ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Nabarikiwa sana ninsposikiliza mahubiri yako. Mwenyezi Mungu akulinde uzidi tulisha chskula Cha kiroho
Nina ushuhuda juu ya baraka zako mchungaji, Amina 🙏
Mch Mungu akutunze kwa anjili yetu uendele tufundisha na kutujenga kiafya na kiroho 🙏🙏🙏🙏
Amin baba
Amen nakufatilia saana mtume
Mungu akubarik mchungaji unatufundisha vizur mnoUnatuelimisha mpaka tunaelewa kusud la Neno Hakika Mungu akutunze kwa ajili yetu mtumishi haupigi kelele haufundishi kwa nguvu Yan unatupeleka point had point
Mch Eliona kimaro Mungu akubariki sana sichoki kukusikiliza kwenye mafundisho yako natamani siku moja nije Dar nikasali usharikani kwako
Mungu akubariki sana Mchungaji E Kimaro. Naomba uiombee famia yangu wamgeukie Mungu.
Amina mch wangu navuka kwa jila yesu
Amina nimebarikiwa na kujisikia kuwa na nguvu.
Amen 🙏🙏
Barikiwa mchungaji
Mungu akubariki mchungaji Elina nabarikiwa San na mafundisho uko mm npo Arusha natamani siku moja nikuone live
AMEN HALLELUJAH
Aminaaaaaaaaaaaah mch kimaro mungu akubariki sana baba
Amen nitavuka mpaka ng'ambo na adui wote watanyamaza na kutulia katika Jina la Yesu.
Ninavuka mpaka nga'mbo katika jina la yesu. Kristo
Amen nitavuka ng'ambo na maadau wote nitawashangaza
Aminaa mtumish nitavuk mpka ngambo
Ameen ninavuka Kwa jina la Yesu. Haleluyaaaa
Amen
Mungu azidi kuku tumia
Amen nitavuka mpaka ng'ambo kwa jina la Yesu aliye hai 6
Nikiwa Kuwait mch umenikuza Sana tangu nianze kukuzikiliza 2019 nikiwa huku.
Amen.bwana.apewe.sifa
Amina mtumishi,wewe umeyageuza maisha ya roho yangu, nitavuka mpaka ngambo pamoja na watoto wangu na familia yangu yote,utumisgi huu umetukuka sana
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
Bless
Mchungaji nikumbuke kwenye maombi ya kufunguliwa. Ubarikiwe mchungaji
Amina
Navuka mpaka ng'ambo na watoto wangu mpka ng'ambo lazima tufike Mahali alipotupangia mungu wetu.
Maden na Hali ngumu itamuona mungu wa na itaogopa
Nitavuka mpaka ngambo kwa jina la yesu
Navukampaka ngombo pamoja nawatotowangu nafamiliayangu
Nikikusikiliza nahisi kua huru na kupona nafsi mwangu...Nitavuka mapaka Ng'ambo kwa jina la yesu aliye hai
Hakika mch hili neno Ni lakwangu naomba uniombee pia navuka kwa kishindo mnooo
AMINA MCHUNGAJI,NTAVUKA MPAKA NG'AMBO KWA JINA LA YESU
MUNGU AKUBARIKI MCHUNGAJI
Niko.naimani.nitavuka.mpaka.ng'ambo
AMEN
Nabarikiwa sana ninsposikiliza mahubiri yako. Mwenyezi Mungu akulinde uzidi tulisha chskula Cha kiroho
Nina ushuhuda juu ya baraka zako mchungaji, Amina 🙏
Mch Mungu akutunze kwa anjili yetu uendele tufundisha na kutujenga kiafya na kiroho 🙏🙏🙏🙏
Amin baba
Amen nakufatilia saana mtume
Mungu akubarik mchungaji unatufundisha vizur mno
Unatuelimisha mpaka tunaelewa kusud la Neno
Hakika Mungu akutunze kwa ajili yetu mtumishi haupigi kelele haufundishi kwa nguvu Yan unatupeleka point had point