MZEE SAID | SIMBA BADO SIO LEVEL YA YANGA WALA AZAM | YANGA WAZEE WA FEREREE😂|CAMARA ANAROHO MBAYA😂

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 239

  • @OmanAlkamil-nl2zw
    @OmanAlkamil-nl2zw 22 วันที่ผ่านมา +55

    Tusemeni ukweli siku tukishinda bila kumuona Mzee saidi siku inapoa sana😂😂😂

  • @KomboMulla
    @KomboMulla 22 วันที่ผ่านมา +25

    Mzeeee unajua jua sana kutoka Zanzibar

  • @Dfamilysingers
    @Dfamilysingers 22 วันที่ผ่านมา +57

    jaman tumfanyie mpango mzee said apate suti au mnasemaje.

  • @Stevmwamba2090
    @Stevmwamba2090 22 วันที่ผ่านมา +21

    Mzee said unajua sana mzee baba 🎉🎉

  • @eliakisinga5360
    @eliakisinga5360 22 วันที่ผ่านมา +29

    Hongera sana chagamba nimecheka sana.kwa mzee said

  • @camilenshimirimana9084
    @camilenshimirimana9084 22 วันที่ผ่านมา +14

    From Bujumbura Burundi, nafikiri nimekuwa wa kwanza

  • @abdulihafidhali5379
    @abdulihafidhali5379 22 วันที่ผ่านมา +26

    Anayemkubali mzee said like hapa chini kama mm

  • @andrewlaurent9401
    @andrewlaurent9401 22 วันที่ผ่านมา +6

    😂😂😂 dàaaah Mzee said aseeeee wanayanga tunapenda sana interview zako na chagamba dàaaah mnanifrahishaga sana

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 22 วันที่ผ่านมา

      @@andrewlaurent9401 sana yani . Mzee said anakumbia alienda kuwauliza mashabiki wa YANGA pale steshen hv hii YANGA yenu itaporomoka Lin ???😅😅😅😅 Sijui Mzee said alikuwa anategemea jibu gani Zaid ya hilo walilompa 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅. Na bado mpka waseme😅😅😅😅😅

  • @Shadia544
    @Shadia544 22 วันที่ผ่านมา +6

    Jamaniii jamaniii jamaniii ata kuwambaiana😂😂😂kama mzee saidi yupo jamaniii 😂😂😂LIKE 10 KWA mzee saidi 😂😂

    • @SadatiRajabu
      @SadatiRajabu 21 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂 kwani ulikuwa wapi ndugu yangu jamani, nimekutafuta jana sijakuona

  • @kigura_jr
    @kigura_jr 22 วันที่ผ่านมา +6

    Chagamba nitafsirie hcho kingereza cha mzee Said 😁😁😁🙌🙌🙌

  • @davidthobias9578
    @davidthobias9578 22 วันที่ผ่านมา +7

    Hiyo callable ya chagamba vs said
    Naipenda sn

  • @omaraliomar1671
    @omaraliomar1671 22 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu mzee duh! Anajifanya hawajui wachezaji eti Kingiri 😂😂😂😂😂

  • @JumaAll
    @JumaAll 22 วันที่ผ่านมา +7

    Et FEREFEREE😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mzee Said umetisha san

  • @AlfredKuhamwa
    @AlfredKuhamwa 22 วันที่ผ่านมา +4

    Wee mzeee utaniua nakuchekaaa😂😂😂 kwamba wanakurupwakama swala anajiweka halaf anasema twende Katie duuu😂😂😂

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 22 วันที่ผ่านมา +11

    Hatareeh sana mwamba mzee Saidi 🎉🎉🎉

  • @simonmalya1057
    @simonmalya1057 22 วันที่ผ่านมา +2

    Mwendo wa feleleee 😂

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 22 วันที่ผ่านมา +3

    Mzeee said kwenye ubora wake haujawahi feli mzeee wangu❤❤❤❤

  • @JoyceMwita-e3w
    @JoyceMwita-e3w 22 วันที่ผ่านมา +4

    Mzee said unanifanyaga nifurahi baba angu 😂😂😂😂

  • @SaidiSalum-u4e
    @SaidiSalum-u4e 22 วันที่ผ่านมา +8

    Mzee saidi et hana nguo😂😂😂😂

  • @kassimourio6879
    @kassimourio6879 22 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu mzeeee🎉🎉🎉🎉Huwa analeta raha mpk anaondoa hararaaaa😂😂😂

