Endelea kutuletea vitu ngoma Kali sana saruti jeshi langu Niko dar napenda sana kusikia ngoma za asili yangu usukumani mwanza Moja nyimbo waga zinanifanya niwe nakuwa mwepesi
Unafanya vizuri sana kuelimisha jamii kwa kupitia nyimbo ..... endelea kupanga mistari na maneno mazuri ili jamii ijifunze naitwa Teacher Kaligo Dotto Njige mwalimu wa Fasihi ya kingereza na kingereza........naomba namba zako za Whatsapp tushauriane mengi
Kaka nishaga kuambia nyimbo zako huwa zinabeba story ama mikasa mingi katika maisha yangu. Ila haina tabu mungu yupo na atatuinuat kuvuka kwenye vikwazo niite. By sam boy ndani ya busolwa senta
Aya Asante siku ukijua ww unatumika wengine hatunamuda wakutumika konyo ww kama unatumika wenzio hatutumiki pia jua mipangilio ya nyimbo kunanyingine inacherewa nisikutukane mana uma inaona ila kaaamakini kunitukana mm
Haya Sasa Wadau Wa WS Kazi Yetu Hii Hapa #mwanampoyevu
Ushauri Wenu Wadau Wangu Kwenye Comment Hapo
Ila huyu Maganga shule atasoma kweli 😂😂😂
Nyimbo nzr sana kaka mungu akubaliki uwe juu zaidi ya hapa
We kaka apo ushaua kila kitu asee akitoboa tena yey mwamba
@@YusuphPaul-r7p oshilelwe ekanza
nyimbo nzuri kaka
kweliiii kweliiii 💯💯💯💯💯💯💯💯💢💢
2000
❤🎉🎉🎉❤🎉🎉
Shukulani lafiki et
Umetixhaaa Mwana ang
Endelea kutuletea vitu ngoma Kali sana saruti jeshi langu Niko dar napenda sana kusikia ngoma za asili yangu usukumani mwanza Moja nyimbo waga zinanifanya niwe nakuwa mwepesi
Uko viri sana
Ukweli m2 humufanya awe huru kuliko kukaa na maovu wakat unaumia p1 amos
Kazi nzuli sana kaka amosi lakini wasamehe bhule ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Tuzo kwako kaka
Amina
Amosi nakupata vzr sana kutoka Congo 🇨🇩🇹🇿
Mwananego alijichaganya et akuwez
Haikatai
Unazidi sasa kuwa fundi🎉🎉
❤❤❤ na kazi iendereee
Uko vzr bro by nsama wakamena
Uhakika
Sawa kaka Amos nakupata vyema ngoma Kali uko poa ujumbe umetufikia Paul Charles njashi hapa mm kiukweli sauti ya huyu mwamba akiimba napenda sana
Brother Amos kazi zuri sana❤❤❤❤❤
Amina sana
Nimekuelewa kwahiyo Ngoma mpya
Asante
VIDEO ZAKO, kali mno kijanaa, 💯, kazi nzuri mno mashairi imejitaid kuyapangiliaa safi sanaa, lets go
Shukulani sana
Wabuyangane 😂😂😂😂
Kazi nzuri sana hii kk ubarikiwe
Amina
Wew ni mwamba la miamba,
Ubaya ubwera
Nitafute hamisi
Nicheki now
Upo Kasi sana kaka wapeleke Hadi wakubal
Nipo sana wadau wangu
Kumbe
Sawa Gete Duliho Ikatavi 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Pamoja
Tayari Katinga Dj Mussa Kasekese Mpanda 💪
Shukulani sana lafiki
Kweliiii kweliiii 💯💯💯 💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
1000
Kaka unanifulahixha kweliiii❤❤❤❤
3000
Kaka amosi wakanyangekanyange
Emwtakubalitu
🎉🎉🎉🎉🎉iyi
🤩🤩
Wakwanza kutokea mbeya like zenu
Umetisha sana
@@wachachesana napenda msanii anaejikubali kama wewe kam ney WA mitego
Unafanya vizuri sana kuelimisha jamii kwa kupitia nyimbo ..... endelea kupanga mistari na maneno mazuri ili jamii ijifunze naitwa Teacher Kaligo Dotto Njige mwalimu wa Fasihi ya kingereza na kingereza........naomba namba zako za Whatsapp tushauriane mengi
Chukka iko hapo you tube yangu
Mimi naomba2 kilefu Cha WS nnn?
(W) Wachache (S) sana
sawa lakini weka matukio hapo
NAKUPATA SANA MIM8 DJ JISHON N8KO BARIADI
Pamoja sana
Usanii mbn una changamoto sana uwe msanii mkubwa changamoto msanii mdogo chngmt kwakwli mziki ni kaz
Amina
Nimekuwa wa Kwanza kuchukua nyimbo mpya tayal ipo kwa Stivu macomputer
Mm ni stivu Macomputer nyalubanga ni balaa sana
Kazi Inaendelea
Uhakika kapeji
Kaka nishaga kuambia nyimbo zako huwa zinabeba story ama mikasa mingi katika maisha yangu.
Ila haina tabu mungu yupo na atatuinuat kuvuka kwenye vikwazo niite. By sam boy ndani ya busolwa senta
@@BusolwaTv aminaa
Umetisha nyanda
Hahaha😂
Naomba namba zako za Whatsapp ili nikupe maarifa na ushauri .....nilikuwa mshabiki wa Malingita mzee wa mholo........mzee alikuwa hana matusi
Kunatusi umesikia lisevu nasiku ukitambua ukwer usage ushaulina wao kwangu unakuja kunipa pole 😭😭😭
Brooo mbona moyoni hayawakai?
Juzi umeimba unasifu Leo una imba tena unachafua au unatafuta Kiki kaza kuimba sio katukana watu pumbavu
Aya Asante siku ukijua ww unatumika wengine hatunamuda wakutumika konyo ww kama unatumika wenzio hatutumiki pia jua mipangilio ya nyimbo kunanyingine inacherewa nisikutukane mana uma inaona ila kaaamakini kunitukana mm
@wachachesana amos wewe ni msanii mkubwa sana achana na kiki kuna maisha baada ya usanii kwaiyo imba nyimbo za kuelimisha Jamii itakusikia kaka
Haya Ukumatolo Eleko Raha Sana
Mpaka Numele Gukayegaga
Safi manyanya pamoja sana
@@wachachesana Tule Homo Ng'wana Ong'wise
Yaani nakupata vizuri sana brother
Pamoja sana@@HassanWilson-f7q
Umesituka gude niko nae uku anakutafuta oshoke kosalabha
mwaka huu umejipanga sana kaka nakubar kila wick unaachia
Kweri tunajipambania