Lisu ukimsoma vizuri utaonakabisa niya yake kuvuruga chama,hana sababu ya msingi ya kugombea umwe nyekiti maana nafasi aliyokuwa nayo inaonesha wazi kazi nyingi za mwenyekiti alikuwa akizitenda yeye,sasa ni kipi atakacho kibadirisha hana lolote huyo anakiuwa chama chenu kisaikilojia jaribuni muone
Lisu ni kibaraka wawazun gu,mnakumbuka kipindi chama magufuli? Baada yakuvundua wanatuibia madin yeye aliwatetea kwamba tusistishe mkataba et watatushitaki. Je, hamuoni alikuwa upande wawezi? Anapata nini kweo mpaka akawatetea watuibie laslima zetu za taifa?
Safi Sana kwasawali yakunyoshea kidole ccm kumbe ndani ya chadema ni utata mtupu
😮😮😮
Ahsante mwandishi umetuulizia tulio wengi lisu ni mbabaishaji hana msimamo anamshutumu mbowe wakati walikuwa wote kwenye uongozi
Amegombea Urais hakupata tamaa uongozi kama Msigw Watakipiga mnada
Mamae kipara ana maswali magumu sana
Mbowe must go.
Kwani chandema munaferi wapi kwanini musirudi kwesiansa nzamani kulikokukaa kwesinsa za hivisasa
Lisu hafai
Muuliza maswali alikuwa wa kwanza tu
Lisu nimakinikia full mwizi
Lisu anategemea hela kwawale waliomtuma ajioboe mguu akishinda atawalipa nini hao mabeberu kama siyo laslima zetu?
Lisu ukimsoma vizuri utaonakabisa niya yake kuvuruga chama,hana sababu ya msingi ya kugombea umwe nyekiti maana nafasi aliyokuwa nayo inaonesha wazi kazi nyingi za mwenyekiti alikuwa akizitenda yeye,sasa ni kipi atakacho kibadirisha hana lolote huyo anakiuwa chama chenu kisaikilojia jaribuni muone
Kila kitu nanyakati zake
Liandishi libinafsi kwan wewe peke ako ndo mwandishi
Hutu Jamaa ametumwa na fisim
Lisu ni kibaraka wawazun gu,mnakumbuka kipindi chama magufuli? Baada yakuvundua wanatuibia madin yeye aliwatetea kwamba tusistishe mkataba et watatushitaki. Je, hamuoni alikuwa upande wawezi? Anapata nini kweo mpaka akawatetea watuibie laslima zetu za taifa?
Uyuuuu kiparaaaa ccm
Angalia swali usiseme ccm
@EmmanuelMlowe-u1v nakwambiaaa ivooo namjuaaa usipendeee ubishoo
@@AllySalum-j9y wakati tumegundua tunaibiwa yy anasema waendelee kuchukua makinikia tukisitisha mkataba tutashitakiwa
@@AllySalum-j9y mwanasheria gan anaogopa kushitakiwa
@@AllySalum-j9y yaan umemkamata mwizi halafu unaogopa kumshitaki kweli alikuwa na akili au matope?
maswari mwisho mwizi tu,Fara wewe?
Mh
Lisu umechemka mbowe ndiyo anafaa kuwa mwenyekiti
Mtu mmoja maswali yote hayo