  • @RamadhanKanjoi
    @RamadhanKanjoi 22 วันที่ผ่านมา +2

    Mze saidi pindi akianza mahojiano mpooole km c yeye vile😅😅

  • @amanilupembe9788
    @amanilupembe9788 22 วันที่ผ่านมา +3

    Umenifurahisha sana chagamba

  • @idybwoytz8485
    @idybwoytz8485 22 วันที่ผ่านมา +3

    Gambaaa safiii san leo 😂😂😂😂😂😂 mzee Saidy 😂😂😂😂😂😂

  • @NaomiInsha
    @NaomiInsha 22 วันที่ผ่านมา +11

    Mzee said wapi baba angu

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 22 วันที่ผ่านมา +7

    😂😂😂 huyuu mzee

  • @EnrickoJackson
    @EnrickoJackson 22 วันที่ผ่านมา +4

    Mzee said kunahela yavocha hapa ambaye ananamba yake anipatie unanifulahisha sana mzee

  • @janejonathan9846
    @janejonathan9846 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee Said kama ferereee ni mteremko nanyinyi piteni hiyo njia ya freree,hatukuwatuma mkavunje mkataba kiila mtu ananjia yake ya mafanikio,siyo lazima tuvunje mkataba wkt uwezekano wa fereree upo,nihesabu tu kwenye vichwa vya viongozi zinafanyakazi , by the way nakupenda sana mzee wangu unafanya soka lichangamke sana,Chagamba big up sana kwa kutuletea mzee Said

  • @salumtiba2339
    @salumtiba2339 22 วันที่ผ่านมา +4

    Wangapi wanataman mzee said achambue siku moja saido na jobe make huwa napenda sna akianza kuwachambua tu like apa😊

  • @gaspermathayo5204
    @gaspermathayo5204 21 วันที่ผ่านมา +1

    Football mdogo mdogo 😂😂😂😂😂😂😂😂 daaaahh

  • @levigodi
    @levigodi 21 วันที่ผ่านมา +1

    Ila fresh San mzee

  • @user-uy1qp5py2o
    @user-uy1qp5py2o 22 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤ Simba oye naipenda sana timu yangu Mzee said Mungu akulinde akupe maisha marefu

  • @samsonyuves7923
    @samsonyuves7923 19 วันที่ผ่านมา

    Ndege mwarabu😂😂 kingili😂😂😂 feleleee😂😂😂 mzee said noma sana!

  • @nderendere.
    @nderendere. 19 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂 chagamba mbavu zangu jaman ila mzee said

  • @DenisRwezimula
    @DenisRwezimula 22 วันที่ผ่านมา +11

    Mzee said nakupenda sana unavionjo

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 20 วันที่ผ่านมา

    Mzee saidi zarau izo et kingili 😂😂😂

  • @DastaniMoro
    @DastaniMoro 22 วันที่ผ่านมา +3

    Mzee saidi njoo jangawani utatembea na vidonge mpaka lini 😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @jafarishabani9686
    @jafarishabani9686 22 วันที่ผ่านมา +2

    Duhhhh mzee Saidi Leo unavunja mbavu watu mze wa felelee

  • @ibrahimrajabu1599
    @ibrahimrajabu1599 22 วันที่ผ่านมา +3

    Shati zake ni hizo hizo tu Mzee wetu tumpatien hata jezi za yanga😅

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 22 วันที่ผ่านมา

      Chabanga angeweka namba ya simu tutume pesa kwa ajili ya mzee Said

  • @HassanMussa-vk3tj
    @HassanMussa-vk3tj 20 วันที่ผ่านมา

    Mzee saidi unajua ilainaonekana msaurifutu

  • @TonnyKapela
    @TonnyKapela 22 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂 namkubali sana huyu mzeee

  • @mamuumamuu7743
    @mamuumamuu7743 22 วันที่ผ่านมา +7

    Nipeni likes jamani wanayanga kama mnamkubali mzee saidi

    • @DanielHussein-f8w
      @DanielHussein-f8w 21 วันที่ผ่านมา

      😂😂mzee said kakukosha ee

  • @VicysebaNyambeta
    @VicysebaNyambeta 22 วันที่ผ่านมา +1

    Me yanga lkn nampendaga Sanaa huyu mzeee,

  • @DaudiKapufi
    @DaudiKapufi 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mashabiki wa Simba wanajua kuongea na kutoa burudani pia tofauti na wa kwetu utopolo km, gb64 Mzee saidi kaymziwanda na wengine wakiongozwa na semaji la caf

  • @GodyGody-gl8sq
    @GodyGody-gl8sq 22 วันที่ผ่านมา +23

    Watatu nipeni like zangu

  • @user-ce3gb9sq1d
    @user-ce3gb9sq1d 22 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mzeee anaongeagaaa vizur sanaaa daa

  • @DadeSaide-qr7ti
    @DadeSaide-qr7ti 22 วันที่ผ่านมา +1

    Turikua nahamunao sana nze saidi.

