homgera samia kwa kazi nzuri unayowafanyia watanzania,hakika wewe Allah amekupa kipaji kikubwa mno cha UONGOZI!! Nawashauri wanaoitwa wapinzani wakuache na wajiondoe kwenye uchaguzi mama apite kwa ridhaa njema!!
Ccm imeendelea sana,Toka enzi za mwalimu za nyimbo za kizalendo na hoja za kiitikadi chini ya mwenyekiti Nyerere na sekretalieti yake mpaka nyimbo za vijembe na na hoja za kujipendekeza sasa,ni kazi kubwa kuwaimbiasha madoctor na maprofesa nymbo za vijembe ni kazi kubwa
Sekretarieti ya kusimamia ushindi ifanye kazi ya ziada kupitia kata zote ambazo hazijafikiwa na vituo vya afya, umeme na hata kumtua ndoo mwanamke. Ziko kata hata ardhi ya kufanyia maendeleo ya umma hakuna labda wanunue. Uzuri zilizobaki ni kata chache na vijiji vichache. Sekretarieti ingie kazini mara moja kuzibaini kata na vijiji hivyo.
Kuna kata hazina mambo mnayojinadi. Fanyeni survey msizungumze tuu. Kata Tanzania ziko ngapi? Wah Wabunge watoe data mzidadavue wajumbe. Msikubali kutoka Didoma bila kupitia kata kwa kata kijiji kwa kijiji ili October 2025 mshinde kwa kishindo.
homgera samia kwa kazi nzuri unayowafanyia watanzania,hakika wewe Allah amekupa kipaji kikubwa mno cha UONGOZI!!
Nawashauri wanaoitwa wapinzani wakuache na wajiondoe kwenye uchaguzi mama apite kwa ridhaa njema!!
Ccm imeendelea sana,Toka enzi za mwalimu za nyimbo za kizalendo na hoja za kiitikadi chini ya mwenyekiti Nyerere na sekretalieti yake mpaka nyimbo za vijembe na na hoja za kujipendekeza sasa,ni kazi kubwa kuwaimbiasha madoctor na maprofesa nymbo za vijembe ni kazi kubwa
Kwisha habari wale wote waliokuwa wanataka kumpinga Samia.CCM ni chama kikongwe. It always has one extra trick up its sleeve!😂😢
Ccm oyooooooooo❤❤❤❤
Jamani mm sikuona umuhimu was mkutano huu ageendea tu
This is CCM
KIKWETE ANAONGEA VIZURI KWA VIFUNGU KIHOTUBA KABISA
WAPO CCM HAWAJUI KATIBA YAO INASEMAJE
Huyu huyu Mzee alisemaga JPM awe rais wa maisha😊
washindanie nini? kwani ccm ni chadema? ccm ni chama chenye nidhamu ya hali ya juu mno,meenyekiti achapa kazi kama faru!!halafu. Mseme mnampinga!!?
Tunaongozwa kwa utamaduni au kwa katiba?
Natamani baada ya mama kumaliza muda wake makonda achukue Nafasi
Sekretarieti ya kusimamia ushindi ifanye kazi ya ziada kupitia kata zote ambazo hazijafikiwa na vituo vya afya, umeme na hata kumtua ndoo mwanamke. Ziko kata hata ardhi ya kufanyia maendeleo ya umma hakuna labda wanunue. Uzuri zilizobaki ni kata chache na vijiji vichache. Sekretarieti ingie kazini mara moja kuzibaini kata na vijiji hivyo.
Wajumbe hawanaga akili kbs .. alafu ni watu hatari sana kwakuwakata watu wasiowaelewa 😂
Msipate tabu mama Samia na Hussein Mwinyi wanapita bila kupingwa Vyama vingine ni Wasaka Tonge tu
Kura yangu kwa samia bila kukosea wanao mpinga wampinge ila mm nanda na samia
Dr Hussein Mwinyi anachapa kazi vizuri ameiweka Zanzibar kama Dubai
Kuna kata hazina mambo mnayojinadi. Fanyeni survey msizungumze tuu. Kata Tanzania ziko ngapi? Wah Wabunge watoe data mzidadavue wajumbe. Msikubali kutoka Didoma bila kupitia kata kwa kata kijiji kwa kijiji ili October 2025 mshinde kwa kishindo.
Tamko siyo pongezi ,katika ifuatwe msimwonee haya mtu jamn kikao hicho kimebeba hatima ya chama na taifa.tunataka tamko la wazee juu ya hili
Katiba ifuatwe
ILA JAMAN TUACHE UNAFIKI SAS USIPO MPIGIA KIRA SAMIA UTAMPIGIA NAN
Wapumzishen kwasababu Samia kuwa Rais 15 ukiwa makamu nisawa nakwamba uko RAIS TUU
Eti adui umaemmudu. Mbu tu huwezi kummudu
Bongo bora uzima tu siasa michezo
Boya
bonge huyo hamuna kitu
Mnashangilia ujinga
😮😮hakuna kushindana? Hakuna form zaidi ya Mmoja?
Nadhani hakuna form yoyote itakayotolewa. Kuijaza itakuwa kuharibu karatasi, na kumpotezea muda Rais😅😂
Hivi Msigwa wetu nae yupo humu? Je nae anashangilia na kurukaruka na kupepea bendera?
Paka shume
mama tuna mkubali lakini chawa nyingi sana
Watafuna nchi
Inauma kusikia kauli sisizo za msingi