅

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 5 หลายเดือนก่อน

      umesema kweli ufunuo wa yohana kusoma kwa uangalifu bila kuingiza tafsiri zenu mnaazodanganya utakuongoza kwenye uislamu 50:23

  • @SMKF4
    @SMKF4 6 หลายเดือนก่อน

    Hivi ukizungumzia dini yako ndy inakuwa nini ,unashundana na nani

  • @user-hg5vb5ct5g
    @user-hg5vb5ct5g 6 หลายเดือนก่อน

    Inawatosha mengine ni magugu hajajijui yako wap mrad yap t

  • @nkanganyerere
    @nkanganyerere 6 หลายเดือนก่อน

    Uislamu kama ni dini ya kweli lazima itadumu lakini?

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 6 หลายเดือนก่อน

      Tatizo wakiristo mnabariki mashoga na sisi hatutaki

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa wewe ulikua unatawadha vipi choo kina tissue tuu hakina maji

  • @harunaabu3083
    @harunaabu3083 6 หลายเดือนก่อน

    Tatizo watu sijui mkojo nyie wakristo hayo anayoyasoma yako kitika bibilia au qalan au anasoma kitabu chenu lakini bado hamkiamini nikwanini nyie yani tatizo nikwamba nyie hamsomi maandiko

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 5 หลายเดือนก่อน

      Wanaaamini maneno ya wachungaji kuliko ya biblia

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu shekh Quran hajui na biblia hajui

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 6 หลายเดือนก่อน

      Wew kama sio shoga sijui

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 6 หลายเดือนก่อน

      @@JafariHamisi-gu4ef wewe kama sio gaidi sijui

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 6 หลายเดือนก่อน

      @@ramadhanmahongole9293 Bora gaidi kuliko wew unaefirwa na mumeo

  • @louiskayange-kz7ec
    @louiskayange-kz7ec 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nenda Kwa NDACHA wewe

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe sure ndo muongo kiongozi kipofu hiyo Aya uliosoma kwenye biblia inasema Baba yangu Yani Mungu nyie waislamu mungu wenu sio Baba unaumia nini maana Allah sio Mungu wetu wakristo sisi Mungu wetu ni Baba na jina lake ni Yehova kwaiyo atahao uliona hapo awajitabui kwanini awakuoji kuhusu huyo Mungu WA wakristo kama ndo Allah anayekubali majini au mapepo wachafu wamesilimu na wanamuabudu huyo Allah sisi wakristo majini au mapepo wachafu hawamuabudu Mungu wetu ni mashetani

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 6 หลายเดือนก่อน

      Nyie mna changanya mar mungu baba mara mungu mwan mara mungu roh mna miungu mingapi? Ina mana mna Manisha mungu kwenu hawezi kutenda k😅tu au. Sis wenzenu mungu wetu Moja anaweza waliobakia madabii nawao humuomba huyo huyo mungu Moja lakin waklsto. Mna nichanganyag San hapo

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 6 หลายเดือนก่อน

      @@RahimaMct-ik8mr nyie waislamu mmekuja nyuma huyo Muhammad wenu alikuwa ajui kusoma Wala kuandika ndomaana hakumujua Mungu Baba Soma 7:157 Muhammad ajui kusoma na kuandika nyie waislamu mmemfuata huyo kwaiyo huyo Allah sio Mungu Wa Musa Daud iblahimu isika na Yakobo Mungu wetu anasema sisi ni watoto wake ndivyo tulivyo kwaiyo mungu WA Muhammad sio WA kweli Soma biblia 1 Yohana 3:1,10

    • @rasempb
      @rasempb 6 หลายเดือนก่อน

      Ndugu unasumbuliwa na Mafua mpaka kwenye typing 😂😂😂

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 6 หลายเดือนก่อน

      @@rasempb njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 5 หลายเดือนก่อน

      ukimsikia makristo anadai Allah sio Mungu ujuwe ameahindwa hoja anafuta pa kutokea

  • @user-fg1gg3ec2o
    @user-fg1gg3ec2o 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa wewe suly nini kinakuuma kuhusu yesu mbona unaumiza sana akili yako kuzaliwa yesu wakt ulishindwa ndacha kwli wafundishe waislamu wako bana

    • @jumarobertonyancha8605
      @jumarobertonyancha8605 6 หลายเดือนก่อน

      Hana hoja ,ni majini anayofundisha

    • @user-mc2xd4eu2p
      @user-mc2xd4eu2p 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@jumarobertonyancha8605wewe lete hoja zako yesu ni mtume wa mungu mnafanya makosa kusema ni mungu mnafundishwa

    • @user-oh6pc7zd4s
      @user-oh6pc7zd4s 6 หลายเดือนก่อน

      Subiri majuto siku ya hukumu ila hayatakusaidia fikiri kwa makini ujue ukweli usihemkwe

    • @user-oh6pc7zd4s
      @user-oh6pc7zd4s 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@jumarobertonyancha8605 Umeyaelewa vizuri ila umeamua kwa makusudi kujitoa akili.Yamekugusa vilivyo

    • @user-fg1gg3ec2o
      @user-fg1gg3ec2o 6 หลายเดือนก่อน

      ukweli Gani alionao suly

  • @jumarobertonyancha8605
    @jumarobertonyancha8605 6 หลายเดือนก่อน +6

    Kama ndacha kakugaragaza hadi ukakimbilia pastor mkorofi 😂😂udanganyifu mwingi ndio hunayo

    • @user-im3wl5fz5c
      @user-im3wl5fz5c 6 หลายเดือนก่อน +2

      wewe mwenyewe dini huijui

    • @iddkaoneka7485
      @iddkaoneka7485 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani huyo Pastor mkorofi ni nani? Ni Mapastor wanaojitambua ndio walikuwa wanampa Pastor mkorofi maneno sahihi.

    • @bassambashirou4604
      @bassambashirou4604 6 หลายเดือนก่อน +1

      Acha chuki za kurithi unatumia nyoyo sana 😅😅😅

    • @jumarobertonyancha8605
      @jumarobertonyancha8605 6 หลายเดือนก่อน

      @@user-im3wl5fz5c wewe mwenyewe mnafuata mtume aliyeumi aliyemposa mtoto mdogo ndiye mnasingisia kufwata nyayo zake,jamani someni bibilia na Quran hutaujua ukweli uko wapi,wacheni kusomewa kisa mnapiga takbirr ambaso hasina umuimu wowote

    • @jumarobertonyancha8605
      @jumarobertonyancha8605 6 หลายเดือนก่อน

      @@iddkaoneka7485 sule na pastor mkorofi wako kiwango kimoja elimu hana ,kafunzwa Quran kama mtoto wa mdogo kwenye mdahalo,hadi waisilamu wenziwe wakalalamika kwenye mitandao

  • @ZiadiZiadi-wb4sn
    @ZiadiZiadi-wb4sn 6 หลายเดือนก่อน +3

    Maashaallah