  • @SamikeSeni
    @SamikeSeni 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akubaliki sana mzee wangu

  • @LucasMichaelsumuni
    @LucasMichaelsumuni 22 วันที่ผ่านมา +2

    Mzee ila chama ulimuona🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @AmanaHassan-cy4fi
    @AmanaHassan-cy4fi 22 วันที่ผ่านมา +1

    Hamtoboii kwa uhisanii ya Mo...
    Tafuteni mhisani mwenye mpunga wa kushea rahaaa na wenziee...
    Huyo Somji Bro ni kibiashara zake zaidi na munaloo hiloo.

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 22 วันที่ผ่านมา +3

    Hatari iliyopo Simba, wachezaji wataondoka,muanze upya,kila mwaka mtakua mnajenga timu😂😂😂😂😂 kama ARSENAL😂.

  • @MonalisaKasim-s8q
    @MonalisaKasim-s8q 22 วันที่ผ่านมา +4

    Uwongee Kila cku Mzee said jomon

  • @mushtaqakram9843
    @mushtaqakram9843 22 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂 mzee saidi

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 22 วันที่ผ่านมา +3

    Mzee said una vibwekaa Hadi rahaaaaaaaa

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf 21 วันที่ผ่านมา

    Mzee saidi"! Utambue sie yanga tuna pesa , ila nyie simba ndo mnapenda fell

  • @Asia-p5r
    @Asia-p5r 22 วันที่ผ่านมา +2

    Mzee saidi....pamoja na ubora wenu wote hamkuwahi kuifunga yanga nje ndani na timu Lao bovu la kipindi kile

  • @kamanapeter4751
    @kamanapeter4751 22 วันที่ผ่านมา +1

    Master Saidi

  • @user-cc4pp2kl5z
    @user-cc4pp2kl5z 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee saidi uwa ananifulaishaga kinoma dahaaaa

  • @Christiano01-f7t
    @Christiano01-f7t 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee said hapo umetudanganya, wakat yanga inafungwa 3-0 na kagera kocha hakuwa nabi ila alikuwa luke emyel

  • @IssamarusuIssa
    @IssamarusuIssa 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee said, naon unazid kuwakumbusha viongoz wako ebu waache kwanza tuwagongee tano tena afu ndio ufukue makabur😂😂😂

  • @evancetemba9063
    @evancetemba9063 22 วันที่ผ่านมา +13

    Wakwanza nipeni like zangu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 22 วันที่ผ่านมา +2

    Mzee Said umenichekesha sana. Chama aliambiwa jitunze ni mali yetu!!!😅😅😅😂😂😂😂

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 22 วันที่ผ่านมา +4

    Noma sana 🎉🎉🎉

  • @nicolauslukona2694
    @nicolauslukona2694 22 วันที่ผ่านมา +1

    Chagamba mwambie mzee Said kwamba Prince Dube mmoja ni sawa na Mukwara 40😂😂

  • @Alimartin-w4b
    @Alimartin-w4b 22 วันที่ผ่านมา +3

    mwambie kama dude tumegha mkataba😂 38:02

  • @raphaeltanzania
    @raphaeltanzania 22 วันที่ผ่านมา +4

    Like kwa mzee said jaman

  • @AchileusNshekanabo
    @AchileusNshekanabo 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee said unafurahsha sanasana

  • @SephaniaPaul
    @SephaniaPaul 22 วันที่ผ่านมา

    Uyu mzee inatakiwa awe yanga mana ana nolge ya mpira

  • @mansoursaid8
    @mansoursaid8 22 วันที่ผ่านมา +2

    Mzee Sideeeeeee aisee leo kafurahi adi chagamba anaitwa Mzee wangu 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 22 วันที่ผ่านมา +3

    Nakuelewaa sanaaa

  • @Khamisi-sd5ry
    @Khamisi-sd5ry 22 วันที่ผ่านมา +1

    Safi san mzee said

  • @DicksonWilliam-t1x
    @DicksonWilliam-t1x 20 วันที่ผ่านมา

    😅😅😅😅 Dah huyu mzee

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria 22 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂hapo kwenye kingili😂

  • @user-yz6ds9hn9l
    @user-yz6ds9hn9l 22 วันที่ผ่านมา +2

    Ihefu mbona kawafunga ndani nje mpaka.wakaamua kumfuka refa.pale ihefu mbona awasemi hawa mahanisi wasenge wa jangwani

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 22 วันที่ผ่านมา

      Huwezi kutoa coment hadi utukane?? Afu mwaka gani ihefu kaifunga yanga nje ndani

  • @mwlhalimoja.ekingunza1819
    @mwlhalimoja.ekingunza1819 21 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂fereleee ila huyu Mzee Said Huwa ananifurahisha sana

  • @slowclimbertothetop4572
    @slowclimbertothetop4572 20 วันที่ผ่านมา

    Hahaha huyu mzee bana

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 22 วันที่ผ่านมา +5

    Ilaaa mzeee said

  • @Alimartin-w4b
    @Alimartin-w4b 22 วันที่ผ่านมา +2

    chagamba mwambie mzee saidi ame sheza natimu aina sabu

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 22 วันที่ผ่านมา

    Nipo Pemba namskilza mzee saidi

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 22 วันที่ผ่านมา +2

    Yanga hawataki malimbano na timu zingine ndio.maana wanafanya kiheshima.

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf 21 วันที่ผ่านมา

    Mzeee saidi oyeee

  • @ladislausshawa3407
    @ladislausshawa3407 21 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 dah changamba unajua kumchota mzee said.😂😂😂😂

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf 21 วันที่ผ่านมา

    Mzeee saidi jambo ni moja"! We kubali tumpe jezi mama etu

  • @AlfredKuhamwa
    @AlfredKuhamwa 22 วันที่ผ่านมา +1

    Nakukubali mno mzee

  • @NassoroNzumali
    @NassoroNzumali 21 วันที่ผ่านมา

    mzee said Bonge yamchambuzi

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 22 วันที่ผ่านมา +2

    Si kweli Mzee saidi hii hela mm nabishaaa

  • @shebbylove5264
    @shebbylove5264 21 วันที่ผ่านมา

    Umetisha sana mzee side👑👑👑

  • @Alimartin-w4b
    @Alimartin-w4b 22 วันที่ผ่านมา +2

    mwambie kama dude tumegha mkataba😂

  • @huseinbusaba5064
    @huseinbusaba5064 22 วันที่ผ่านมา +2

    ila mzee saidi bana 😂😂😂😂🙌🙌🙌

  • @saidmansoor8528
    @saidmansoor8528 22 วันที่ผ่านมา +9

    Ki alikuja kumsaport ahua na okojepha inaonesha walishawahi kuwa pamoja kwenye maisha ya soka hata siku ile yanga Africans vs Simba on 8/ after game alikaa nao muda mrefu kuzungumza nao

  • @Wami-Sababisho
    @Wami-Sababisho 21 วันที่ผ่านมา

    Kwani Number ya mzee Said bei gani. Basi hata asajiri Number ambayo atakuwa hapokei simu iwe kwa ajili ya sisi mashabiki zake kumchangia hata VOCHA

  • @jumabonge8577
    @jumabonge8577 22 วันที่ผ่านมา +1

    mzee umetisha mwamba

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga 22 วันที่ผ่านมา +4

    Mzee Said utajuta mwaka huu .....😢achana na Chama

  • @ABELKITALIKA-j2k
    @ABELKITALIKA-j2k 22 วันที่ผ่านมา +10

    Wa kwanza leo kutoka Dodoma

  • @ZaituniKonga
    @ZaituniKonga 22 วันที่ผ่านมา +4

    Acheni kumchukiya chama

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 22 วันที่ผ่านมา +3

    Wale wanatumia madawa Mzee saidi mbwa wale

    • @josephgamba8389
      @josephgamba8389 22 วันที่ผ่านมา +1

      Katumien na nyie kama wenzenu wanatumia madawa Dunduka FC mwaka huu mtaomba maji 😂😂😂

    • @JeniphaRobert
      @JeniphaRobert 22 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂 vumilia kama jina lako ili daw iingie

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 22 วันที่ผ่านมา

      Hahahaha na bado. Umesikia Mzee said mpka viongozi wafe nje ya hapo hadi 2030😅😅😅😅

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 22 วันที่ผ่านมา +1

      Endelea kuvumilia tu kma Jina lako lilivyo afu kma mnajua dawa zipo na nyie katafuteni mtumie

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 22 วันที่ผ่านมา

      @@fettiemaganza1484 Hawa wanaangaika sana. Mara Manula kauza mechi ,mara GSM kwann adhamini timu 6 hila saiv wachezaji wa YANGA wanatumia dawa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 na Bado huu ndo Kwanza mwanzo 😅😅😅😅😅😅😅

  • @user-bl1tx8fc9v
    @user-bl1tx8fc9v 21 วันที่ผ่านมา

    Mzee saidi ss hatukuwa na hela bwanaaaa, nyie si mna tajiri yenu siku zote😂😂😂😂, ss kuna mda mlituita mabakuli of which is true ,,, hatukuwa na helaaa sa nyie tatzo lenu nn boss mko nae

  • @CheerfulDrumKit-du7qk
    @CheerfulDrumKit-du7qk 22 วันที่ผ่านมา +2

    Mzee cdeeeeeeee

  • @gastonfuraha
    @gastonfuraha 22 วันที่ผ่านมา +7

    Hahahaha wewe mzee shida sana

  • @simonmalya1057
    @simonmalya1057 22 วันที่ผ่านมา +2

    Mzee saidi sio kingili ni kijili😂😂😂

  • @BonamaxMakobolela
    @BonamaxMakobolela 21 วันที่ผ่านมา

    Akamuulize Marehem tena